Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

Wenzetu Rwanda "wameadvance" ukifika kigali kuna maeneo wadada wanauza yanatambulika hadi na serikali, mfano kuna sehemu kigali wanaita gomora kahaba anakitambulisho kabisa!!![emoji12]
 
Ufaransa wao wamepiga mkwara kununua hii huduma, kwetu vipi haifai? Tukiona inafaa tuichukue tu. No malipo.
 
Pale Msamvu kuna night club inaitwa "Manyoni"...ni aibu sana.Chumba kimoja wanaingia hadi ten couples,kitanda kimoja...so dangerous
Sasa huo ni umafia kwani naamini kwa mwanaume mwenye busara hata ile hamu inapotea ukisha ona chumba kilivyo
 
Ufaransa wao wamepiga mkwara kununua hii huduma, kwetu vipi haifai? Tukiona inafaa tuichukue tu. No malipo.
Mkuu hao kina dada zetu wanafanya hii kitu kama njia mbadala ya kujiajiri
 
Ulichokifanya mkuu sio njia sahihi kama ulizani unakusudia kuzuwia tokea sasa tambua kwama ndio kwanza unawapigia debe huku ukiwatangazia biashara yao hiyo haramu na wewe una fungu lako kwa kila atakae soma uzi wako huu na ikawa ameenda kujiuza kwa kujua kuwa kuna sehemu kuna wateja wanaonunua bidhaa hiyo kwa pesa uliyoitaja au mtu akavutiwa na hiyo bei au huduma kwa ujumla akaenda kununua bidha hiyo uliyoitangaza ktk uzi huu tena bila hata kulia hiyo biashara uliyoitangaza
 
Mkuu nashukuru sana kwa kupata fursa nawe kushiriki huu mjadala
 
Tamaa mbele mauti nyuma,after all miili yetu ndo sehemu pekee tunayoishi hvyo tunapaswa tusiitese kwa tamaa za muda mfupi za madawa,pombe na ngono
 
Tupia picha tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…