Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,179
- 34,528
- Thread starter
- #161
Hahaa hiyo para ya mwisho imeniacha hoi
Halaf kitendo cha kukumbushiana sjui na ex najiona nimejishusha thaman sana yan najiona naked mbele za watu japo nimejisitir
Hiki kitu Mungu aniepushie milele
Halaf kitendo cha kukumbushiana sjui na ex najiona nimejishusha thaman sana yan najiona naked mbele za watu japo nimejisitir
Hiki kitu Mungu aniepushie milele
Kwako kama mwanamke NAKAZIA nimarufuku kuwasiliana na Ex wako , kwasababu nirahis ngamia Kupenya tundu lasindano lkn ngumu kwa mwanamke kumkatalia Ex wake wasikumbushane tena wanayewasiliana kila siku.
Hapa ndipo ilipoibukia Hoja ya Mama mwenye mtoto kuolewa upya , Ni mwenye akili+hekima+nidhamu+asopenda anasa+hofu ya Mungu =ndie atakaye mlinda mume wake mpya.
Kinyume nahapo atakuwapo Baba mzazi na Baba mlezi nawote mnahudumiwa vzuri.