Ukahaba,uchangudoa na umalaya. . .. . . . . Kulikoni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukahaba,uchangudoa na umalaya. . .. . . . . Kulikoni?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eiyer, May 24, 2012.

 1. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,659
  Trophy Points: 280
  Nina maswali mawili hapo. . .Moja,je majina ya sifa hizo yana maana sawa?Ni kwanini majina hayo huitwa wanawake tu?Swali la pili,hivi mwanaume nae anaweza kuwa na sifa kama ya ukahaba,changudoa au malaya?Kama siyo kwanini?
   
 2. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Mi nitajibu la pili... wapo wanaume wanojiuza tena wengi sana hapa dar na Arusha..wanaosimama barabaran ni wale gays,wasio simama ni wale ambao wanajitegesha tu kwenye ma-bar kuwasubiri mashugamami... Na wanaume malaya pia wapo tena wakutosha tu.
   
 3. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,659
  Trophy Points: 280
  HiviHEART,gays ni wanaume?Namaanisha mwanaume kama yule aliyemzungumziaAsprin wakati fulan hivi!Yaani mwanaume anaeitumia jinsia yake ipasavyo anaweza kuwa kahaba,malaya na changudoa wakati huohuo?
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,872
  Likes Received: 6,222
  Trophy Points: 280
  Eiyer....
  Sijui wenngine wanavyoyatumia ila mie nayatumia kwa jinsia zote mbili, kama mwanaume anajiuza nitasema mwanaume huyu ni changupaka, zu mwanaume huyu ni kahaba au kama mwanayme ni malaya nitamwita hivyo pia.........

  Subiri wenzetu wenye utaalamu na lugha waje....au una tuki ucheki yanavyotumika?
   
 5. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Bila ubishi yaaani,kwenye kumbi za starehe ni wengi mno...mi mwenyewe nshawashuhudia. Wanafanya vyote hivyo..wanajichubua na kubadilisha hadi miondoko ya kutembea...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Edoedward1

  Edoedward1 JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 799
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 60
  MMMh kumbe me mshamba hivyo!! Sikujua kuwa wanawake wananunua eti!!!!!
   
 7. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  huwezi ukaweka mwanaume na gay kwenye sentensi moja
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  kwa hiyo mnataka kusema mashoga si wanamme?

  Akiambiwa kuandika jinsia huwa wanaandika KE?

  Wanamme bana, kila kibaya ni cha mwanamke.

   
 9. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Nashanga!!!!
  Wamesahau kuwa mwanaume ni jinsia........ hayo mengine ni characters tu!!
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,872
  Likes Received: 6,222
  Trophy Points: 280
  umenena kongosho, loh
   
 11. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #11
  May 24, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Ikiwa mwanaume ndiye yule pekee aliyeelezewa na babu Asprin..........ni wangapi watakuwa wanaume?? Are you??

  Yaani wanaume wenzenu wakitenda makosa .......basi mwawageuzia upande wetu, inamaanisha kuwa wanaume hawana mabaya hivyo yote yamfaa mwanamke tu???

  Dhana kama hizi zinawafanya mshindwe kujifunza/kujirekebisha na kubaki mkimtazama mwanamke kwa jicho la tuhuma!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #12
  May 24, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu.....huyo mwanaume anayekwezwa kila siku siui anapatikana wapi, au anaishi sayari nyingine tofauti na hii dunia ambayo ni uwanja wa fujo kila uchao??? lol
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  May 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  hapa bila kamusi tunatoana jasho leo, maana haya maneno yameshaanza kutafsiriwa kijenda.

  Hata hivyo hata kamusi hizi zilitengenezwa ndani ya mfumo dume, sishangai nazo zikakandamiza upande mmoja.
   
 14. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #14
  May 24, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,638
  Trophy Points: 280
  Hahahaha Kipipi kitamu kumbe somo lilikuingia na kulielewa eh? Orayt, come this way baby.....:lock1:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  May 24, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,638
  Trophy Points: 280
  Bibie HEART... nenda kafanye homework yako vizuri ili uweze kutofautisha wafuatao:
  Mwanaume - mvulana
  Mwanaume - gumegume
  Mwanaume - Sharobaro
  Mwanaume wa kiume..... yaani mwanaume!

  Mwanaume mwanaume hawezi kupumuliwa mgongoni wala kumpumulia mwanaume mwenzie mgongoni, PERIOD!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #16
  May 24, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Kwa mimi nadhani hayo maneno yanatumika kotekote ila kwa sababu wanawake wanafanya sana na pia kufanya hadharani ndio maana wanakuwa wanatambulika hivyo sana kuliko wanaume....(Ni issue ya kiuchumi zaidi. Men are natural fighters that's why wanaojiuza ni wachache)

  Halafu dada na mama zangu, nawapenda sana >>> Tuwe tunadiscuss mada kama zilivyo na ukweli wake, hizi habari za kufukua gender issues kwenye kila mada zinaharibu ladha ya mada iliyoko. Na mwishowe mtoa mada akakosa cha kuhitimisha..
   
 17. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #17
  May 24, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  i don't know the kiswahili terms but we have

  1) players - a man who multiple girlfriends at a time

  2)man wh*r* - a man who has casual sex with many women. it can involve money or just for fun


  In red, what 'type' of men are those?
   
 18. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #18
  May 24, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  jinsia zote majina ni hayohayo ingawa kwa wanaume wao wataonekana ni ujanja au hua wanasemaga huyu jamaa ni moto wa kuotea mbali au jamaa ni noma huyu so wakitumia maneno kama haya yanakua haayana ukali sana.
  ivo inakua kama kwa mwanaume ni kama sifa flan ivi ila kwa mdada ni tabia mbaya
   
 19. S

  Simbamwene JF-Expert Member

  #19
  May 24, 2012
  Joined: Jun 22, 2008
  Messages: 287
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Sio kwa wanawake au wanaume tu. Hata wanasiasa wanao hama Chama kila kukicha kwa ajili ya maslahi ya matumbo yao nao ni Malaya, Machangudoa na Makahaba wa Kisiasa.
   
 20. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #20
  May 24, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,659
  Trophy Points: 280
  Kipipi,BADILI TABIA,Kongosho na HEART,mimi simzungumzii mwanaume ambae ni shoga,kwa sababu anachokifanya ni kinyume na maumbile.Sidhani kama kuna mwanamke ambae ni lesbian halafu akaitwa malaya,changudoa au kahaba kutokana na kutokua mwaminifu kwa ulesbian wake,ataitwa majina hayo kutokana na matumizi halali ya jinsia yake.Na mwanaume ninaemwongelea hapa ni yule ambae si mwaminifu kutokana na matumizi halali ya jinsia yake,je ataitwa kahaba au changudoa?Lakini pia nini tafsiri halali ya maneno hayo?
   
Loading...