Asnam
JF-Expert Member
- Jan 18, 2012
- 4,256
- 2,949
mhm sasa kweli jamani wanawake kama hawa wakuoa!!?? sii wakugegeda tuu na kutupa kule
hahahahahahaha nimenyoosha mbavu zangu bila kutarajia.
mhm sasa kweli jamani wanawake kama hawa wakuoa!!?? sii wakugegeda tuu na kutupa kule
Tena kwa sie wanawake, mamamkwe siyo mama mama yako hata ukimbeba mgongoni hata umwogeshe. ukiwa na matatizo yako kimbilia kwenu ukijifanya kumshitaki mumeo kwa mama yake imekula kwako. Siyo mzazi wako yule na kamwe hawezi kukuelewa. Usipoteze muda kufanya hivyo.
Cha maana ni kumheshimu imetosha na usiweke vikolombwezo vingine.

wanaelewa basi. mama mkwe si mama yako, full stop. kumuheshimu inatosha
Apana shosti sio wote,wengine wanaubinadamu na wanapenda haki,nadhani inategemea vile unavyo mchukulia kumbuka sikuzote mapenzi ndio yatamfanya hata kama anaroho mbaya basi atabadilika nakwambia haya kwa kuyaona,mie na mkwe wangu tunaelewana sana tena sana sifanyi jamboo bila kumshirikisha kama mzazi na usisahau na wewe iko siku utakua mkwe kama yeye...
Baadhi wana maneno sana, ila baadhi pia ni wazuri anakupenda kama mama mzazi....
inategemea umeangukia wapi, pole mwaya!!!!
Tena kwa sie wanawake, mamamkwe siyo mama mama yako hata ukimbeba mgongoni hata umwogeshe. ukiwa na matatizo yako kimbilia kwenu ukijifanya kumshitaki mumeo kwa mama yake imekula kwako. Siyo mzazi wako yule na kamwe hawezi kukuelewa. Usipoteze muda kufanya hivyo.
Cha maana ni kumheshimu imetosha na usiweke vikolombwezo vingine.
Kwani mmelazimishwa kuishi na mama mkwe au mnadoea pango?
Wewe Miss Pirate ndoa yenyewe bado, ushaanza kumlalamikia mama mkwe, ukiolewa utakaa kweli? Na hii ndo nini kitchen party kwa wadada?!
Apana shosti sio wote,wengine wanaubinadamu na wanapenda haki,nadhani inategemea vile unavyo mchukulia kumbuka sikuzote mapenzi ndio yatamfanya hata kama anaroho mbaya basi atabadilika nakwambia haya kwa kuyaona,mie na mkwe wangu tunaelewana sana tena sana sifanyi jamboo bila kumshirikisha kama mzazi na usisahau na wewe iko siku utakua mkwe kama yeye...
Wewe nawe ni mkwe wa mtu?Tena kwa sie wanawake, mamamkwe siyo mama mama yako hata ukimbeba mgongoni hata umwogeshe. ukiwa na matatizo yako kimbilia kwenu ukijifanya kumshitaki mumeo kwa mama yake imekula kwako. Siyo mzazi wako yule na kamwe hawezi kukuelewa.