Miss Pirate
JF-Expert Member
- Oct 27, 2010
- 305
- 75
- Thread starter
- #61
Tena hata sisi wanaume hivyo hivyo, mama mkwe si mama yetu bwana, mie nimeoa mwanae sio yeye, sina undugu nae mama yako, nina mama yangu mie!
mtajibeba
Tena hata sisi wanaume hivyo hivyo, mama mkwe si mama yetu bwana, mie nimeoa mwanae sio yeye, sina undugu nae mama yako, nina mama yangu mie!
Anacho kinena
Kipi hapo?
Are you OKTena kwa sie wanawake, mamamkwe siyo mama mama yako hata ukimbeba mgongoni hata umwogeshe. ukiwa na matatizo yako kimbilia kwenu ukijifanya kumshitaki mumeo kwa mama yake imekula kwako. Siyo mzazi wako yule na kamwe hawezi kukuelewa. Usipoteze muda kufanya hivyo.
Cha maana ni kumheshimu imetosha na usiweke vikolombwezo vingine.
Are you OK
Bila shaka unafanana na Ebitoke au Matumaini kwa mbaliiii