Ujumbe wangu kwa wanasiasa wote waislam

Ujumbe wangu kwa wanasiasa wote waislam

Naomba niwapa darasa kidogo waumini wenzangu wanaisiasa.

Hatujakatazwa kushiriki ktk siasa wala kuwatumikia wananchi kwa njia ya kisiasa.
Siasa ni moja ya kazi binaadam inampatia rizik zake.

1. Watoto kuwapa elimu ya shule na elimu ya dini. Wengi wenu tunawapa watoto elimu ya shule na kuwaacha kutowapa elimu ya dini.

Baada ya kuondoka dunia hii mtoto mwenye dini ndio atakusaidia. Atakuombea dua na atakutolea sadaka ambayo itakuaa na faida kubwa kwako. Mtoto wa shule ukifa tu atakimbilia mali na kuzivuruga. Ukiumwa tu mtoto wa shule bila madrsa atataka ufe atumie mali, huruma hana

2. Kuupa kipaumbele dini yako badala ya siasa. Kuisoma dini yako . Ukifa huzikwi na nyimbo za Chama. Ukifa unazikwa kiislam na dua kwa wingi. Hii inamaana dini ndio kila kitu

MIAISHA YA DUNIA NI MPITO TU. AKHERA NDIO KILA KITU

Sema: Starehe ya dunia ni ndogo, na Akhera ni bora zaidi kwa mwenye kuchamngu...” (Kurani 4:77)

“Na maisha ya dunia si chochote ila ni mchezo na pumbao. Lakini nyumba ya Akhera ni bora zaidi kwa walio mcha Mungu. basi hutaelewa?” (Quran, Al-An'aam: 32)
Waislam tafutene vyote Ahera na Dunia kama wenzenu Wakristo.
 
Waislam tukifa hatuziki kwa nyimbo za Chama vyetu. Tunasomewa quran, kuswaliwa na kuombewa na dua kwa mujibu wa dini
 
Kuna jamii ya watu mpaka Leo hii wao Wana amini ukishakufa ndio basi tena hakuna accountability yoyote! Wanavyojua wao ni kuwa ukishakufa na lako halipo ndio ushakuwa udongo hivyo.

Ndio maana unakuta msiba alafu wadau wanakunywa pombe na kupiga mziki.!

Msiba kwao sio mazingatio Bali wana ona kama marehemu alikuwa mzembe flani hivi ndio maana amekufa.

Kuna kauli hizi ponda Mali kufa kwaja.!

Sisi waislamu tuna njia zetu za kuishi maana maisha ya Duniani sio ya mwisho Bali Kuna maisha mengine ya kaburini ambayo yanaitwa barzah. Na haya maisha hayakwepeki hata ukijaribu kutumia keyboard kupinga na mishipa ya shingo kukutoka

Maisha ya kaburini yapo na utaishi hapo na utafufuliwa siku ya kiama na utahukumiwa na kupelekwa unapostahili !!! Kwa maisha unayoishi utakuwa unajua ww ni wapi utaelekea motoni au peponi

Kwahiyo ndugu zangu hatuwatishi Wala nini mana nyie hamchelewi kusema hii ni dini ya kufuga majini au dini ya vitisho !!

Mwisho WA siku lazima watu wapate elimu ya wanapofikia ambayo ni elimu ya kiulimwengu elimu ambayo inamtambua Allah subhanallahu wataala.
Mashallah
 
Dini unaijua wewe? Ulimbukeni tu ukiamini kusoma madrasa ndo maadili,mbona wengine wanasoma madrasa wanawaua wenzao bila hatia? Unatuletea story za alifulela olela hapa. Dini kama unaijua ijuwe wewe na sio kutaka Kila mmoja afate unachofanya.Kila mmoja mbingu ataipata mbingu Kwa nafasi yake.
 
Ndugu yangu umetoa darsa zuri na ukumbusho wenye manufaa kwa Muislamu yeyote hata Kama sio mwanasiasa.
 
Dini unaijua wewe? Ulimbukeni tu ukiamini kusoma madrasa ndo maadili,mbona wengine wanasoma madrasa wanawaua wenzao bila hatia? Unatuletea story za alifulela olela hapa. Dini kama unaijua ijuwe wewe na sio kutaka Kila mmoja afate unachofanya.Kila mmoja mbingu ataipata mbingu Kwa nafasi yake.
Ametoa ushauri hajamlazimisha mtu kufuata kwa nguvu,halafu huu ujumbe ni maalumu kwa waislamu.
 
Naomba niwapa darasa kidogo waumini wenzangu wanaisiasa.

Hatujakatazwa kushiriki ktk siasa wala kuwatumikia wananchi kwa njia ya kisiasa.
Siasa ni moja ya kazi binaadam inampatia rizik zake.

1. Watoto kuwapa elimu ya shule na elimu ya dini. Wengi wenu tunawapa watoto elimu ya shule na kuwaacha kutowapa elimu ya dini.

Baada ya kuondoka dunia hii mtoto mwenye dini ndio atakusaidia. Atakuombea dua na atakutolea sadaka ambayo itakuaa na faida kubwa kwako. Mtoto wa shule ukifa tu atakimbilia mali na kuzivuruga. Ukiumwa tu mtoto wa shule bila madrsa atataka ufe atumie mali, huruma hana

2. Kuupa kipaumbele dini yako badala ya siasa. Kuisoma dini yako . Ukifa huzikwi na nyimbo za Chama. Ukifa unazikwa kiislam na dua kwa wingi. Hii inamaana dini ndio kila kitu

MIAISHA YA DUNIA NI MPITO TU. AKHERA NDIO KILA KITU

Sema: Starehe ya dunia ni ndogo, na Akhera ni bora zaidi kwa mwenye kuchamngu...” (Kurani 4:77)

“Na maisha ya dunia si chochote ila ni mchezo na pumbao. Lakini nyumba ya Akhera ni bora zaidi kwa walio mcha Mungu. basi hutaelewa?” (Quran, Al-An'aam: 32)
WATU WENGI WANAWAPA WATOTO ELIMU YA DINI KULIKO ELIMU YA DUNIA. HIVYO WANAJIKUTA HAWAWEZI PAMBANUA MAMBO WANAFUATA MKUMBO KILA WANALOAMBIWA.
 
Naona radical muslims mmeanza kuvamia jf,mwisho wasiku mtaanza kuwaambia wanasiasa wajitenge na wasio waislamu,dini ya hovyo sana hii.
Hapa unatutukana wote mkuu ebu deal na huyo usitukane watu wote hiyo ni kukosa hekima
 
Naomba niwapa darasa kidogo waumini wenzangu wanaisiasa.

Hatujakatazwa kushiriki ktk siasa wala kuwatumikia wananchi kwa njia ya kisiasa.
Siasa ni moja ya kazi binaadam inampatia rizik zake.

1. Watoto kuwapa elimu ya shule na elimu ya dini. Wengi wenu tunawapa watoto elimu ya shule na kuwaacha kutowapa elimu ya dini.

Baada ya kuondoka dunia hii mtoto mwenye dini ndio atakusaidia. Atakuombea dua na atakutolea sadaka ambayo itakuaa na faida kubwa kwako. Mtoto wa shule ukifa tu atakimbilia mali na kuzivuruga. Ukiumwa tu mtoto wa shule bila madrsa atataka ufe atumie mali, huruma hana

2. Kuupa kipaumbele dini yako badala ya siasa. Kuisoma dini yako . Ukifa huzikwi na nyimbo za Chama. Ukifa unazikwa kiislam na dua kwa wingi. Hii inamaana dini ndio kila kitu

MIAISHA YA DUNIA NI MPITO TU. AKHERA NDIO KILA KITU

Sema: Starehe ya dunia ni ndogo, na Akhera ni bora zaidi kwa mwenye kuchamngu...” (Kurani 4:77)

“Na maisha ya dunia si chochote ila ni mchezo na pumbao. Lakini nyumba ya Akhera ni bora zaidi kwa walio mcha Mungu. basi hutaelewa?” (Quran, Al-An'aam: 32)
Dini si kipaumbele kwetu Waafrika, mtoto wako akikuzwa katika imani ya kiroho na kimila ya kwenu atakuenzi tu ukifa na pengine atakuenzi vizuri zaidi maana hizi dini za maboti si zetu na ni za kutungwa na binadamu. nani anajuwa kuwa hata ukiombewa Mungu anakusikiliza?
 
Sasa unamjua anaishi vipi huko aliko? Pengine anajuta kwanini hakuwa muislam( Wallah aalam)
Kuna kuishi tena baada ya kufa? Huo ni uzushi tu, au ni ndoto zako, ukifa umekufa hayo mengine ni hisia tu wala hakuna ukweli wowote.
 
Basi hapo usikute kavaa msuli na matalawanda yupo chini ya muembe anasema acha niyakomeshe haya.
 
Back
Top Bottom