Awesome... i like itMy dear X,
Naamini haukuwa mpango wa Mungu tuishi pamoja, yote yanayotokea kwenye maisha yetu yana sababu.
Sisi ni binadamu, tuna mapungufu pia. Kuishi na binadamu yahitaji uvumilivu, busara na hekima pia. Hayo tulikuwa nayo kwa kiwango kikubwa lakini niseme haikuwa imepangwa tuwe wa kufa na kuzikana.
Mimi nina amani pamoja na yote yalotekea, naanimi nawe una aamani pia.
Mungu akupe wa kufanana nawe my dear X!!!
Kudadeq [emoji2][emoji2][emoji2]"Mi ndio maji usiponinywa utanioga, usiponioga hata chooni utanitumia, usipontumia chooni utanifulia nguo zako nenda mwanakwenda", hapa still unampenda but unajifanya mwache aendee [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Nashukuru japo ulikuwa kati ya wanaume walionipenda kwa dhati na ulisema huitaji kunigusa mpaka ndoa ila tamaa zilinikumba na kukusaliti. Japo now ni mke wa mtu ila sitachoka kukuomba msamaha ili nitengeneze amani nawe na si kwamba nataka kurudiana nawe najua hiyo haitakua na kamwe siwezi ruhusu hilo ila nachoamini kwa upendo uliokuwa nao kwangu ulikuwa mkubwa mno sikustahili kukufanyia niliyofanya I am so sorry G.
Dear Ex(s),
Naendelea vizuri na huyu mwanaume nilie nae. Nampenda sana. Pole kwa kukupotezea muda.
S.
Message inanihusu. Toa J weka TAnisamehe sana kwa kumuumiza vile, huku nilipo ni mateso tuu..natamani nirudishe muda nyuma nisimkosee tena lakini nd ivo haiwezekani. You're so missed Baby J
Huyo huyo naemlilia ndo nampenda mkuu.Mzigua unazingua ka jina lako, we juzi si ndo ulikuwa unalia lia kuhusu mapenzi?
Dah, we jamaa bana...!!! ALIFUATA KIKI KWAKO..??? Wewe ni maarufu sana eeh..?? Kama hutajali, may I know dat...!!! Ila respect whoever she is no mata wat..!!My dear Ex
Nimepata habari umetolewa posa
Umepata kibosile mwenye pesa
Kwangu ulifuata kiki kuishi na mimi usafirie nyota
Kweli kisichoridhiki hakiliki
Ona unavyonitesa
Kwenye harusi nitakuja nione walivyokupamba
Ninajua itaniuma ila nitajikaza
Nitaleta na zawadi nitampa mkono jamaa
Kwahyo upo single saivi?My dear X,
Naamini haukuwa mpango wa Mungu tuishi pamoja, yote yanayotokea kwenye maisha yetu yana sababu.
Sisi ni binadamu, tuna mapungufu pia. Kuishi na binadamu yahitaji uvumilivu, busara na hekima pia. Hayo tulikuwa nayo kwa kiwango kikubwa lakini niseme haikuwa imepangwa tuwe wa kufa na kuzikana.
Mimi nina amani pamoja na yote yalotekea, naanimi nawe una aamani pia.
Mungu akupe wa kufanana nawe my dear X!!!
Bado nakupenda sana mzigua wangu plz usinifanyie hivyo En I alwayz tells you[emoji125]Dear Ex(s),
Naendelea vizuri na huyu mwanaume nilie nae. Nampenda sana. Pole kwa kukupotezea muda.
S.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado nakupenda sana mzigua wangu plz usinifanyie hivyo En I alwayz tells you[emoji125]
Unacheeeka mwenyew kama nakuona vile nlivojitoa kwa ajil yko kumbe mwenzangu unanichora tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]