NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,250 Feb 11, 2015 #1 Tafakari uzuri wa rangi. Siku njema
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,250 Feb 11, 2015 Thread starter #2
milioni milioni JF-Expert Member Joined Mar 25, 2013 Posts 1,845 Reaction score 1,066 Feb 11, 2015 #3 Ka ugonjwa kangu aisee,hako ka juu ni kazuri sana.
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Feb 11, 2015 #4 nimeouona mahali nauleta sasa hivi
Gwangambo JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 3,637 Reaction score 1,208 Feb 11, 2015 #5 Ngoja waje Team Vidosho MO11 et al wataleta ujumbe tu, sisi Team Kilaji na Kitu ta Arusha hatuhusiki hapa.
Ngoja waje Team Vidosho MO11 et al wataleta ujumbe tu, sisi Team Kilaji na Kitu ta Arusha hatuhusiki hapa.
WABALLA Inc JF-Expert Member Joined Sep 2, 2014 Posts 2,711 Reaction score 1,018 Feb 11, 2015 #6 Mh!Biashara matangazo siku hizi
Tee Bag JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 7,220 Reaction score 5,627 Feb 11, 2015 #7 Huyo wa pili, kifua kinanibamba kishenzi
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,250 Feb 11, 2015 Thread starter #8 milioni milioni said: Ka ugonjwa kangu aisee,hako ka juu ni kazuri sana. Click to expand... Kumbe tuko wodi moja ya wagonjwa
milioni milioni said: Ka ugonjwa kangu aisee,hako ka juu ni kazuri sana. Click to expand... Kumbe tuko wodi moja ya wagonjwa
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,250 Feb 11, 2015 Thread starter #9 Tee Bag said: Huyo wa pili, kifua kinanibamba kishenzi Click to expand... Nakuunga mkono kabisa.
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,386 Feb 11, 2015 #10 NAPITA nimesahau ngoja kwanza niangalie tena nawezza kukumbuka Hebu MO11 na Kibo10 na kabanga na utafiti wafikirie kama wanaweza Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
NAPITA nimesahau ngoja kwanza niangalie tena nawezza kukumbuka Hebu MO11 na Kibo10 na kabanga na utafiti wafikirie kama wanaweza
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Feb 11, 2015 #11 Mr Rocky said: NAPITA nimesahau ngoja kwanza niangalie tena nawezza kukumbuka Hebu MO11 na Kibo10 na kabanga na utafiti wafikirie kama wanaweza Click to expand... Mr Rocky ngoja nami niangalie tena... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mr Rocky said: NAPITA nimesahau ngoja kwanza niangalie tena nawezza kukumbuka Hebu MO11 na Kibo10 na kabanga na utafiti wafikirie kama wanaweza Click to expand... Mr Rocky ngoja nami niangalie tena...
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,250 Feb 11, 2015 Thread starter #12 Mr Rocky said: NAPITA nimesahau ngoja kwanza niangalie tena nawezza kukumbuka Hebu MO11 na Kibo10 na kabanga na utafiti wafikirie kama wanaweza Click to expand... Ha!ha!ha! Angalia angalia mkuu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mr Rocky said: NAPITA nimesahau ngoja kwanza niangalie tena nawezza kukumbuka Hebu MO11 na Kibo10 na kabanga na utafiti wafikirie kama wanaweza Click to expand... Ha!ha!ha! Angalia angalia mkuu
N Nasolwa JF-Expert Member Joined Jun 12, 2008 Posts 1,827 Reaction score 301 Feb 11, 2015 #13 Hivi NAPITA hujawadhalilisha kweli wenye picha hizi???????
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,676 Feb 11, 2015 #14 Mr Rocky said: NAPITA nimesahau ngoja kwanza niangalie tena nawezza kukumbuka Hebu MO11 na Kibo10 na kabanga na utafiti wafikirie kama wanaweza Click to expand... Baba mdogo kwa baba mkubwa na MO11 huyu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mr Rocky said: NAPITA nimesahau ngoja kwanza niangalie tena nawezza kukumbuka Hebu MO11 na Kibo10 na kabanga na utafiti wafikirie kama wanaweza Click to expand... Baba mdogo kwa baba mkubwa na MO11 huyu
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,386 Feb 11, 2015 #15 utafiti said: Baba mdogo kwa baba mkubwa na MO11 huyu Click to expand... utafiti huyo MO11 akija huku anaweza asifanye kazi leo NAPITA said: Ha!ha!ha! Angalia angalia mkuu Click to expand... NAPITA nimesahau miwani nyumbani mpaka nikaichukue aise kabanga said: Mr Rocky ngoja nami niangalie tena... Click to expand... Hebu vaa miwani mkuu uangalie vyema Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
utafiti said: Baba mdogo kwa baba mkubwa na MO11 huyu Click to expand... utafiti huyo MO11 akija huku anaweza asifanye kazi leo NAPITA said: Ha!ha!ha! Angalia angalia mkuu Click to expand... NAPITA nimesahau miwani nyumbani mpaka nikaichukue aise kabanga said: Mr Rocky ngoja nami niangalie tena... Click to expand... Hebu vaa miwani mkuu uangalie vyema
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,250 Feb 11, 2015 Thread starter #16 Nasolwa said: Hivi NAPITA hujawadhalilisha kweli wenye picha hizi??????? Click to expand... Kivipi wakati wamepiga wenyewe na wamevaa wenyewe na ndio rangi zao na sura zao.
Nasolwa said: Hivi NAPITA hujawadhalilisha kweli wenye picha hizi??????? Click to expand... Kivipi wakati wamepiga wenyewe na wamevaa wenyewe na ndio rangi zao na sura zao.
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,841 Feb 11, 2015 #17 Wachangiaji ndio wale wale.Ningeshangaa kama ningewakosa😀 By the way wazima nyie? Mr Rocky utafiti MO11 kabanga Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Wachangiaji ndio wale wale.Ningeshangaa kama ningewakosa😀 By the way wazima nyie? Mr Rocky utafiti MO11 kabanga
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,676 Feb 11, 2015 #18 Honey Faith said: Wachangiaji ndio wale wale.Ningeshangaa kama ningewakosa😀 By the way wazima nyie? Mr Rocky utafiti MO11 kabanga Click to expand... Hahaha mimi nimeitwa na Mr Rocky Mimi mzima, vp wewe?? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Honey Faith said: Wachangiaji ndio wale wale.Ningeshangaa kama ningewakosa😀 By the way wazima nyie? Mr Rocky utafiti MO11 kabanga Click to expand... Hahaha mimi nimeitwa na Mr Rocky Mimi mzima, vp wewe??
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,250 Feb 11, 2015 Thread starter #19 happiness win unaona navyojitahidi kumpa promo sijui nae anapita pita humu hata anikumbuke tu {Flat wangu}
happiness win unaona navyojitahidi kumpa promo sijui nae anapita pita humu hata anikumbuke tu {Flat wangu}
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,250 Feb 11, 2015 Thread starter #20 Honey Faith said: Wachangiaji ndio wale wale.Ningeshangaa kama ningewakosa😀 By the way wazima nyie? Mr Rocky utafiti MO11 kabanga Click to expand... Wangonjwa ni wengi wa hiyo rangi.
Honey Faith said: Wachangiaji ndio wale wale.Ningeshangaa kama ningewakosa😀 By the way wazima nyie? Mr Rocky utafiti MO11 kabanga Click to expand... Wangonjwa ni wengi wa hiyo rangi.