Ujumbe wa leo: Mama Mkwe

Ujumbe wa leo: Mama Mkwe

Tena kwa sie wanawake, mamamkwe siyo mama mama yako hata ukimbeba mgongoni hata umwogeshe. ukiwa na matatizo yako kimbilia kwenu ukijifanya kumshitaki mumeo kwa mama yake imekula kwako. Siyo mzazi wako yule na kamwe hawezi kukuelewa. Usipoteze muda kufanya hivyo.
Cha maana ni kumheshimu imetosha na usiweke vikolombwezo vingine.
hapo umenena
 
hpo umesema shosty.mama mkwe sio mama ako hta.tena ukimuweka kama mamako utalia wengi sio wazuri.lkn ina2paswa 2waheshimu 2.mm mama mkwe wangu alitaka kunivuruga tena si kidog,ndoa ingekufa kma ningekuwa lele mama.mpk sawa chezea mm wewe.kingine, umpate mwanaume anaempenda mamake sana au last born bas wee utaisoma bila roho ya paka na hekima ndoa itakushinda.lastly,hyo mtto wake (wakiume)awe na vijisenti lahh?anaona kma vile unavimaliza hajui kma mnatafuta na mwanae aka.

Umeona ee yani kuna mwengine huyo yy nikuwaweka wanae vikao tu mara hili siri wake zenu wasijue haya hayahusu wake zenu alafu ni mama mkwe wifi na shemeji zako hao wamekabidhiwa mtoto wawatu wakutunze utakunya cheche na kujamba moto mwisho wa mwezi ukifika tu huyo kashapiga cm ana muacha mtoto mweupeee mwisho wa mwaka huyo by suprise hee hamna hata bajaji ee hiyo kazi haikusaidii kabisa yani ni fujo alafu eti ni mama yangu kani fanyaje cjui aliekupenda ni mwanae na sio mamayake wee mzoee analake huyo
 
wewe nae mpana ka chapati. kwani umeona mahali imeandikwa tupo pango moja?

Bold maneno ya saluni hayo....Ila nilimaanisha kama mnaishi kwenu sioni interaction kubwa kati yenu. Pia usitegemee kuwa kijana milele kuna siku nawe utaishi na wakwe zako...Jifunze uvumilivu na heshima kwani topic yako inaonyesha jinsi ulivyo
 
Tena kwa sie wanawake, mamamkwe siyo mama mama yako hata ukimbeba mgongoni hata umwogeshe. ukiwa na matatizo yako kimbilia kwenu ukijifanya kumshitaki mumeo kwa mama yake imekula kwako. Siyo mzazi wako yule na kamwe hawezi kukuelewa. Usipoteze muda kufanya hivyo.
Cha maana ni kumheshimu imetosha na usiweke vikolombwezo vingine.

Nimetamani nigonge like tano kwa wakati mmoja!
 
Tena kwa sie wanawake, mamamkwe siyo mama mama yako hata ukimbeba mgongoni hata umwogeshe. ukiwa na matatizo yako kimbilia kwenu ukijifanya kumshitaki mumeo kwa mama yake imekula kwako. Siyo mzazi wako yule na kamwe hawezi kukuelewa. Usipoteze muda kufanya hivyo.
Cha maana ni kumheshimu imetosha na usiweke vikolombwezo vingine.
Kama ndo mumeo napiga talaka ukoo wenu mzima
 
Umeona ee yani kuna mwengine huyo yy nikuwaweka wanae vikao tu mara hili siri wake zenu wasijue haya hayahusu wake zenu alafu ni mama mkwe wifi na shemeji zako hao wamekabidhiwa mtoto wawatu wakutunze utakunya cheche na kujamba moto mwisho wa mwezi ukifika tu huyo kashapiga cm ana muacha mtoto mweupeee mwisho wa mwaka huyo by suprise hee hamna hata bajaji ee hiyo kazi haikusaidii kabisa yani ni fujo alafu eti ni mama yangu kani fanyaje cjui aliekupenda ni mwanae na sio mamayake wee mzoee analake huyo
Kwa hali hiyo lazima ndoa iwe na shida maana haingozwi na wana ndoa bali ni watu wengine wa pembeni, hata busara ya mwanaume inatakiwa katika kulisimamia hili. ila kama mipango yote inafanywa na wazazi lazima watakuwa wanahoji kila hatua ya maendeleo yenu
 
Hii ndiyo tatizo la kuoa mke ambaye kazidiwa upeo na mama yako kwa mbali. Kila akijaribu hili, anagonga ukuta kwa even jibu moja tu.
 
Kama wewe ni mwanamke na hayajakukuta, yakishakukuta ndo utagundua kuwa huyu sio wa milembe wala lutindi.
Mimi ni dume mkuu.Ila wanawake wa siku hizi wapo kidigitali sana yaani adabu,heshima na uvumilivu hakuna kabisa.Kazi yao ni uvivu tu na milawama isiyoisha(sio wote).
 
Ubarikiwe
Mama mkweeee.. Swadaktaaaaa nani kama mama mkweee..???

Unafanya mchezo ee.. Kama sio yeye mume ungempata wapi wewe??

We ujishaue kitaa nampenda baby wangu, ooh his handsome, responsible n blaaaaa..

Unafikir bila mama mkwee kumzaa na kukulelea ingekuwaje!
(Mungu amjalie maisha marefu my mama mkwe anipende asinipende, namheshimu na namthamini)

BTW I have a son too.. Ngoja nikalee vyema ka handsome boy kangu kwa ajili ya mkewe. Afu niije nipokeee za uso miee, but ntakuwa nshakamilisha wajibu wangu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tena kwa sie wanawake, mamamkwe siyo mama mama yako hata ukimbeba mgongoni hata umwogeshe. ukiwa na matatizo yako kimbilia kwenu ukijifanya kumshitaki mumeo kwa mama yake imekula kwako. Siyo mzazi wako yule na kamwe hawezi kukuelewa. Usipoteze muda kufanya hivyo.
Cha maana ni kumheshimu imetosha na usiweke vikolombwezo vingine.

Pole sana miss pirate, naona km yamekukuta vile!
But just take it easy, calm down!! Sio hivyo kama unavyogeneralize hayo mambo!!

Kumbuka kila binadamu ana his/her desires na kila binadamu ana his/her ability of putting his/her desires under control. Na hapo ndipo binadamu tunapoanza kuonyesha tofauti zetu. Ukweli ninao amini ni huu:

Every person should be treated as per his/her status na position yake but treatment yote inayofanywa izingatie utu wa mwanadamu(binadamu tunatofautiana na lazima tutofautiane, am not a president i dont deserve people to treat me like a president(its not my status and its not my position as well), am not a woman i dont deserve people to treat me like a woman(its not my status and its not my position as well), etc etc etc.
I mean mama mkwe apewe stahiki zake km status na position yake inavyoelekeza na si vinginenevyo

Kuweka vikorombwezo is a willing of an individual na wala sio status yake na sio position yake pia!!

Naamini kwa kufanya hv every preson ata-injoi maisha yake kulingana na borders zilizopo baina ya mtu na mtu!
Ahsante!!
 
Tena kwa sie wanawake, mamamkwe siyo mama mama yako hata ukimbeba mgongoni hata umwogeshe. ukiwa na matatizo yako kimbilia kwenu ukijifanya kumshitaki mumeo kwa mama yake imekula kwako. Siyo mzazi wako yule na kamwe hawezi kukuelewa. Usipoteze muda kufanya hivyo.
Cha maana ni kumheshimu imetosha na usiweke vikolombwezo vingine.

Tena hata sisi wanaume hivyo hivyo, mama mkwe si mama yetu bwana, mie nimeoa mwanae sio yeye, sina undugu nae mama yako, nina mama yangu mie!
 
Back
Top Bottom