Ujumbe Muhimu kwa wana CCM Wote

Ujumbe Muhimu kwa wana CCM Wote

Alievuruga mkutano wa Nape ni mtoto kipenzi wa baba mwenye nyumba acheni kumung'unya maneno na haya yote anayofanya yana baraka zote za mkuu. Tutegemee makubwa zaidi ya haya.
Tutegemee siku moja kusikia ikulu ya magufuli imevamia na kikosi kinachoongozwa na Makonda(Bashite)
 
Nawapa kumbukumbu kidogo kipindi tuko porini kwenye ujenzi wa chama wao walikuwa Kona Bar, Leaders Club wanakula maisha......

Halafu leo mnatuona machoko sawa sisi ni CCM tulikulia kwa Kinana na mtoto wa Mjini JK tutakutna tuuh
 
Nape amekosea kushindwa kujua anatumiwa na wapinzani na wauza ngada. natumaini akitambua kosa na kusimama bila kutetereka kwenye itikadi ya ccm atarejea tena kwenye ngazi ya juu ccm. yeye bado ni kijana

Anatumikaje na wauza Unga??

Kwani yeye ndiye aliyemtuma yule jamaa kuvamia clouds, yeye ndiye aliyemtuma jamaa kufoji cheti, yeye ndiye aliyemtuma jamaa kuhodhi mali as wauza unga??..

Wakati mwingine tuache mapenzi binafsi ila tuangalie haki na usahihi wa mambo..
 
Nawapa kumbukumbu kidogo kipindi tuko porini kwenye ujenzi wa chama wao walikuwa Kona Bar, Leaders Club wanakula maisha......

Halafu leo mnatuona machoko sawa sisi ni CCM tulikulia kwa Kinana na mtoto wa Mjini JK tutakutna tuuh
Kumbukumbu kidogo enzi tupo porinii
 

Attachments

  • FB_IMG_1490289565316.jpg
    FB_IMG_1490289565316.jpg
    33.8 KB · Views: 41
Tetty sikuzote inapokuja jambo lenye maslahi ya Taifa ni vyema tukaweka uchama pembeni hii haikubaliki ata kidogo leo kwangu kesho kwako ata Mwenyekiti wako Chama analijua hiloo leo utashangilia Nape kafanyiwa hivii Je kesho akifanyiwa mtu mwingine kwenye chama chenu utajisikiaje
Wakimkamata lisu na lema mbina mnakenua meno, kwani hawa c viongozi wa kitaifa
But kuhusu Nape kitendo alichofanyiwa ni cha kibaguzi kutokana na jutofautiana mawazo na si cha kuungwa mkono na binadamu yeyote mwenye akili timamu.
 
Lumumba naelekea kuifananisha na team bora ilochukua kombe (kushinda uchaguzi 2015) hiyo team ikauza wachezaji wake wote muhimu bila kukumbuka kuna mashindano yanakuja mbeleni (uchaguzi 2020)
Sidhani mtakuja kupambana na wapinzani kuutetea ubigwa wenu kwa kuwatumia wachezaji ambao bado hawajaiva kwa mikiki mikubwa kina pole pole,kina ***** daah mtakuwa MNA Kazi kubwa sana huko mbeleni
Mkuu Hamna uchaguzi tena.. yaani hapa ndiyo tayari ivo.
 
Mbona hukusema alivyo mtusi yule mzee mwenye mvi na alipo zuiya bunge live??toa unafiki hapa
 
Nashauri Makonda atumie busara na ajiuzuru kwa maslahi mapana ya chama serikali na nchi hii
 
Mbona hukusema alivyo mtusi yule mzee mwenye mvi na alipo zuiya bunge live??toa unafiki hapa
Unapaswa kudharauliwa hadi na mtoto atakayezaliwa kesho full stop!!!
 
ila mimi mwenzenu jamani mh.....wacha tusemage peupe.....nikikumbuka tu ile kauli ya "goli la mkono" - roho inaniuma mweee inaniuma....

basi, popapo, tumwachie Mungu tu!
Hayo yamepita tuyasahau ndugu yangu.Tuangalie hili.
 
Alivyokuwa anaimba acha waisome namba,alifikiri ni kina nani wataisoma namba?
 
Leo kuna watoto nimewauliza mnamfahamu Rc Wa Dsm, to my suprise watoto wakaniambia anaitwa Paul Makonda na amepata sifuri masomo yote. Nikabak speechless , sikutaka kuongea neno la ziada.
 
Aisee ila kweli kwa kazi aliyofanya nape jaman kwenye uchaguzi, hawakupaswa kucheza ovyo hivi huu ni ukosefu wa kiufundi kwakweli
Yani we kiumbe wangekua wanaruhusu KUTUKANA NINGEKUTUKANA MPAKA UHUZUNIKE... Hiki kichaka cha madawa ya kulevya natafuta kiberiti nikichome mkose pa kujificha!
 
Malipo ni hapa hapa duniani, Nape analipia dhambi zake, na bado vihere here wengine
 
Back
Top Bottom