Ukabila bado ni tatizo Tanzania.

Ukabila bado ni tatizo Tanzania.

Wazazi watakua wajinga mwanao anaolewa au kuoa hawamfahamu hata kabila lake? Ni njia moja wapo ya njia ya kumchunguza kabla ya kuuingizwa katika ukoo.kumbuka undugu unatengenezwa hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazazi watakua wajinga mwanao anaolewa au kuoa hawamfahamu hata kabila lake!!!!!!
Ni njia moja wapo ya njia ya kumchunguza kabla ya kuuingizwa katika ukoo.kumbuka undugu unatengenezwa hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fukuza mkuu
Nidokeze kidogo:alienda kwao kujifungua mwezi December 2018, mwezi January akajifungua kwa bahati mbaya mtoto akafariki baada ya muda mfupi tu, familia yake wadai mtoto wao analogwa na watu wa kanda ya ziwa,watu wa kanda ya ziwa ni wachawi sana, wanatafuta sababu za kuivunja hiyo ndoa.
Kuna mengi tu ila dokezo ni hilo,
Soon nachukua maamzi magumu.

Tumia hekima mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usivunje ndoa kiurahisi hivo tafteni wazee wenye hekima

Pole mkuu. Nimegundua wazazi wetu hata kama wana elimu bado wanaamini sana kwenye mambo ya uchawi na ukabila.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sana aisee ukisema tu kabila lako watu wengine huanza kukunanga ila wanaojielewa hawauweki maanani kabisa. Mimi nikikutana na mwanaume anaponda kabila langu basi hunitoka moyoni namuona ni mshamba flani coz no one is perfect regardless of kabila

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mpalestina?
 
Back
Top Bottom