Ujumbe wangu kwenu

Ujumbe wangu kwenu

Inawezekana hata wewe ulifake ile siku unamuona au kumtamkia maneno yako, na mtu aakuchukulia hivo

Halaf ujue palipo na wabaya wazuri hawakoseni tatizo mmeshakremisha hiyo kama formula ya maisha
Madame S kweli kila penye wabaya na wazuri wapo but shida moja kubwa mliyonayo Dada zangu wa kitanzania ni kuwa kamwe hampendi wanaume wakweli yaani mnapenda wanaume waongowaongo but mtu akiwa mkweli lazima aende na maji au atoke kapa.

Nina experience moja ya binti flani niliyewahi kuwa na uhusiano naye ambaye alikuwa na asili ya kiarabu ofcourse nilimpenda na nilitaka kumuoa for sure but b4 ya mie alikuwa na mtu flani ambaye alifariki kwa kupigwa risasi na majambazi basi mi ndo nikachukua nafasi.

Ila ktk mahusiano hayo nilikereka mpaka nikaacha gari iende nisubiri nyingine maana kila nilipofanya tofauti na matarajio yake hakuisha kumtaja huyo marehemu,Utasikia dah angekuwepo Fulani... asingenifanyia hv.

Assume mi nipo na pirika za maisha kumbe chuoni wapo kwenye Test hajakwambia ila usipompa pole basi nongwa mpaka namuuliza mm ni mfalme Njozi wa kuota kuwa mna test chuo???

Nilipochoka nilimwambia mama Songa tu ngoja mm nisubiri gari nyingine nahisi nimekosea ruti.
 
Asilimia zote, sababu huko alikokimbilia hakuko kama huku alikotoka, na hivo hamna sababu na yeye anakua anakukumbuka siku moja moja bas hakuna namna tu lakini ukiwa kimya na yeye unamuumiza mana ataanza jiuliza kama ulikua wampenda kweli au la sababu humsumbukii
Aiseee! Haya maisha bana
 
Umeona sasa?? So ex's bado unao japo hamjaachana kwa ubaya

Mimi nahisi niko tofauti, tukiachana hata kama tumeachana kwa wema sitak hata kukusogelea
Ex maana yake ni
-Thank you for Experience
-Your Time has Expired
-Now Exit in my life.

Mie nina marafiki wengi. Siunajua kuna mtu mnaachana sababu mmetofautiana Interests?? Sasa siri ya Mapenzi inaweza kua

Watu wanaoachana kiukwel ukweli niwale waloachana kwa sababu moja tu inayoangukia ktk suala la Tendo la ndoa yaan Sex au Manyanyaso makubwa yalomuumiza mmoja wenu .

Lkn mengine yalobaki huwa ni km mchezo wa mshale na Maamuzi magumu.

HATA IVO, NASHAURI WATU KUENDELEA NA MAHUSIANO YAO WALIYONAYO, MAMBO YA KUKUMBUSHIA SIO INSHU ni matumizi mabaya ya Miili.
 
Aiseee! Haya maisha bana
ndivo, sometimes uwe kama mwanaume, s wanasema wanaume mmeumbiwa mateso?? Ukue mgum usilie lie jikaze ukitaka kulia unalia chumbani kwako peke yako tena lia unavyiweza hakikisha ukitoka hapo hulii tena, inaruhusiwa.
 
Madame S kweli kila penye wabaya na wazuri wapo but shida moja kubwa mliyonayo Dada zangu wa kitanzania ni kuwa kamwe hampendi wanaume wakweli yaani mnapenda wanaume waongowaongo but mtu akiwa mkweli lazima aende na maji au atoke kapa.

Nina experience moja ya binti flani niliyewahi kuwa na uhusiano naye ambaye alikuwa na asili ya kiarabu ofcourse nilimpenda na nilitaka kumuoa for sure but b4 ya mie alikuwa na mtu flani ambaye alifariki kwa kupigwa risasi na majambazi basi mi ndo nikachukua nafasi.

Ila ktk mahusiano hayo nilikereka mpaka nikaacha gari iende nisubiri nyingine maana kila nilipofanya tofauti na matarajio yake hakuisha kumtaja huyo marehemu,Utasikia dah angekuwepo Fulani... asingenifanyia hv.

Assume mi nipo na pirika za maisha kumbe chuoni wapo kwenye Test hajakwambia ila usipompa pole basi nongwa mpaka namuuliza mm ni mfalme Njozi wa kuota kuwa mna test chuo???

Nilipochoka nilimwambia mama Songa tu ngoja mm nisubiri gari nyingine nahisi nimekosea ruti.
Haha, Pole saana mkuu. Lile kokoro la leo ulilisuka poa saana, wajinga wachache wamelichana... Maana nilitembea nalo

oooh kumbe, hapa sio jukwaa husika
 
ndivo, sometimes uwe kama mwanaume, s wanasema wanaume mmeumbiwa mateso?? Ukue mgum usilie lie jikaze ukitaka kulia unalia chumbani kwako peke yako tena lia unavyiweza hakikisha ukitoka hapo hulii tena, inaruhusiwa.
Hahaa, nmekusoma madam
 
Experience moja isikufanye uchanganye qote mkuu, ni rahisi jibu lako, hakua riziki yako, utapata mwengine mwema tu na usisahau hatujakamilika vipo vya kuvumialia na vingine havuwezekan sio vizur kuanza kutaja taja ex kwenye mahusiano mapya itokee tu bahat mbaya, isiwe topic kila uchwao,

Back
Top Bottom