Ujumbe wangu kwenu

Ujumbe wangu kwenu

Kuna wakati binaadamu unaweza kujikuta ukitamani kupenda lakini kuna wakati unaweza kujuta kwanini ulipenda.

Hakuna aneichukia furaha pindi inapomuangukia katika himaya yake, lakini je kila aitakaye furaha huipata wakati sahihi?

Wakati mwengine binaadam tunahitaji kupata faraja.

Hakuna kitu kizuri kama unapogundua umpendae, familia marafiki woote wapo nyuma yako kukupongeza ama kukusapoti kwa kile ufanyacho.

Sikatai katika Mapenzi kuna wasaliti, wezi, waongo na wengine woote wenye kusababisha maumivu.

Ila tambua kati ya Makundi mawili kati ya Wanaume na Wanawake amini kuwa wapo wenye Mapenzi ya kweli.

Japo kumpata mwenye Mapenzi ya dhati ni ngumu ila tafuta unachokiamini na Mungu atakupa kwa Imani yako.

Ni vibaya sana kuwahukumu Kundi fulani kwa kosa la Mtu Mmoja, achana na ule Msemo usemao samaki Mmoja akioza na Wengine wameoza.

Kila siku unaanzisha Mahusiano mapya ukiulizwa kwanini Mmeachana lawama zoote kwa waliokuacha kuwa wana tabia mbaya na unakiri ulikosea kuwa nao.

Jitazame kwa jicho la Tatu labda kuna sehemu unakosea na bado ujajua.

Japo alikuacha au ulimuacha kwa makosa yake ila na Wewe jitathimini amini kuwa ujakamilika.

Tumia angalau dakika tano kwa kila siku kujitathimi ni wapi ulipokosea kabla hujanyoosha kidole kwa mwenzako, inawezekana wewe ukawa chanzo cha yeye kubadilika.

Hakuna alieweza kuisimamia vyema misingi imara na kanuni za kimahusiano, kwa hiyo hata wewe unaweza kuwa sababu ya mabadiliko hayo bila kujijua.

Kabla ya kulalamika kwa watu ni afadhali ujitathimi, kisha utafute namna ya kujadiliana na mwenza wako, ili upate taswira ya muelekeo wako.

Alamsiq.
Husemwa hivi " Unaweza kupenda pale penye shari na wewe na unaweza kuchukia pale kwenye kheri na wewe"


Suala la mahusiano halitatuliwi kwa kura ya veto wala kwa vijiwe vya kahawa na mfano wake,suala la mahusiano huwekwa sawa kwa elimu,uadilifu na kusimamia usawa.

Vijana wa leo ni wajuaji sana,na wanapelekwa kwa hisia na misemo yenye sarufi mbovu sana,kuna hawa wasemao penzi humea kokote,hapa ndipo walipo potoka,kupenda kunataka elimu na kuwajua kina nani wakuwapelekea matatizo yenu pindi ya kiwakuta.

Kuna hili pia linalo wasibu sana au kutusibu sana sisi vijana,kwanza hatujui tuzipate wapi kheri na baraka za mahusiano yetu na hatuna vifua.

Almuhimu hatujui kupenda na hayo mapenzi ya kweli yamepewa maana isiyo stahiki.

Nitarudi....!
 
Aaahhhh Sawasawa basi wee ndivo ulivo.

Sometime kwa Faida? "adui ni kumfanya Rafiki ila mradi Hakupi Hasara bali Faida kwa gharama zake mwenyewe".
hapana faida itanicost baadae, na sipendi kuendelea kuwasiliana na ex hata kwa uzuri tena hasa nikiwa kwemye mahusiano mapya nahisi inaweza leta shida sasa hizi shida ndogo mdogo naweza ziepuka kwa afya ya mahusiano yangu
 
Mapenzi yasio ya kuumizana ni mna tongozana...mna gegedana.. mna achana.... uyo sio shangazi ako au mjomba ako kusema ukae nae miaka yote peke ako..... kumbuka kuna wanao nao wana hitaji nafasi apo... me uwa naumia kuachana na girl bila kugegeda
 
Husemwa hivi " Unaweza kupenda pale penye shari na wewe na unaweza kuchukia pale kwenye kheri na wewe"


Suala la mahusiano halitatuliwi kwa kura ya veto wala kwa vijiwe vya kahawa na mfano wake,suala la mahusiano huwekwa sawa kwa elimu,uadilifu na kusimamia usawa.

Vijana wa leo ni wajuaji sana,na wanapelekwa kwa hisia na misemo yenye sarufi mbovu sana,kuna hawa wasemao penzi humea kokote,hapa ndipo walipo potoka,kupenda kunataka elimu na kuwajua kina nani wakuwapelekea matatizo yenu pindi ya kiwakuta.

Kuna hili pia linalo wasibu sana au kutusibu sana sisi vijana,kwanza hatujui tuzipate wapi kheri na baraka za mahusiano yetu na hatuna vifua.

Almuhimu hatujui kupenda na hayo mapenzi ya kweli yamepewa maana isiyo stahiki.

Nitarudi....!
shukran.
 
Mapenzi yasio ya kuumizana ni mna tongozana...mna gegedana.. mna achana.... uyo sio shangazi ako au mjomba ako kusema ukae nae miaka yote peke ako..... kumbuka kuna wanao nao wana hitaji nafasi apo... me uwa naumia kuachana na girl bila kugegeda
hahahha haya sawa
 
Experience moja isikufanye uchanganye qote mkuu, ni rahisi jibu lako, hakua riziki yako, utapata mwengine mwema tu na usisahau hatujakamilika vipo vya kuvumialia na vingine havuwezekan sio vizur kuanza kutaja taja ex kwenye mahusiano mapya itokee tu bahat mbaya, isiwe topic kila uchwao,
Of course ndo maana ilibidi tu nishuke kwenye ile gari.

Ni ukweli ulio wazi kuwa tunapaswa kuvumiliana tu as long km tunaweza coz hakuna mkamilifu,Cha msingi ni kuangalia vipaumbele kwanza mfano mm kipaumbele changu huwa ni kumuona My love yupo happy no matter challenges za maisha but ninapokuta nyumbani mikono ipo kwenye tama aisee kichwa huwa kinakosa utulivu na sio kwake tu kwa mtu yeyote anayeishi ndani ya himaya yangu.HUU NDO MWIKO WANGU.
 
Kuna wakati binaadamu unaweza kujikuta ukitamani kupenda lakini kuna wakati unaweza kujuta kwanini ulipenda.

Hakuna aneichukia furaha pindi inapomuangukia katika himaya yake, lakini je kila aitakaye furaha huipata wakati sahihi?

Wakati mwengine binaadam tunahitaji kupata faraja.

Hakuna kitu kizuri kama unapogundua umpendae, familia marafiki woote wapo nyuma yako kukupongeza ama kukusapoti kwa kile ufanyacho.

Sikatai katika Mapenzi kuna wasaliti, wezi, waongo na wengine woote wenye kusababisha maumivu.

Ila tambua kati ya Makundi mawili kati ya Wanaume na Wanawake amini kuwa wapo wenye Mapenzi ya kweli.

Japo kumpata mwenye Mapenzi ya dhati ni ngumu ila tafuta unachokiamini na Mungu atakupa kwa Imani yako.

Ni vibaya sana kuwahukumu Kundi fulani kwa kosa la Mtu Mmoja, achana na ule Msemo usemao samaki Mmoja akioza na Wengine wameoza.

Kila siku unaanzisha Mahusiano mapya ukiulizwa kwanini Mmeachana lawama zoote kwa waliokuacha kuwa wana tabia mbaya na unakiri ulikosea kuwa nao.

Jitazame kwa jicho la Tatu labda kuna sehemu unakosea na bado ujajua.

Japo alikuacha au ulimuacha kwa makosa yake ila na Wewe jitathimini amini kuwa ujakamilika.

Tumia angalau dakika tano kwa kila siku kujitathimi ni wapi ulipokosea kabla hujanyoosha kidole kwa mwenzako, inawezekana wewe ukawa chanzo cha yeye kubadilika.

Hakuna alieweza kuisimamia vyema misingi imara na kanuni za kimahusiano, kwa hiyo hata wewe unaweza kuwa sababu ya mabadiliko hayo bila kujijua.

Kabla ya kulalamika kwa watu ni afadhali ujitathimi, kisha utafute namna ya kujadiliana na mwenza wako, ili upate taswira ya muelekeo wako.

Alamsiq.
Leo hii yanaitwa mapenzi ya kweli yale yaliyojengeka katika msingi wa uzinzi na upotofu ?

Upendo bila elimu stahiki mfano wake ni kama mavumbi yapoteayo angani.

Nayasema haya kwa rejea historia za nyuma za wale waliofanikiwa katika mahusiano.

Nakuunga mkono ya kuwa mapenzi ya kweli yapo na wenye mapenzi ya kweli wapo ila si kwa huu ufahamu ambao tuko nao vijana tulio wengi.
 
Mapenzi yasio ya kuumizana ni mna tongozana...mna gegedana.. mna achana.... uyo sio shangazi ako au mjomba ako kusema ukae nae miaka yote peke ako..... kumbuka kuna wanao nao wana hitaji nafasi apo... me uwa naumia kuachana na girl bila kugegeda
mapenzi ni zaidi ya hiki ilichoandika hapa
 
Of course ndo maana ilibidi tu nishuke kwenye ile gari.

Ni ukweli ulio wazi kuwa tunapaswa kuvumiliana tu as long km tunaweza coz hakuna mkamilifu,Cha msingi ni kuangalia vipaumbele kwanza mfano mm kipaumbele changu huwa ni kumuona My love yupo happy no matter challenges za maisha but ninapokuta nyumbani mikono ipo kwenye tama aisee kichwa huwa kinakosa utulivu na sio kwake tu kwa mtu yeyote anayeishi ndani ya himaya yangu.HUU NDO MWIKO WANGU.
nimependa hiyo falsafa yako mkuu, wanaume wachache wenye kujali furaha ya mkewe,

Uskate tamaa,zidisha ibada Mungu atakujibia tu utapata wa kufanana nawe,tabaki story
 
hapana faida itanicost baadae, na sipendi kuendelea kuwasiliana na ex hata kwa uzuri tena hasa nikiwa kwemye mahusiano mapya nahisi inaweza leta shida sasa hizi shida ndogo mdogo naweza ziepuka kwa afya ya mahusiano yangu
Kwako kama mwanamke NAKAZIA nimarufuku kuwasiliana na Ex wako , kwasababu nirahis ngamia Kupenya tundu lasindano lkn ngumu kwa mwanamke kumkatalia Ex wake wasikumbushane tena wanayewasiliana kila siku.

Hapa ndipo ilipoibukia Hoja ya Mama mwenye mtoto kuolewa upya , Ni mwenye akili+hekima+nidhamu+asopenda anasa+hofu ya Mungu =ndie atakaye mlinda mume wake mpya.

Kinyume nahapo atakuwapo Baba mzazi na Baba mlezi nawote mnahudumiwa vzuri.
 
Haha, Pole saana mkuu. Lile kokoro la leo ulilisuka poa saana, wajinga wachache wamelichana... Maana nilitembea nalo

oooh kumbe, hapa sio jukwaa husika
[emoji3] [emoji3] Mkuu we acha tu kazi ile naipenda ila presha zake tu ndo huwa zinanichosha.Anyway tutaongea tukienda kule kwetu
 
Back
Top Bottom