UJUMBE wa SMS wa Lema kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha

Aliiba magari ya mama yako...mbona hamfungui kesi mahakamani, wakati serikali iko chini yenu mna mwogopa....

Na si alikuwa Jela na Mjusi ndio Nyapara mkuu ila Lema alitoka kanenepa sana....Shavu hihaaa na ile sehemu ya Kamerun ilifutuka zaidi sasa hatujui nn kilichotokea huko
 
Na si alikuwa Jela na Mjusi ndio Nyapara mkuu ila Lema alitoka kanenepa sana....Shavu hihaaa na ile sehemu ya Kamerun ilifutuka zaidi sasa hatujui nn kilichotokea huko
Haya maneno kaa na mama yako mjadiliane kama ni kweli ama laah...
 
Kuna msemo usemao kuwa " ushikwapo shikamana". Wananchi wa daraja mbili wanatakiwa kuwapa kichapo hao magamba wachache iwapo magamba wamewachokoza. Aluta continua...

Huyu mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya ya aursha ni watu wasiofaaa kabisa kuwa watumishi wa wananchi wa arusha ni hatari kwa usalama wa wananchi, wanatumia majambazi yanayovunja nyumba za wananchi na kuiba, wanauji wananchi, wakikamatwa wanaachiwa chini ya muda wa lisaa mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya ndo wanawapa kiburi cha kupiga watu kwenye mikutano! Nawapa tahadhari siku nguvu ya umma ukichikua mkondo wake wasije wakatulaumu!
 
Kuna msemo usemao kuwa " ushikwapo shikamana". Wananchi wa daraja mbili wanatakiwa kuwapa kichapo hao magamba wachache iwapo magamba wamewachokoza. Aluta continua...

amani ki2 muhimu sana, serikali ya ccm imefikia mahali haizingatii tena suala la amani, wanachotaka wao ni madaraka2, ifike mahali sasa wananchi tuwakatae kwa nguvu zetu zote mana wanatumia fedha za kodi zetu kutoa rushwa, wanatumia vyeo tulivyowapa kutunyanyasa, ndugu zangu wa arusha na popote tanzania tuukatae utumwa wa kuongozwa na hawa magamba wasio na uchungu na maisha ya watanzania...AMEN
 
Lema ni mwanafalsa aliyehai na anaetembelea falsafa yake leo!

Hongera kamanda, kama muhusika hata sikia na kuelewa basi ghadhabu ya Jah ijuu yao ccm
 
Lema ni mwanafalsa aliyehai na anaetembelea falsafa yake leo!

Hongera kamanda, kama muhusika hata sikia na kuelewa basi ghadhabu ya Jah ijuu yao ccm

Mkuu Yericko umenena vyema! Naamini mwenye jina lako la Mwisho angekuwa hai asikuwa ndani ya hili dumbwana lenye mikono ya wavuja damu.
 
mmejawa na matusi,chuki na husuda kwenye mitandao,majukwaa ya kisiasa,kwenye nyumba za ibada na majumbani. na wewe unaliwa denda na padre slaa


SAM_2620.JPG


SAM_2615.JPG
 
ccm ilikuwepo tangu uhuru huyu mtu hajafanyiwa haya.tatizo ni chadema,ndio wenye fujo na wanaleta mauaji
CCM ilee na CCM hii zinafanana majina tuu.CCM ya Nyerere eti kwenye uchaguzi utoe rushwa?hata ukimnunulia mtu karanga ili kumshawishi unapigwa chini. Hii ya sasa mpaka mawaziri wanaenda kuhongea vyooni mikutano ya vijana na wanawake,aibu gani hiyo. Na lakushangaza unaambiwa source ya fedha hizo ni wagombea Urais toka CCM. Hicho ndio chama ambacho mpo watu mnajionea fahari kuwa humo! Kama wataka urais wanamwaga rushwa hivyo na hawakanushi,NAWAHAKIKISHIA WATZ KUWA 2015 kama CCM itapewa madaraka NCHI ITAKUWA MBAYA KULIKO HATA SASA
 
Mkuu wa mkoa yeye hana roho? hawezi kufa? Tunaomba wapambe wake watafute majibu ya maswali haya. wakishayapata watende haki wasipotenda haki MUNGU anakwenda kuwaondoa mmoja baada ya mwingine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom