Ujumbe Muhimu kwa wana CCM Wote

Ujumbe Muhimu kwa wana CCM Wote

Ushin
Screen-Shot-2017-02-06-at-5.49.32-PM.png

Ushindwe kabisa !!
 
Wana JF,
Napenda kujua, Kati ya nape na Magufuli nani aliyeisalimisha ccm July 2015 pale Dodoma?
Ni nani aliye wapa kifua mbele ccm wakati wa kampeni mwaka 2015.

NB: Najua kila mtu alikuwa na wajibu wake kwa wakati wake.
CCM hata angesima LOWASSA upinzani usingetoboa.

Magufuli ni zao la NAPE. Hakuna aliemfahamu MAGU CCM eti Presidential material. Hakujiandaa na hakutarajia kuwa Rais. Hakuwa kwenye system.

Kupambana na E. Lowassa siyo mchezo ni hatari kwa Afya yako.

Shukrani zote ni kwa Nape na Kinana. JPM huna budi kumuomba radhi NAPE.

NAPE & J. MAKAMBA wana siri nyingi sn za ushindi za huyu JPM. Wakiamua kumwaga ubuyu tunarudi kwenye uchaguzi upya, majimbo na Urais.
 
Tofautisha political issues na mambo yenye maslahi ya Taifa. Ata Mwenyekiti wako amelaani wewe upo busy kusifia ujinga ngojeni tuendelezee taifa lenye watu wanafikiii
Ngoja nikujibu mara ya mwisho! Hakuna anayepongeza hicho kilichotokea.....
Ila tuwe tunajitokeza pale yeyeote anayefanyiwa haijalishi anatokea chama gani!

Ila hili liko wazi ccm huwa hamna muda kukemea pale mambo yanapotoke!

Leo mishipa inawasimama as if haya mambo ni mageni........hajawahi kuonya lissu haya mambo?

Acheni unafiki uvccm

Nimeumizwa alichofanyiwa nape licha ya kuwa sijawahi kuipenda ccm
 
Imeniuma sanaa leoo hii Nape ndo wa kutishiwa na Bastola kama nchi tumefika WAP??

Yeah hiyo kwakweli imetusononesha wengi.Lakini kwa Upande mwingine ni Nzuri kwa Nape kuona kwamba ah kumbe unapokuwa nje ya SYSTEM mambo ndiyo haya.
 
Imeniuma sanaa leoo hii Nape ndo wa kutishiwa na Bastola kama nchi tumefika WAP??
Nimekupa like leo maana naona akili zimeanza kurudi. Tulikupa angalizo hapa mapema kuwa unachokishabikia ni "feki" lakini hukutuelewa..!
 
na

nape amekosea kushindwa kujua anatumiwa na wapinzani na wauza ngada. natumaini akitambua kosa na kusimama bila kutetereka kwenye itikadi ya ccm atarejea tena kwenye ngazi ya juu ccm. yeye bado ni kijanan

Be careful on how you talk to people. Most wounds aren`t visible. Most people feel like their screams for help are silent. So be kind and mindful of your messages and accept that every single person you talk to is fighting a battle that they may never tell you about
 
Mkuu hao wote ni CCM, inabidi CCM isambaratike ili nchi isonge mbele....
Lakini trust me hakuna chama chenye watu makini kama CCM sema kuna wachache tyuu wanatuharibia misingi yetu
 
Yeah hiyo kwakweli imetusononesha wengi.Lakini kwa Upande mwingine ni Nzuri kwa Nape kuona kwamba ah kumbe unapokuwa nje ya SYSTEM mambo ndiyo haya.
Kigezo siyo nje ya system Angalia mambo mangapi Huyo mtu alivofanya kazi kizalendo kwa kuhatarisha uhai wake na pengine kupoteza mda wake mwingi kwenye chama na kuachana na maisha mengine lazima tuwe na shukranii
 
Tunapokuwa kwwnye mambo yenye maslahi ya Taifa ni boraa ukaepuka kuweka uchama pembeni Mkuu!!

Leo ndiyo unakumbuka Utaifa?? Lissu alibebwa juu juu toka Dodoma mlifanya sherehe humu,leo yako wapi??Kinyago mlichokichonga kinawakimbiza,na bado.
 
na

nape amekosea kushindwa kujua anatumiwa na wapinzani na wauza ngada. natumaini akitambua kosa na kusimama bila kutetereka kwenye itikadi ya ccm atarejea tena kwenye ngazi ya juu ccm. yeye bado ni kijanan
Mkuu hajatumika, kama nchi haiwezekani mtu mmoja tu akawa hahuswi, na akiguswa baba ake anakuja juu!!!
Yeye ni nani?
 
Mtajuana huko huko..... mimi ngoja niendelee kula konyagi yangu hapa.
 
Washauri bavichaa na bawachaa wenzako....nyoooo
 
na

nape amekosea kushindwa kujua anatumiwa na wapinzani na wauza ngada. natumaini akitambua kosa na kusimama bila kutetereka kwenye itikadi ya ccm atarejea tena kwenye ngazi ya juu ccm. yeye bado ni kijanan
Nakuarifu kwa masikitiko

1 Vita ya madawa ya kulevya dhumuni lake kubwa ni kudhoufisha upinzani. Akina Manji wema na Wasanii ni zuga. (Imefeli au imebuma na itawarudia wenye hiyo vita kwa kuwasambaratisha)

2 Mliemuweka magogoni hana shukurani za nguvu ya "goli la mkono". Mlijua kabisa ana matatizo upstairs mkaficha kichwa chini ya ardhi kama mbuni. Sasa kwa leo tu, wengi wamejiridhisha na makosa waliyoyafanya ya kumpigia kura mgonjwa. Goli la mkono.

3. Hatua ya kutumia bastola hadharani kwa Nape ni ishara tosha ya kuwa yamewafika akili mmefutika makalioni. Tumeshuhudia, hamna haja ya kutueleza kuwa nyumba yenu inateketea kwa kukosa "maarifa" ili mhurumiwe.
 
Back
Top Bottom