mtzedi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 6,199
- 6,461
Wewe ni "ashe naleng"?
Wewe ni "ashe naleng"?
Ukitaka kuona Ukabila upo Tanzania, tafuta mchumba wa kuoa au kuolewa naye, usikie vile wazazi wana comment.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wazaramo wanakosea watu ukiacha zile kelele zao.Sasa unataka wazazi wakuachie tu kirahisi uoe mzaramo huko wanakuona!?View attachment 1019438
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu,hii nchi ndio maana kila nikitaka kuiacha najikuta nimerudi,iko poa sana,yaani kila mkoa karibu niliowahi kutembelea hata ile yenye ukabila kidogo kuna Amani ya ajabu,watu tunajichanganya sana hadi raha..Ukabila haujawa tatizo, upo lakini kwa kiasi kidogo, bado wa-Tanzania wanapendana bila kujali makabila yao. Angali kwenye mambo ya kijamii kama vile misiba, harusi na mikusanyiko kama vile magroup ya WhatsApp, kwenye ma-bar watu wanashikiriana tu bila ya kujali hayo mambo ya makabila
Kweli aiseeeUpo sana ukisema nimepata mchumba utasikia ni kabila gani [emoji23]
Utakua muhaya weweUpo sana aisee ukisema tu kabila lako watu wengine huanza kukunanga ila wanaojielewa hawauweki maanani kabisa. Mimi nikikutana na mwanaume anaponda kabila langu basi hunitoka moyoni namuona ni mshamba flani coz no one is perfect regardless of kabila
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepatia ee
Mkuu mbona wamachame ni wachaga pia!!Tribalism
never end..
"Mwanangu
usioe mmachame
aisee!!ni bora
uoe Jirani zetu
wachagga
au Wamasai na wameru"
Mfano wewe ni kabila gani ??[emoji23] [emoji23]Upo sana aisee ukisema tu kabila lako watu wengine huanza kukunanga ila wanaojielewa hawauweki maanani kabisa. Mimi nikikutana na mwanaume anaponda kabila langu basi hunitoka moyoni namuona ni mshamba flani coz no one is perfect regardless of kabila
Sent using Jamii Forums mobile app