Wengine ni kunguru mkuu, hawafugiki hata wawe na uhakika wa Kula kuvaa na kulala vitu ambavyo kwa %90 anafanana navyo mke mwenye ndoa yake, bado atauza mwili tu. Nimeyaona kwa binti wangu wa kazi alikuwa anapata mahitaji yote pale nyumbani kasoro ngono tu, lakini alikua usiku anatoroka kwenda kujiuza, anatoka mbezi mwisho, anaenda masoko ya Malaya sinza, Buguruni,Manzese na Kigamboni. Mchana alikua anavaa nguo za heshima usiku wa saa nne mpaka tano, anaoga anavaa vinguo vinavoishia mapajani anatoka zake kwenda kuuza nikakusanya ushahidi kwa kuona na kuambiwa na watu nikamuondoa.Mkuu ugumu wa kupata ela ni kila sehemu
Duuuu mkuu kama ulikuwa na watoto wako wa kike hakuwaambukiza hizo tabia chafu?pole sana aiseeWengine ni kunguru mkuu, hawafugiki hata wawe na uhakika wa Kula kuvaa na kulala vitu ambavyo kwa %90 anafanana navyo mke mwenye ndoa yake, bado atauza mwili tu. Nimeyaona kwa binti wangu wa kazi alikuwa anapata mahitaji yote pale nyumbani kasoro ngono tu, lakini alikua usiku anatoroka kwenda kujiuza, anatoka mbezi mwisho, anaenda masoko ya Malaya sinza, Buguruni,Manzese na Kigamboni. Mchana alikua anavaa nguo za heshima usiku wa saa nne mpaka tano, anaoga anavaa vinguo vinavoishia mapajani anatoka zake kwenda kuuza nikakusanya ushahidi kwa kuona na kuambiwa na watu nikamuondoa.
Mtoto wa kike ni mdogo umri miaka mitano tu, hata kaka zake ambao ni wakubwa hawakuwahi kumuona, muda anaotoka alikua anahakikisha tumejifungia ndani ndipo anatoka. Alikua analala chumba cha banda linalojitegemea, nashukuru kwa pole yako maana nilifuga kukunguru bila kujua.Duuuu mkuu kama ulikuwa na watoto wako wa kike hakuwaambukiza hizo tabia chafu?pole sana aisee
Pole sana mkuu hao ndio kunguru wa zanzibarMtoto wa kike ni mdogo umri miaka mitano tu, hata kaka zake ambao ni wakubwa hawakuwahi kumuona, muda anaotoka alikua anahakikisha tumejifungia ndani ndipo anatoka. Alikua analala chumba cha banda linalojitegemea, nashukuru kwa pole yako maana nilifuga kukunguru bila kujua.
Ni kweli na wapo wengi hapa mjini, kule Sinza, Manzese, Buguruni, Kigamboni na kwingineko hapa Dar wanapuuzia wanafuata masoko tu kumbe wanawake wanaojiuza wanatoka pande zote za mji.Pole sana mkuu hao ndio kunguru wa zanzibar
hahahaaaaaaaaaaaaaaa safi sana , soko huriaDuuuuuuuuu!!!!!!!!!!! Ctasahau morogoro msavu,nilifika ucku mida ya Saa tano , cjui hili wala lile nikaenda kutafuta sehemu ya kulala kufika pale nikakuta wasichana kibao ,nikaulizia chumba kabla hata cjajibiwa nashangaa navutwa huku nhuriaa huku mimi ndo naenda naye,ikabidi niwe mkali,na mda huo wife nimemuacha kwny gari.wakuu nilitoka mita mia moja ili kunusuru maisha yng.
Unaishi bush kijanaNiishi kijijini mie ni mkulima wa mawese kama wewe?
itigi na Kahumba wasichana wao hawaeleweki. kuna binti kahumba alikuwa anajisifu eti braza ake ni muimbaji wa kwenye vigodoro! ila kanacheza kihindi balaa. hivi tushikamane bado papo?Hahah hapo ni itigi watoto waliopinda kutoka uswazi chamwino, mafisa wanauza! ila si kweli wanafunzi wa chuo hawauzi itigi.. watoto wa chuo, hasa chuo cha st. Joseph, MUM, SUA na kidogo Mzumbe wanauza kule nyumbani park au wanapaita samaki spot na wachache utawakuta Vibe.. hizo ndo sehemu zina wauzaji classic wale saizi ya kati!!! Afu kuna wale wauzaji wale high quality, chimbo zao classified!!
Ni daladala mkuu akishuka huyu yule amepanda, haitaji kusalimiana uende wakati mnara umesoma sio eti ukatifutie network pale. Daladala nauli hapa Mia nne au Mia sita, inategemea Na safari yako ila Mara nyingi Hawa hupenda safari mjini ila ukiwa na mzigo unataka kupakia buti ya nyuma utaongeza nauli. Ila mabasi ya mikoani si unaona bei Yao wapo wanalipa mpaka elfu hamsini kutokana umbali, dada kwa bei ya uunadhani haiwalipi akipata abiria kumi tu anashilingi ngapi. Tahadhari nenda na chenchi kamili wengi Wao Ni mateja hawana aibu Na hata asie tena tayari amekopi Tabia ya kuto kuwa na aibu, wakidhurumu hutoweza gombana nao nawe umeenda kwa kujiiba pale.Kweli makahaba hawajithamini yaani buku be ndio unamvulia mtu??
Mmoja wa wafanya biashara umejitokezaUnaishi kijijini
Mambo ya moro umeyatoa wapi
He he he emeelezwa wazi wanajitega sehemu ambazo wasafiri hulala, sasa hii inahitaji uwe mkazi wa Moro kuyaona.Mmoja wa wafanya biashara umejitokeza