Chocs
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 8,447
- 4,842
Wana akil sana hao mabibi
Lol. Kuna shosti wangu aligundua kuna mwanamke mwingine. akamuambia uje hapa kwake saa tatu utanikuta. Wakakaa na kuhadithiana yaliyojiri, wakapika na chai. Wakaanza kumpigia simu. Huyo extra anamuambia jamaa leo ntakuja kulala. Jamaa anajibu aah naenda morogoro jioni baby. Shosti wangu anapiga usiku nikupikie nini manake sijaenda job. Jamaa anajibu dont worry baby nitakuja na mbuzi choma. Wamemuweka kwenye loud speaker wanacheeka!
Siku hizi kupigania mwanaume ni ushamba. Hata kina wema sepetu tu na akili zao za kukolezea na moto still hawatukanani!