Ujumbe wa leo kwa wanajamii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujumbe wa leo kwa wanajamii

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kilimasera, Mar 24, 2010.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Asia:

  Vijana hukaa na wazazi hadi anapofikia wakati wa kuoa na akisha oa au kuolewa huchagua mzazi mmoja na kuishi kwake kwa muda fulani ndipo huanza maisha.


  Australia:

  Mabinti huwaomba vijana wa kiume kwenda nao “outing” kwa ajili kuombwa uchumba na analipa gharama zote kama vile chakula na vinywaji.


  Columbia:

  Kama msichana unatoka naye kwenda kuongea kwa mara ya kwanza kawaida huambatana na rafiki yake mmoja wa kike unawajibika kuwalipia gharama zote.

  Finland:

  Vijana wa kiume na kike huenda kwa kundi moja kama 30 hivi lengo likiwa ni kutafuta wachumba (matching).

  Latin America:
  Kaka au dada yeyote atakaye muomba mwenzake kutoka naye kwa ajili ya mazungumzo ya faragha (uchumba) anawajibika kulipa gharama zote za vinywaji na chakula.

  Japan:
  Siku Valentine wanwake huwapa zawadi wanaume na baada ya mwezi kuna white day ambayo wanaume nao hutoa zawadi kwa wapenzi wao wa kike.

  India Kaskazini:
  Hakuna uchumba hadi wazazi wamkubali msichana ambaye unataka kumuoa kama wewe ni kijana wa kiume, wazazi wakikataa umeumia na kama wakikubali unaruhusiwa full speed kuoa.

  Je, sehemu unayoishi wewe tamaduni za kuoana zipoje?
  Au hakuna kanuni na taratibu rasmi?
  Je, njia mnazotumia zinasaidia vipi kuhakikisha wachumba wanafahamiana na kujuana ili kuwa na maisha ya ndoa yenye mshikamano na si migongano
   
 2. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Yaani wewe unajua kabisa JF pamoja na kuwa na wanachama wengi walio nje ya nchi wengi wa wanachama wako Tanzania. Lakini hata huweki utaratibu wa Tanzania au nchi walau moja ya kiAfrika?
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Africa -Tanzania ...Utata mtupu
   
 4. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,784
  Likes Received: 1,970
  Trophy Points: 280
  Tanzania kuhakikisha uchumba mpaka kwanza mfanye the needful, hahahah. Goodmorning everybody
   
 5. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  leo umeniacha hoi kabisa ebu rudi tena
   
Loading...