Ujumbe uliotakiwa uendane na picha hii umpotea ghafla

Ujumbe uliotakiwa uendane na picha hii umpotea ghafla

Naomba usimseme chriss kabisa.Kugombana kunatokea katika relationship yoyote whats matter how you handle it.Hope ule mpango unaishakamilika sosoliso

Ha ha ha.. Mtoto kama yule unagombana nae nini sasa Honey Faith..? Akininunia mie nitampigia zeze kumbembeleza.. Akitoa chozi nitaliwahi na kisahani cha dhahabu ni kulirudisha jichoni kwake.. Akilalamika nitaisimamisha dunia kwa muda ili nisikilize shida yake.. Ombi lake kwangu ni amri..

Kuhusu ile issue ileee nimeamua kumuachia babu Asprin.. Alikuja kuniomba nimuachie mjukuu wake aendelee kumlea..
 
Last edited by a moderator:
Nikiwa nae huyo silali usingizi, kazi kumtolea macho tu hata "kumla" sitaki kaz kumwangalia tu
Daaah huyu mtoto anaenda chooni kweli..?

Binti mzuri huyu Mash'allah..

Halafu yule poyoyo Cris Brown kaachia hiki kitu kudadadadake zake lol.. Mpwa Elli hebu ukujege hapa uone kitu hiki.. Uniambie hapa mchepuko kama utakuwapo..
 
Wewe sosoliso unasema tu haujui walipitia yapi hadi kumwagana.Kama babu alikuomba basi hamna shida
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom