supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,970
Nimemwambia tayari, utamkuta chumbani anakusubiri.Mwambie Daby aje mwenyewe kabla hakuja kucha.
Nimemwambia tayari, utamkuta chumbani anakusubiri.Mwambie Daby aje mwenyewe kabla hakuja kucha.
Nimemwambia tayari, utamkuta chumbani anakusubiri.
Ndio ufukweni lakini sio weekend hii, nimetaja na tarehe. Kipindi hiki utamsumbua tu mtoto wa watuNakumbuka ulisema Ufukweni, kumbe Chumbani...? Mwache alale, tutamalizana akishaamka.
WORDSomething isn't right here.
Mi bado lawama nyingi nitazitupa kwa wadada tu hasa wa humu JF,Licha ya kuwa sijawahi kuwa na mahusiano na yeyote but mmezidisha Copying & Pasting yaani hadi maisha mnayafanya hivyo.Everything you see in the Bongo movie you want every man to practice the same akiwa tofauti kidogo hana chake.
[emoji23]mkuu banaNimeshajaribu kukulipa sema details ulizonipa hazijatimia, fanya unitumie tena.
Ndio ufukweni lakini sio weekend hii, nimetaja na tarehe. Kipindi hiki utamsumbua tu mtoto wa watu
Sure.WORD
Dawa yako inachemka.Kesha kuwa mtoto? tena wa Watu? Yeye ndio atanisumbua maana kama unakumbuka anaitafuta hiyo kitu kwa ajili yangu....
[emoji23]mkuu bana
Ni kuhusu ile ishu yetu juzi sikuelewa ulichonambia
umepotea mwanaDawa yako inachemka.
Hauruhusiwi kuuliza swali. Wewe unatakiwa kuitikia ndio.
Hata kama nanilii pia sema ndio[emoji23][emoji23]
mama yeyo
ooh hapo sawa lakini usiache kuomba kupata wa kfanana nawe mwende sawaNashukuru ila uzuri hakuna binti niliyeachana nae kwa kugombana almost wote wamebaki kuwa marafiki zangu na tunawasiliana sana na wao ndio hunitafuta coz nilishawaambia siwezi kuwatafuta mm coz sitaki kuwasababishia mikwaruzano isiyo ya lazima ktk ndoa zao.
Ila nilifurahi siku moja ktk chating na mmoja wapo wakati nilipomuuliza juu ya strength na weakness zangu ktk mahusiano yetu,Alinipa jibu zuri mno kwangu.
Aliniambia
-Unapokuwa kwenye msimamo wako hupendi kuyumbishwa hivyo mke wako atapaswa kulijua hili
-Unapenda kuona mpenzi wako ana furaha wakati wote
Madhaifu akaniambia
-Unapenda kuchelewa kurudi nyumbani n.k
Hahahaha nilicheka sana nikamuwish maisha mema kwenye ndoa yake.
Yes nikitu kibaya sana ambacho huwa nawashauri watu, Mara mia uendelee kujikita na Mpya ,kuliko kukumbushia na alopita.
Ni.kumkosea sana mpya....nisawa na Pilau..pilau ukiupika na mchele wa zaman ulokaa sana ,wala haitanoga sababu viungo vinadunda....
Lkn ukiipika namchele mpya , wee uko mtaa wa saba lkn pua zinapasuka kwa harufu
mmh!!Wataka Uanze nini na bbade?
Wewe hii profile yako inamaanisha ???babe umesema bhana, chukua kadi kwa mwifwa tukacheze kwaito