Ujumbe wa Oktoba Mosi


*Mada:- USIMCHUKIE NDUGU MOYONI MWAKO ANAPOKOSA, MUONYE KWA UPENDO NA KUMREJESHA KWA UPOLE ILI AIJUE KWELI NA KUTUBU.".*

Neno:- Mithali 24:25 & 28:23

Bali kwao wakemeao furaha itakuwako; Na baraka ya kufanikiwa itawajilia.
Amkemeaye mwenzake hatimaye atapata kibali; Zaidi ya mtu ajipendekezaye kwa ulimi wake.

AMEN
 
"Andiko hili ni fumbo la imani "huu mwezi wana wa nchi hii watafika nchi ya Ahadi baada ya Taabu nyingi "Mungu wa Mbinguni atafanya safari yao iwe ya heri japo njiani kuna Nyoka,nge,Simba na njaa kali!!!"

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Maji yakapunguka-punguka hata mwezi wa kumi; mwezi huo wa kumi, siku ya kwanza ya mwezi, vilele vya milima vikaonekana.

Neema ya Mungu ikufunike mwezi huu. Kila penye changamoto ukaone vilele vya vilima. Ukapokee nguvu mpya, ukapokee tumaini jipya, ukapate kibali mbele za Mungu na wanadamu.

Happy New month.
Amen...
 
Laana za kutosha ziende kwa yule aliyefanya mauaji ya watu wasio na hatia na kuwagawa WATANZANIA.
food-drink-vegan-vegetarians-meat-meat_eaters-oil_price-bfrn142_low.jpg
 
Back
Top Bottom