DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,983
- 30,867
Tutegemee siku moja kusikia ikulu ya magufuli imevamia na kikosi kinachoongozwa na Makonda(Bashite)Alievuruga mkutano wa Nape ni mtoto kipenzi wa baba mwenye nyumba acheni kumung'unya maneno na haya yote anayofanya yana baraka zote za mkuu. Tutegemee makubwa zaidi ya haya.
Nape amekosea kushindwa kujua anatumiwa na wapinzani na wauza ngada. natumaini akitambua kosa na kusimama bila kutetereka kwenye itikadi ya ccm atarejea tena kwenye ngazi ya juu ccm. yeye bado ni kijana
Kumbukumbu kidogo enzi tupo poriniiNawapa kumbukumbu kidogo kipindi tuko porini kwenye ujenzi wa chama wao walikuwa Kona Bar, Leaders Club wanakula maisha......
Halafu leo mnatuona machoko sawa sisi ni CCM tulikulia kwa Kinana na mtoto wa Mjini JK tutakutna tuuh
Wakimkamata lisu na lema mbina mnakenua meno, kwani hawa c viongozi wa kitaifaTetty sikuzote inapokuja jambo lenye maslahi ya Taifa ni vyema tukaweka uchama pembeni hii haikubaliki ata kidogo leo kwangu kesho kwako ata Mwenyekiti wako Chama analijua hiloo leo utashangilia Nape kafanyiwa hivii Je kesho akifanyiwa mtu mwingine kwenye chama chenu utajisikiaje
Mkuu Hamna uchaguzi tena.. yaani hapa ndiyo tayari ivo.Lumumba naelekea kuifananisha na team bora ilochukua kombe (kushinda uchaguzi 2015) hiyo team ikauza wachezaji wake wote muhimu bila kukumbuka kuna mashindano yanakuja mbeleni (uchaguzi 2020)
Sidhani mtakuja kupambana na wapinzani kuutetea ubigwa wenu kwa kuwatumia wachezaji ambao bado hawajaiva kwa mikiki mikubwa kina pole pole,kina ***** daah mtakuwa MNA Kazi kubwa sana huko mbeleni
Nitashangaa sana kama Mwanaume kabisa unakende mbili unatumia kionjo cha kike (nyoooo)unless ushabashitiwa.Hivi Nape kafukuzwa uanachama wa CCM? Maana mabavichaa yameishaanza eri kutaka ajiunge nayo.....nyoooo
Unapaswa kudharauliwa hadi na mtoto atakayezaliwa kesho full stop!!!Mbona hukusema alivyo mtusi yule mzee mwenye mvi na alipo zuiya bunge live??toa unafiki hapa
Hayo yamepita tuyasahau ndugu yangu.Tuangalie hili.ila mimi mwenzenu jamani mh.....wacha tusemage peupe.....nikikumbuka tu ile kauli ya "goli la mkono" - roho inaniuma mweee inaniuma....
basi, popapo, tumwachie Mungu tu!
Yani we kiumbe wangekua wanaruhusu KUTUKANA NINGEKUTUKANA MPAKA UHUZUNIKE... Hiki kichaka cha madawa ya kulevya natafuta kiberiti nikichome mkose pa kujificha!Aisee ila kweli kwa kazi aliyofanya nape jaman kwenye uchaguzi, hawakupaswa kucheza ovyo hivi huu ni ukosefu wa kiufundi kwakweli
Unapaswa kupuuzwa hata paka wa nyumbani kwako uliyemfuga full stop!!Malipo ni hapa hapa duniani, Nape analipia dhambi zake, na bado vihere here wengine
Sijakuelewa mkuuTumejipangaaaaaaa mwaka huu wataisomaaaaa