UJUMBE wa SMS wa Lema kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha

Kama mnakumbuka huyu mkuu wa mkoa aliwahi kusema wakati mahakama ilimvua aliekuwa mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema kuwa "amani sasa itapatikana".sijui kama huyu mkuu wa mkoa bwana Magessa atayasikia maneno ya Lema sana huyu mkuu wa mkoa atahakikisha ccm inashinda kama ilivyo kawaida ya wakuu wa mikoa(wateule wa raisi/wawakilishi wa chama cha mapinduzi).
 
Chadema kuna vidume hatujaoa apeleke maombi yake atapata bwana wa kumliwasa...amekalia kutung'ang'ania sisi tulioa....

Sasa na we mkuu unataka kumwoa Desi Mangola?
Nakuambia ukimweka ndani machangudoa wote wanaacha kwenda shiverz wanakuja kwako. halafu wateja wao wanajazana nyumbani.
 
Last edited by a moderator:
Kama mnakumbuka huyu mkuu wa mkoa aliwahi kusema wakati mahakama ilimvua aliekuwa mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema kuwa "amani sasa itapatikana".sijui kama huyu mkuu wa mkoa bwana Magessa atayasikia maneno ya Lema sana huyu mkuu wa mkoa atahakikisha ccm inashinda kama ilivyo kawaida ya wakuu wa mikoa(wateule wa raisi/wawakilishi wa chama cha mapinduzi).

Hakuna mpambanaji anayelia lia hahaha ukimuona analilia jua ni dizain ya LEMAKAMERUN ngastuka mnama
 
Wakati wa Mungu ukifika hata uwe na jeshi la mwili, umiliki mahakama, jela nk. Hutafanikiwa maana Mungu wa kweli anawapigania wanyonge na kuwapa ujasiri wa ajabu kama wa Lema na kushinda vita zote za kidunia.
 
Kama mnakumbuka huyu mkuu wa mkoa aliwahi kusema wakati mahakama ilimvua aliekuwa mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema kuwa "amani sasa itapatikana".sijui kama huyu mkuu wa mkoa bwana Magessa atayasikia maneno ya Lema sana huyu mkuu wa mkoa atahakikisha ccm inashinda kama ilivyo kawaida ya wakuu wa mikoa(wateule wa raisi/wawakilishi wa chama cha mapinduzi).
tunajua mkuu huyu wa mkoa kapewa zawadi ya viwanja huko arusha.hii sms ni warning kwamba awe tayari kwa matukio ya ulipizaji kisasi.
 
Asante Lema kuwa mtetezi wa haki za binadamu...wale wadhanio wataendelea kunyang'anya haki daima wanajidanganya kwani siku moja tutakujaona watu wakijitetea na hao ndiyo watakaoitwa na watawala wakorofi.
 
Hakuna mpambanaji anayelia lia hahaha ukimuona analilia jua ni dizain ya LEMAKAMERUN ngastuka mnama
Analiialia kamuuliza baba mwanaasha ana muanya kama ukoma alikuwa hakanyagi arusha mpaka alipo fanya mipango ya kuondolewa ubunge, ukiona shida kuumuuliza vasco dagama muulize Pinda mpaka lleo anamaswali ya lema ameshindwa kuyajibu akaokolea na bi kiroboto...
 
Sasa na we mkuu unataka kumwoa Desi Mangola?
Nakuambia ukimweka ndani machangudoa wote wanaacha kwenda shiverz wanakuja kwako. halafu wateja wao wanajazana nyumbani.
Unajua hawa ni dada zetu kama yukotayari kuacha uchangudoa nikashauli kuna vijana hawajaoa apeleke maombi ila mimi nilishaoa asijisumbue....labda anipe tigo ni weke angalau gunzi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom