BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,532
- 11,029
Aisee, Siwalaumu wanao jinyonga.. Hali ninayo ipitia kwa sasa ni Mungu tu anajua. Yaan kumbukumbu zooote za good moments zinakuja. Mbaya zaid kuna picha Zake kibao Nimesave kwenye Drive, natamani nianze kuzidelete. Ni almost Mwezi sasa tangu aniache. Kuna kipind unataman uchukue simu uombe msamaha muendelee ila unakumbuka kuwa hujamkosea chochote,, 😢si kila mahusiano yameandikwa yaishie kwenye ndoa mengine yapo kukufunza aina ya watu utakaokutana nao kwenye safari yako ya kimahusiano
Tena huyo amekua muwazi mpaka raha mana hajataka kukuzungusha kukupotezea muda zaidi
Wewe umetamkiwa live kuna mtu hata ile kuambiwa hajaambiwa japo matendo huonesha hapa sipo na bado mtu anajifariji anakuja shtuka ts too late
Usiumie, sio wa kwanza wala sio wa mwisho maadam u hai riziki yako i njiani yaja kua na imani na mvumilivu,muda utakujibu sahihi