Kama wanalipwa kidogo waache kazi basi vile lengo la mfanyabiashara(hata ungekuwa ni wewe) ni kuongeza faida na kupunguza matumizi
Na angeandika juu ya aliowatendea mabaya kama wapo Mshana Jr
You just have to strike a balance you do not have to have super profits!!
Ujinga mtupu ulioandika, mtu mzima ovyoooooooMfalme Suleiman aliomba yeye mwenyewe hekima na busara kwa mwenyezi Mungu huyu wa kwetu anaomba aombewe
We delicious koma kabisa kunizoea, ambaruti mkubwa weUjinga mtupu ulioandika, mtu mzima ovyooooooo
Kwanini apapambane na magufuli? Magufuli kamkosea nini mpaka apambane nae?Hana ubavu wa kupambana na Magufuli
KAMA anafanya kwa siri,atapata sifa kwake aonaye sirini!!me napambana na hali yangu..Na kama anasaidia watu kisirisiri bila ya mtu kujuwa? We unafikiri Reginald Mengi huyo! Anaependa kujitangaza!!
Kila biashara ina gharama za uendeahaji,je unajua anatumia kiasi gani na kupata faida kiasi gani? Hao wanaolalamika kupunjwa mishahara mbona hawaachi kazi na kwenda kwenye mishahara mikubwa? Hapana shaka wameona kote Misha hara inafanana,na huenda kwa mo kuna nafuu ndiyo maana bado wapo. Napata shaka huenda ulishiriki kumteka MO.Kweli hii ni imani ya nguzo ya juu sana lakini hawa METL waanze huko kwenye makapuni yao kwa kuwalipa wafanyakazi vizuri hapo MO atakuwa anatekeleza vizuri hiyo imani yake! Watu wanalia huko METL mshahara kiduchu sana.
ulitaka asemeje we muke mutu[emoji196] [emoji216] [emoji218] [emoji126]Ameandika mawazo yake tayari wakina yakhee washaweka zao nyingi tafsiri!
safari hii korow show amegoma kununua halafu shamba hanaKatoa ajira,ni mlipa kodi mkubwa,ni mnunuzi wa mazao ya wakulima,
tukana kama unajuaMbona matusi tena? kama hukuupenda ushauri wangu si ungejibu bila matusi? au unadhani mimi sijui kutukana?
ndo umeanza na bintiBinti unachokitafuta utakipata,endelea tu kujitoa ufahamu.
me nasubiria kale ka chip alikowekwa kaonyeshe wapi walimswekahuyu kuna siku isiyo na jina atajikuta amefunguka tu.
safari hii korow show amegoma kununua halafu shamba hana
Napata shaka huenda ulishiriki kumteka MO.
Na wewe uliambiwa maana taarifa ili kuwa kwa uma. Shaka yangu unapomtuhumu Mo kuwapunja mishahara wafanyao kazi kwake. Hayo ndiyo mliyokwenda kumuhoji nae akakubali au chuki zenu juu ya matajiri tu? Nikufahamishe kuwa,matajiri na Masikini walikuwepo hata kabla ya YesuMliambiwa waliomteka walitoka bondeni na mimi sitoki huko hivyo sikushiriki utekaji wake; dhuruma zao kwenye biashara ndio zinawafanya watekane!! Jamaa wanatumia ufadhili wa michezo kama chambo cha kuneemesha biashara zao huku wadanganyika mkiwa mmezubaa tu!!