englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
mabinti watatu wote mnajishtukia mna mpenzi mmoja halafu mnaitana majina mabaya mazito. Itaneni teammates mtatue hilo tatizo.
sasa ujembe ndo nini?
hadi tutatue tatizo kwani wanaume wameisha?
kama wewe peke yako tu unao 8, kwa nini wadada wa3 wang'ang'ane kwa mkaka mmoja?Ndo nashanga.
kama wewe peke yako tu unao 8, kwa nini wadada wa3 wang'ang'ane kwa mkaka mmoja?
Mie nikigundua mpenzi wangu ako na mwingine nampiga chini fasta afu navuta mwingine cna muda wa kujibishana na wanawake wengine
sasa ujembe ndo nini?
kama wewe peke yako tu unao 8, kwa nini wadada wa3 wang'ang'ane kwa mkaka mmoja?
ha haaa, lol!Ujembe nadhani ni hali ya kuwa na uwezo wa kulima au kukatua...
umeona eeeh!Ndo hapo.
Hapa ndo mjini,
kila mume na majukumu yake.
Huwa unatumia break down au yale mambo ya kamati ya ufundi kuvuta kidume kipya?
umeona eeeh!
ngoja wengine tubaki kijijini tu, lol!
sasa ujembe ndo nini?
hadi tutatue tatizo kwani wanaume wameisha?
tena bila chenga, lol!Hahahahaaa ila ujembe umeupata @FP
Kwani nyie kuwapata kazi basi?easy sana afu wote wanakuwa na status ukiwao na heshima zao huwezi amini
utawapata hao wengine tu, ila huyu watu8 hata kwa maikroskopu huwezi kumuona
Nyie mnafanana bana so kama ninawapata wao hata wewe nawe naweza kukupata