Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

Wengine ni kunguru mkuu, hawafugiki hata wawe na uhakika wa Kula kuvaa na kulala vitu ambavyo kwa %90 anafanana navyo mke mwenye ndoa yake, bado atauza mwili tu. Nimeyaona kwa binti wangu wa kazi alikuwa anapata mahitaji yote pale nyumbani kasoro ngono tu, lakini alikua usiku anatoroka kwenda kujiuza, anatoka mbezi mwisho, anaenda masoko ya Malaya sinza, Buguruni,Manzese na Kigamboni. Mchana alikua anavaa nguo za heshima usiku wa saa nne mpaka tano, anaoga anavaa vinguo vinavoishia mapajani anatoka zake kwenda kuuza nikakusanya ushahidi kwa kuona na kuambiwa na watu nikamuondoa.
Alikuwa anajenga huyo
 
Wahalalishe tuu hiyo biashara ilipiwe kodi, nchi nyingi mfano senegal zmefanya hvo. Bila hvo haitakuwa biashara salama kamwe, wazo tuu hlo
 
Msamvu na Kahumba ndio sehemu maarufu kwa biashara ya K mkoa wa Morogo nikiwa first year SUA nilikuwa na kampani kubwa ya kuhudhuria Kahumba hii ilikuwa baada ya kuambiwa kuwa Chuoni kuna watoto wa Mama Salma wengi sana.
 
Kwa tulipofikia ni ngumu kuzuia ukahaba nchini hasa kwa kutumia nguvu... Suala hili ni mtambuka linahitaj sera na mipango ya muda mrefu na si kukurupuka tu na kuwakamata kisha ata sheria za kuwashtak hauna inakulazimu uwaachie tu...
 
Hao watoto wa salma hukuwakwaa kweli?maana hata wao bado ni binadamu wana hisia wanahitaji kupata hiyo kitu
 
Kwa tulipofikia ni ngumu kuzuia ukahaba nchini hasa kwa kutumia nguvu... Suala hili ni mtambuka linahitaj sera na mipango ya muda mrefu na si kukurupuka tu na kuwakamata kisha ata sheria za kuwashtak hauna inakulazimu uwaachie tu...
Ujumbe huu ni vema ukawafikia viongozi wetu wa mkoa wa dsm ambao kwao kila kitu ni pingu tu
 
Wanabodi nianze kwa kuwasalimu wote,naomba kuelezea masikiiko yangu makubwa juu ya hali ya ukahaba unaofanyika msamvu karibu a stand kuu eneo la maduka na kwa kina mama nitilie wakati wa usiku,ni hatari sana ukichukulia sheria ya usalama barabarani ya kuzuia mabasi yanayotokea mikoani kulazimishwa kulala pale baada ya saa 4 za usiku.

Kunakuwa na abiria wengi na wasichana wanajiuza na wanafanya ufusika huu nyuma ya magari au chini ya malori au nyuma ya mabanda bila kificho,na bei zao ni sh 2000 =nimeshuhudia uchafu huu ambao ni njia mojawapo ya kusambaza maambukizi ya virusi vya ukimwi.
omba risiti mkuu nchi ipate kodi, adventure toka kigoma lililala hapo kumbe nawe ulikuwamo!
 
omba risiti mkuu nchi ipate kodi, adventure toka kigoma lililala hapo kumbe nawe ulikuwamo!
Mkuu namshukuru mungu huko nishapita yaani adventure na saratoga nimewaachia nyinyi na wenzako kina MOTOCHINI
 
Mtoto wa kike ni mdogo umri miaka mitano tu, hata kaka zake ambao ni wakubwa hawakuwahi kumuona, muda anaotoka alikua anahakikisha tumejifungia ndani ndipo anatoka. Alikua analala chumba cha banda linalojitegemea, nashukuru kwa pole yako maana nilifuga kukunguru bila kujua.
Kwa kweli pole, ila hapo kwa watoto wa kiume weka kwenye mabano, (vijana wengi wameijua dunia kupitia wadada wa kazi). Pole Sana.
 
Back
Top Bottom