Ujumbe uliotakiwa uendane na picha hii umpotea ghafla

kweli, nakujua tulivyokuwa tungombania zawadi za utulivu tulivyokuwa vidudu....

Waakti ule si tulikuwa tunagombani asana zawadi ya utulivu ila kwa sasa sijui kama inawezekana tena

Mhhhhh??wote ndio walewale

Mhhh Honey Faith hapa umekosea sio kabisa hatuwezi kuwa sawa

Asiponithibitishia yeye basi tena maana yeye ndio mlinzi wangu
utafiti ni mlinzi mhhh mbona utata hapa aise

walewale na nani Honey Faith....? Mr Rocky eti umeelewa hapa kweli....?
kabanga hata sijaelewa anamaanisha nini hapa nimeachwa sokoni tandale nashangaa machungwa

utafiti ndio mlinzi wako....?

Mhh na wewe umeona hii eeeh haileti kabisa
 
Last edited by a moderator:
Waakti ule si tulikuwa tunagombani asana zawadi ya utulivu ila kwa sasa sijui kama inawezekana tena

Mhhh Honey Faith hapa umekosea sio kabisa hatuwezi kuwa sawa

utafiti ni mlinzi mhhh mbona utata hapa aise

kabanga hata sijaelewa anamaanisha nini hapa nimeachwa sokoni tandale nashangaa machungwa

Mhh na wewe umeona hii eeeh haileti kabisa

Mmm kazi kweli kweli
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom