DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
"Ndugu wananchi Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anapenda kuwatakia wananchi wote heri ya Sikukuu ya Uhuru wa Tanzania Bara inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 9 Desemba, aidha serikali inawashauri wananchi wote ambao tarehe 9 desemba 2025 hawatakuwa na dharura kuitumia siku hiyo kwa mapumziko hivyo kushereheka siku hiyo wakiwa nyumbani isipokuwa kwa wale ambao majukumu yao ya kazi yanawataka kuwepo katika vituo vya kazi kama ambavyo wataelekezwa na viongozi wao"
Ujumbe wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuhusu Maadhimisho ya Sikukuu ya Uhuru Desemba 9, 2025, na kuwasilishwa na Waziri mkuu wa Mwigulu Lameck Nchemba.
Ujumbe wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuhusu Maadhimisho ya Sikukuu ya Uhuru Desemba 9, 2025, na kuwasilishwa na Waziri mkuu wa Mwigulu Lameck Nchemba.