Ujumbe wangu kwenu

Ujumbe wangu kwenu

Wewe hii profile yako inamaanisha ???
Halafu unasemaje babe tena nimeona wivu wivuuuu wivuuuu usije nkmezira
usinitee "wewe" bhana niite Archduke au reply bila kusema "wewe" au kunitaja jina 😉😉

😳 😳 wivu tena??
 
Wewe hii profile yako inamaanisha ???
Halafu unasemaje babe tena nimeona wivu wivuuuu wivuuuu usije nkmezira
hukuona imetosha na uzi ukanianzishia, hebu niache nipumue, shidayo nipaniki eeenh!! Nyie malizanen huko msinijumlishe kwenye mambo yenu

Archduke mwana kulitafuta ndio mwana kulipewa.
 
Husemwa hivi " Unaweza kupenda pale penye shari na wewe na unaweza kuchukia pale kwenye kheri na wewe"

Suala la mahusiano halitatuliwi kwa kura ya veto wala kwa vijiwe vya kahawa na mfano wake,suala la mahusiano huwekwa sawa kwa elimu,uadilifu na kusimamia usawa.

Vijana wa leo ni wajuaji sana,na wanapelekwa kwa hisia na misemo yenye sarufi mbovu sana,kuna hawa wasemao penzi humea kokote,hapa ndipo walipo potoka,kupenda kunataka elimu na kuwajua kina nani wakuwapelekea matatizo yenu pindi ya kiwakuta.

Kuna hili pia linalo wasibu sana au kutusibu sana sisi vijana,kwanza hatujui tuzipate wapi kheri na baraka za mahusiano yetu na hatuna vifua.

Almuhimu hatujui kupenda na hayo mapenzi ya kweli yamepewa maana isiyo stahiki.

Nitarudi....!
Kabisa Mkuu,Umeongea kwa uchache lakini ni maneno yenye uzito.
Nakukubali.
 
Leo hii yanaitwa mapenzi ya kweli yale yaliyojengeka katika msingi wa uzinzi na upotofu ?

Upendo bila elimu stahiki mfano wake ni kama mavumbi yapoteayo angani.

Nayasema haya kwa rejea historia za nyuma za wale waliofanikiwa katika mahusiano.

Nakuunga mkono ya kuwa mapenzi ya kweli yapo na wenye mapenzi ya kweli wapo ila si kwa huu ufahamu ambao tuko nao vijana tulio wengi.
Mkuu cha kuongezea tukirejea nyuma wazee wetu wengi walifanikiwa katika mapenzi Sababu Walipewa Elimu na wanaekwenda kukutana nao pia Waliusiwa sana katika kuzikabili changamoto.
Waliingia katika Mahusiano yao bila kujua wala kujali wanaokwenda kukutana nao ni watu wa aina gani,kipato chao wala makbila yao,kwasababu hio waliusiwa na kupewa Elimu juu ya swala zima la mapenzi walifanikiwa.
 
Asante sana mkuu. Ukweli huu vijana wa utandawazi na wakubwa wao hawataki kuusikia,sasa kinachowakuta ni KUFANYA KAZI MARA MBILI.
 
Asante sana mkuu. Ukweli huu vijana wa utandawazi na wakubwa wao hawataki kuusikia,sasa kinachowakuta ni KUFANYA KAZI MARA MBILI.
Kabisa Mkuu tulishakosea na kusawazisha hatutaki.
 
Back
Top Bottom