Ujumbe Wangu wa Jumapili Kwenu

Mzigua90

JF-Expert Member
Sep 23, 2014
38,232
88,078
Maisha mfupi haya kuanza kuingilia maugomvi ya watu usoyajua hata yalipoanzia na wewe kuchukua nafasi ya kugombana na mwingine. Waache wanaogombana wagombane wenyewe maana siku wakipatana utabaki na aibu.

Pia wale tunaogombana na wenzetu tujaribu kutoa tofauti zetu. Tusijenyamaza milele na visasi kwenye mioyo yetu.

Nawatakia week njema inayoanza kesho
20180416_193906.jpg
 
Wagombanao ndio wapatanao! Rafiki wa leo ni adui wa kesho na kinyume chake!

La muhimu ni kutambua sote tunapita tuu, vinyongo, chuki na fitina visitukoseshe mbingu. Yanapita tuu hayo, la mno ni kupendana na kuheshimiana na zaidi sana kuvumiliana!!
 
Heshima yako mkuu, ebu mwambie muhudumu akuongeze moja nitalipa mimi... tehteehhh
 
Maisha mfupi haya kuanza kuingilia maugomvi ya watu usoyajua hata yalipoanzia na wewe kuchukua nafasi ya kugombana na mwingine. Waache wanaogombana wagombane wenyewe maana siku wakipatana utabaki na aibu.

Pia wale tunaogombana na wenzetu tujaribu kutoa tofauti zetu. Tusijenyamaza milele na visasi kwenye mioyo yetu.

Nawatakia week njema inayoanza keshoView attachment 753706
Kuna ugomvi uliibuka hapa jamvini, mmoja wa wagimbanao akataka kukuingiza Na wewe kwenye ugomvi huo, Mungu ni mwema ulitumia hekima sana kujiepusha
 
Back
Top Bottom