Vanestrooy
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 259
- 128
wachaa na yeye aisome Nomber nyiee mlitegemea nomber tutaisoma sisi Wapinzan tuu looo
My fellow are u a great thinker??wachaa na yeye aisome Nomber nyiee mlitegemea nomber tutaisoma sisi Wapinzan tuu looo
Unajua maana ya kuwa waziri Mwenye dhamana?? By the way nakupa mfano; Profesa Sospeter Muhongo alijiuzulu kwenye scandal ya escrow ingawa Tume haikuonyesha na ilibaini kuwa hakuchukua ata senti mmoja But jiulize kwanini alijiuzulu ndipo turudi kwenye mjadalaa!!Nape alitakiwa kufahamu fika kuwa kuongoza na tabia za dola siyo kama uongozi wa NGO ambazo viongozi wake hufanya maamuzi kwa haraka. Hakupaswa kuchukua upande kabla ya kujihakikishia msimamo wa Rais wa nchi. Ours is a republic, Rais ni Mkuu wa nchi na Mkuu wa serikali, na anakuwa na mamlaka makubwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi. Kwa kifupi ni kwamba Rais ni mbunge (sehemu ya Bunge) mawaziri ni wasaidizi wake. Kwa maana mengine Rais ni waziri wa kila wizara. Kila uammuzi wowote unaochukuliwa na waziri yeyote shari mhusika ajiridhishe kuwa ana idhini/consent ya Rais. Huu ndio ukweli, anayetaka kufahamu Zaidi awaulize wasomi wa sayansi ya siasa. Kwa hiyo, katika suala husika, kitendo cha Nape kuchukua upande tofauti na mkuu wa serikali ilikuwa tayari amejiondoa serikalini. Alichokifanya JPM ni ku-facilitate alichokuwa ameamua Nape.
Magufuli Magufuli ni chaguo la MUNGU mkuu

fikiri kisayansi, achana na hizo rhetoric. Nimekwambia mawaziri wote ni wasaidizi (helpers of the President, period) wa Rais. Mengine ni mbwembwe tu za lugha ya Kiswahili.Unajua maana ya kuwa waziri Mwenye dhamana?? By the way nakupa mfano; Profesa Sospeter Muhongo alijiuzulu kwenye scandal ya escrow ingawa Tume haikuonyesha na ilibaini kuwa hakuchukua ata senti mmoja But jiulize kwanini alijiuzulu ndipo turudi kwenye mjadalaa!!
Jamani naombeni msaada kwa huyu nduliiifikiri kisayansi, achana na hizo rhetoric. Nimekwambia mawaziri wote ni wasaidizi (helpers of the President, period) wa Rais. Mengine ni mbwembwe tu za lugha ya Kiswahili.
Itikadi ya ccm IPI hiyo? Ile ya kumlinda mtuhumiwa wa uvamizi wa silaha kwenye kituo cha habari?Nape amekosea kushindwa kujua anatumiwa na wapinzani na wauza ngada. natumaini akitambua kosa na kusimama bila kutetereka kwenye itikadi ya ccm atarejea tena kwenye ngazi ya juu ccm. yeye bado ni kijana
Watanzania wepi? Hawa wenye upoyoyo?Moto wa haki umeshaanz kuwaka Tanzania, hima hima Watanzania tuuchochee huu moto usizime.
Watanzania tuungane 'wanasiasa wasitugawe kwa dini'itikadi na Hata jinsia.Mbona mnalalamika ndugu zangu mlioko CCM?
Si vizuri kulalama na kunung'unika ndugu zangu,msaidieni mheshimiwa M/kiti ainyooshe nchi.
Asanteni sana.
Tujiulize ile mizigo bandarini ni ya nani ngoja nione kwenye magazeti ipi itakuwa ndiyo Habari kati ya Nape na mukuluAlievuruga mkutano wa Nape ni mtoto kipenzi wa baba mwenye nyumba acheni kumung'unya maneno na haya yote anayofanya yana baraka zote za mkuu. Tutegemee makubwa zaidi ya haya.
CCM kuna mwanaume mmoja tuuh naye ni Nape Nauye kijana Mwenye ujasiri wa hali ya juu sanaa na ujasiri wake haujaanza Leo wala kesho tunamjua kwa mengi aliyoyafanya chamaniiife tu
Tetty sikuzote inapokuja jambo lenye maslahi ya Taifa ni vyema tukaweka uchama pembeni hii haikubaliki ata kidogo leo kwangu kesho kwako ata Mwenyekiti wako Chama analijua hiloo leo utashangilia Nape kafanyiwa hivii Je kesho akifanyiwa mtu mwingine kwenye chama chenu utajisikiaje
Acha uongo. Wamwage ubuyu turudi kwenye uchaguzi? Naona unajitekenya mwenyewe sasa. Subiri 2020. Hata kama wakimwaga . Kwisha habari yao.CCM hata angesima LOWASSA upinzani usingetoboa.
Magufuli ni zao la NAPE. Hakuna aliemfahamu MAGU CCM eti Presidential material. Hakujiandaa na hakutarajia kuwa Rais. Hakuwa kwenye system.
Kupambana na E. Lowassa siyo mchezo ni hatari kwa Afya yako.
Shukrani zote ni kwa Nape na Kinana. JPM huna budi kumuomba radhi NAPE.
NAPE & J. MAKAMBA wana siri nyingi sn za ushindi za huyu JPM. Wakiamua kumwaga ubuyu tunarudi kwenye uchaguzi upya, majimbo na Urais.