Ujumbe wangu kwenu

Ujumbe wangu kwenu

Hahahahahahahahahhahaa mimi huyu na aibu nilizokua nazo hahahhahahaa hapana
Pia ninayo dawa ya kuondoa aibu.
Inakwenda moja kwa moja kwenye mshipa wa aibu inaukata(X)
Itakusaidia kufunguka live live[emoji23][emoji23]
 
Ila siku hizi watu wengi hawaeleki si wanawake au wanaume ila ili upate ngano safi lazima uchambue makapi.maana makapi ni mepesi yataluka lkn ngano itabakia .
ukiwa na nia safi ukamtanguliza Mungu mbele inawezekana
 
Pia ninayo dawa ya kuondoa aibu.
Inakwenda moja kwa moja kwenye mshipa wa aibu inaukata(X)
Itakusaidia kufunguka live live[emoji23][emoji23]
hahahahiyo siitaki mimi sitaki dawa yoyote ile
 
wewe waona hivyo ngoja nikwambia kitu

Ujue we umedumu miaka hiyo umeona mingi kuna watu wana zaidi ya hivo hata hivo ushukuru mtu ameshakwambia muachane what else do u want?? Amekua muwazi shida ni ile unataka kitu ambacho kw aupande wa pili hakiwezekani tena unakubali matokeo tu japo utaumia kubali kuumia tena umia haswa usiogope ila kamwe usimuoneshe adui yako madhaifu yako, amesema tuachane fine tuachane, sitisha kila kitu kuhusu yeye japo muda ulioinvest hauwez kurud kamwe, halaf unasahau sio riziki mkuu au hujui kiaicho riziki hakiliki???
Inauma saana Mkuu. Napata mashaka kuamini kama kweli kuna wanawake wema dunia hii... Unaishi na mtu zaidi mpenzi, you share with her kila kitu. Ngoja niishie hapo
 
Inauma saana Mkuu. Napata mashaka kuamini kama kweli kuna wanawake wema dunia hii... Unaishi na mtu zaidi mpenzi, you share with her kila kitu. Ngoja niishie hapo
si kila mahusiano yameandikwa yaishie kwenye ndoa mengine yapo kukufunza aina ya watu utakaokutana nao kwenye safari yako ya kimahusiano

Tena huyo amekua muwazi mpaka raha mana hajataka kukuzungusha kukupotezea muda zaidi

Wewe umetamkiwa live kuna mtu hata ile kuambiwa hajaambiwa japo matendo huonesha hapa sipo na bado mtu anajifariji anakuja shtuka ts too late

Usiumie, sio wa kwanza wala sio wa mwisho maadam u hai riziki yako i njiani yaja kua na imani na mvumilivu,muda utakujibu sahihi
 
Madam S: Daby mambo

Daby: zzzzzzzzz

Madam S: Daby si nakupa hai

Daby: mwanangu supermarket yule dem amejileta mwenyewe, ile dawa inafanya kazi. Unamkumbuka yule nilimwambia anifanyie connection na mdogo wake

Supermarket: sasa si umsikilize anasemaje

Daby: poa madam s nambie

Madam S: unajua siku zote nilikuwa nakukimbia, kuna kitu nataka nikwambie, yani kila nilivyojaribu kukukimbia roho imenishinda

Daby:[emoji44][emoji44]
Supermarket: [emoji44][emoji44]
mkuu huu tani wa ngumi kabisa
 
Naam nmesoma ,nmeelewa kila kitu na Meseji nzuri, na nikuhakikishie, masikio na Na akili yangu yote huwa lazima niitulize ktk hoja zinazolenga kurekebisha mahali fulani kwa namna moja au nyingine.

Nachoshukuru katika mahusiano sijawahi kua sehemu Au chanzo cha ugonvi.

Huenda hii ndo sababu sina 'Ex'.
maana ya ex ni nini?? Tukianzia hapo mana kwa upande wangu mtu uliekua naye kwenye mahusiano mkaachana haijalishi kwa heri au shari n ex tayar, niko tayar kurekebishwa


Shukarn karib tena
 
Mapenzi ni kitu cha hovyo saana, Maumivu ya mapenzi hayafanani na chochote.. Pia hayazoeleki.. Inaumiza zaiD demu umedumu naye takribani miaka mitatu, umepita naye ktk shida na Raha halafu anakuja mpumbavu mmoja anambeba kirahisi saana.. Tena anakuambia muachane Kwa lazima akiwa hana sababu ya msingi ya kufanya hivo
inauma sana mkuu ila hakuna namna inabidi uache aende Mungu atakupa unachostahili sio unachokitaka na maisha yaendelee
 
Something isn't right here.

Mi bado lawama nyingi nitazitupa kwa wadada tu hasa wa humu JF,Licha ya kuwa sijawahi kuwa na mahusiano na yeyote but mmezidisha Copying & Pasting yaani hadi maisha mnayafanya hivyo.Everything you see in the Bongo movie you want every man to practice the same akiwa tofauti kidogo hana chake.
 
Inawezekana hata wewe ulifake ile siku unamuona au kumtamkia maneno yako, na mtu aakuchukulia hivo

Halaf ujue palipo na wabaya wazuri hawakoseni tatizo mmeshakremisha hiyo kama formula ya maisha
Something isn't right here.

Mi bado lawama nyingi nitazitupa kwa wadada tu hasa wa humu JF,Licha ya kuwa sijawahi kuwa na mahusiano na yeyote but mmezidisha Copying & Pasting yaani hadi maisha mnayafanya hivyo.Everything you see in the Bongo movie you want every man to practice the same akiwa tofauti kidogo hana chake.
 
Back
Top Bottom