Ujumbe uliotakiwa uendane na picha hii umpotea ghafla

Ujumbe uliotakiwa uendane na picha hii umpotea ghafla

Waakti ule si tulikuwa tunagombani asana zawadi ya utulivu ila kwa sasa sijui kama inawezekana tena

inawezekana hata sasa, lakini si kwa vitu vyote tena....

Mhhh Honey Faith hapa umekosea sio kabisa hatuwezi kuwa sawa


utafiti ni mlinzi mhhh mbona utata hapa aise


kabanga hata sijaelewa anamaanisha nini hapa nimeachwa sokoni tandale nashangaa machungwa


yaani huyu Honey Faith anachanganya kweli....

Mhh na wewe umeona hii eeeh haileti kabisa

huyu jamaa Honey Faith balaa...
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha.. Mtoto kama yule unagombana nae nini sasa Honey Faith..? Akininunia mie nitampigia zeze kumbembeleza.. Akitoa chozi nitaliwahi na kisahani cha dhahabu ni kulirudisha jichoni kwake.. Akilalamika nitaisimamisha dunia kwa muda ili nisikilize shida yake.. Ombi lake kwangu ni amri..

Kuhusu ile issue ileee nimeamua kumuachia babu Asprin.. Alikuja kuniomba nimuachie mjukuu wake aendelee kumlea..

CC Eshy m.s

Kam zis way bebiii....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom