Ujumbe kwa wanaume

Ujumbe kwa wanaume

Vizuri kwahiyo kumbe hata Solomon naye kuoa wake wengi ilikuwa ni maamuzi yake binafsi na hayakupaswa kuigwa kwa sababu pia hata yeye mwenyewe kwenye vitabu vyake alivyoandika vya Mithali na Wimbo Ulio Bora hakuna sehemu aliyowashauri na wanaume wengine nao waoe wake wengi

Zaidi kitabu cha Mithali kinaonyesha jinsi alivyokuwa anajutia mambo aliyoyafanya kwenye ujana wake na alitubu baada ya kugundua kuwa zile zilikuwa ni starehe na anasa na kitabu cha Wimbo Ulio Bora kinaonyesha jinsi mume na mke wanavyotakiwa kusifiana na ukisoma vizuri unagundua kabisa kuwa yale mashairi ni mume mmoja na mke mmoja ndo wanaosifiana

Haya nimekwambia nipe andiko hata moja tu linalosimama peke yake kama sheria ambalo linaruhusu mwanaume kusaliti ndoa au kuoa mke zaidi ya mmoja usinitolee mifano ya kina David ambao walifanya kwa mapungufu yao binafsi mimi nilishakupa maandiko ambayo angalau yanaonyesha Mungu anataka ndoa iwe ya mume mmoja na mke mmoja

Moja kuna andiko linasema Mungu akaona ya kuwa si vyema mtu huyu awe peke yake nitamfanyia msaidizi (kumbuka ni msaidizi na siyo wasaidizi na ubavu wake ulitumika kuumba mwanamke mmoja tu Evah sasa kama Mungu alitaka wanaume muoe mke zaidi ya mmoja kwanini asingeonyesha msisitizo akamuongezea Adam wake wengine?)

Mbili kuna andiko linasema mwanaume atawaacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja (kumbuka ni mkewe na siyo wakeze)

Tatu kuna andiko linasema mwanaume ampende mkewe kama ambavyo Yesu analipenda kanisa lake (kumbuka ni mkewe na siyo wakeze)

Nne kuna andiko linasema mwanaume ampende mkewe na mwanamke amtii mumewe (kumbuka ni mkewe na siyo wakeze)

Haya mimi nimekupa maandiko ambayo yamesimama yenyewe kama sheria na siyo mifano ya watu tena hayo yote yanapatikana kwenye agano la kale na wewe nipe andiko japo moja tu ambalo linaruhusu mwanaume kusaliti ndoa au kuoa mke zaidi ya mmoja bila kunitolea mifano ya manabii maana yale yalikuwa ni maisha yao binafsi
hapo kwenye agano la kale atakwambia kuna agano jipya linaruhusu
 
Hata huko hakuna andiko linaloruhusu tena huko kwenye agano jipya ndo kabisa wasiguse maana huko ndo kuna maandiko mengi tu yanayoonyesha kuwa Mungu hataki wanaosaliti ndoa wala ndoa za mume mmoja na wake wengi wala mke mmoja na waume wengi
 
Kwanini apate taabu? Seriously yaani wanaume mnataka kujifananisha na watoto jamani hebu kuweni na huruma mama ahangaike na watoto let's say wawili au zaidi bado tena ahangaike na wewe mtu mzima unayeweza kujifanyia kila kitu mwenyewe? Kuna vitu lazima wanaume mkubaliane navyo tu kwenye ndoa na kuacha vipite siyo lazima kila pungufu la mkeo ulitafutie sababu ya kuchepuka

Labda kama sijaajiriwa wala sina biashara yoyote nakaa tu ndani kufanya kazi za ndani na kulea watoto na mume ndo anayenitimizia mahitaji yangu yote kiuchumi na ya nyumbani hapo sawa ila kama pesa tunatafuta wote familia tunahudumia wote halafu bado nikirudi nyumbani kazi za ndani na watoto vinaniangalia mimi basi hapo mwanaume utajibeba tu kwa kweli you guys need to find your humanity
nyie wanawake wanaharakati ndio mnaoharibu ndoa za siku hizi, mnajifanya mnajua sana haki
 
Hizo siku ambazo mwanamke hayuko katika hali nzuri ya kufanya mnaweza kuvumilia kwa sababu hampati madhara yoyote makubwa kama kuumwa au kufa kwahiyo mnajiendekeza tu hata Mungu aliyewaumba anawajua vizuri kuwa amewapa uwezo wa kuvumilia ndo maana akawaambia kila mwanaume awe na mke mmoja ila nyie hamtaki kuvumilia mnataka kujiendekeza mnajifanya mnajijua kuliko Mungu aliyewaumba anavyowajua

Basi ndo mkubali kwamba mnatenda dhambi hakuna Mungu aliyeruhusu kusaliti ndoa wale kuoa sijui wake wanne labda hii miungu mingine ndo imeruhusu maana siku hizi kuna miungu mingi duniani ila Mungu aliyetuumba hajaruhusu yeye alitaka kama alivyowaumba Adam na Evah ndivyo na ndoa zote ziwe hivyo kama angetaka wanaume mmiliki mke zaidi ya mmoja si angeonyesha msisitizo akamuongezea Adam wake wengine
mke mmoja hatoshi, dharula zipo nyingi sana mara uzazi, period, U. T. I, nk...muda wote huo nikusubiri...
 
Vizuri kwahiyo kumbe hata Solomon naye kuoa wake wengi ilikuwa ni maamuzi yake binafsi na hayakupaswa kuigwa kwa sababu pia hata yeye mwenyewe kwenye vitabu vyake alivyoandika vya Mithali na Wimbo Ulio Bora hakuna sehemu aliyowashauri na wanaume wengine nao waoe wake wengi

Zaidi kitabu cha Mithali kinaonyesha jinsi alivyokuwa anajutia mambo aliyoyafanya kwenye ujana wake na alitubu baada ya kugundua kuwa zile zilikuwa ni starehe na anasa na kitabu cha Wimbo Ulio Bora kinaonyesha jinsi mume na mke wanavyotakiwa kusifiana na ukisoma vizuri unagundua kabisa kuwa yale mashairi ni mume mmoja na mke mmoja ndo wanaosifiana

Haya nimekwambia nipe andiko hata moja tu linalosimama peke yake kama sheria ambalo linaruhusu mwanaume kusaliti ndoa au kuoa mke zaidi ya mmoja usinitolee mifano ya kina David ambao walifanya kwa mapungufu yao binafsi mimi nilishakupa maandiko ambayo angalau yanaonyesha Mungu anataka ndoa iwe ya mume mmoja na mke mmoja

Moja kuna andiko linasema Mungu akaona ya kuwa si vyema mtu huyu awe peke yake nitamfanyia msaidizi (kumbuka ni msaidizi na siyo wasaidizi na ubavu wake ulitumika kuumba mwanamke mmoja tu Evah sasa kama Mungu alitaka wanaume muoe mke zaidi ya mmoja kwanini asingeonyesha msisitizo akamuongezea Adam wake wengine?)

Mbili kuna andiko linasema mwanaume atawaacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja (kumbuka ni mkewe na siyo wakeze)

Tatu kuna andiko linasema mwanaume ampende mkewe kama ambavyo Yesu analipenda kanisa lake (kumbuka ni mkewe na siyo wakeze)

Nne kuna andiko linasema mwanaume ampende mkewe na mwanamke amtii mumewe (kumbuka ni mkewe na siyo wakeze)

Haya mimi nimekupa maandiko ambayo yamesimama yenyewe kama sheria na siyo mifano ya watu tena hayo yote yanapatikana kwenye agano la kale na wewe nipe andiko japo moja tu ambalo linaruhusu mwanaume kusaliti ndoa au kuoa mke zaidi ya mmoja bila kunitolea mifano ya manabii maana yale yalikuwa ni maisha yao binafsi
Unadhani wanamaandiko Basi
Watabwabwaja tu hapa porojo zao..mwsho ukiwashinda wataanza kukushambulia kwa maneno mabaya
 
Hizo siku ambazo mwanamke hayuko katika hali nzuri ya kufanya mnaweza kuvumilia kwa sababu hampati madhara yoyote makubwa kama kuumwa au kufa kwahiyo mnajiendekeza tu hata Mungu aliyewaumba anawajua vizuri kuwa amewapa uwezo wa kuvumilia ndo maana akawaambia kila mwanaume awe na mke mmoja ila nyie hamtaki kuvumilia mnataka kujiendekeza mnajifanya mnajijua kuliko Mungu aliyewaumba anavyowajua

Basi ndo mkubali kwamba mnatenda dhambi hakuna Mungu aliyeruhusu kusaliti ndoa wale kuoa sijui wake wanne labda hii miungu mingine ndo imeruhusu maana siku hizi kuna miungu mingi duniani ila Mungu aliyetuumba hajaruhusu yeye alitaka kama alivyowaumba Adam na Evah ndivyo na ndoa zote ziwe hivyo kama angetaka wanaume mmiliki mke zaidi ya mmoja si angeonyesha msisitizo akamuongezea Adam wake wengine
ukileta mambo ya biblia utakwama maana hata baadhi ya manabii/mitume walichepuka, kuna waliozaa hadi na wajakazi, abraham, yakobo, daudi ni mifano tu.....
 
nyie wanawake wanaharakati ndio mnaoharibu ndoa za siku hizi, mnajifanya mnajua sana haki
Nyie wanaume si ndo hamtaki haki sawa basi tafuteni pesa hudumieni wake zenu na watoto wenu ili wanawake wafanye kazi za ndani wawalee waume zao na watoto wenu ukilazimisha mke akusaidie kutafuta pesa na kuhudumia familia basi wewe ndo unayetaka haki sawa na siyo yeye tena
 
bila ya kumsahau master wao suleiman, na hao walikuwa wanaongea na mungu live, sembuse sisi wa kizazi hiki
 
ndio maana tunasema by nature wanaume wote wanachepuka, ila wengine wanakwama kwa sababu ya sababu mbali mbali ikiwemo uchumi
 
Hawana hoja wanaishia tu kusema wanawake wa siku hizi wajeuri ndo maana hatuolewi yaani mimi kuliko kuolewa na mwanaume ambaye najua ataenda kunitesa ni bora nisiolewe kabisa hakuna jinsia iliyokuja duniani kuteseka kwa ajili ya jinsia nyingine
Unadhani wanamaandiko Basi
Watabwabwaja tu hapa porojo zao..mwsho ukiwashinda wataanza kukushambulia kwa maneno mabaya
 
Hahahaha hapo ndipo mnapofeli mbona nimeshawafafanulia wanaume wengine jamani nimewaambia msitolee mifano ya hao mitume na manabii hao ni binadamu kama sisi na walifanya kwa sababu ya mapungufu yao binafsi tena walipokuja kuzeeka walitubu na hata hivyo matendo yao siyo sheria mimi nawaambia nipeni andiko hata moja tu linaloonyesha kuwa Mungu karuhusu mwanaume kusaliti ndoa au kuoa mke zaidi ya mmoja yaani unipe andiko lililosimama peke yake kama sheria na siyo mifano ya hao mitume na manabii maana hao walitenda dhambi nyingi tu
ukileta mambo ya biblia utakwama maana hata baadhi ya manabii/mitume walichepuka, kuna waliozaa hadi na wajakazi, abraham, yakobo, daudi ni mifano tu.....
 
Kwani kuongea na Mungu maana yake ndo umekamilika? Hivi unajua hata adhabu aliyopewa Suleiman baada ya kutenda hiyo dhambi ya kuoa wanawake wengi kama kumbikumbi? Au ndo umekaririshwa tu hapo alipooa wake wengi?
bila ya kumsahau master wao suleiman, na hao walikuwa wanaongea na mungu live, sembuse sisi wa kizazi hiki
 
Hahahaha hapo ndipo mnapofeli mbona nimeshawafafanulia wanaume wengine jamani nimewaambia msitolee mifano ya hao mitume na manabii hao ni binadamu kama sisi na walifanya kwa sababu ya mapungufu yao binafsi tena walipokuja kuzeeka walitubu na hata hivyo matendo yao siyo sheria mimi nawaambia nipeni andiko hata moja tu linaloonyesha kuwa Mungu karuhusu mwanaume kusaliti ndoa au kuoa mke zaidi ya mmoja yaani unipe andiko lililosimama peke yake kama sheria na siyo mifano ya hao mitume na manabii maana hao walitenda dhambi nyingi tu
nawe, sie pia ni binadamu na matamanio ya wanawake ni udhaifu wa kila mwanaume, ndio maana tumepewa mtihani ikimbieni zinaa,.... ila kuikimbia ndio shuhuli.....

Wacha tuchepuke, uzeeni tutatubu
 
Kwani kuongea na Mungu maana yake ndo umekamilika? Hivi unajua hata adhabu aliyopewa Suleiman baada ya kutenda hiyo dhambi ya kuoa wanawake wengi kama kumbikumbi? Au ndo umekaririshwa tu hapo alipooa wake wengi?
kuongea na mungu live unafanya masihara! hayo ya kuongea na mungu yalikuwepo enzi za mababu na mababu huko kipindi ambacho madhambi yalikuwa sio mengi kama sasa, siku hizi hiyo kitu haipo kabisa. usidanganywe na manabii wajasiriamali wa sasa.
 
ndio maana tunasema by nature wanaume wote wanachepuka, ila wengine wanakwama kwa sababu ya sababu mbali mbali ikiwemo uchumi
Basi ndo mkubali kwamba wanaume wote mna dhambi sisi hatuwakatazi kuchepuka chepukeni in peace ila ndo mchepuke at your own risk na mjue kuwa ni dhambi na siyo msingizie kuwa Mungu kawaruhusu eti sijui kwa sababu fulani alifanya na kila mwanaume anafanya kwani kila mtu akifanya ndo nini?

Mungu hayumbishwi na matendo ya binadamu yeye siku zote atasimamamia neno lake wewe chepuka tu ila mwisho wa siku uombe Mungu kabla haujafa uwe umeshatubu maana hata hao mnaowatolea mifano wakina Solomon na David nao walitubu tena wao walipewa na adhabu kabisa
 
nan kasema mungu karuhusu tuchepuke, hizo ni akili zetu na madhaifu yetu wenyewe. Elewa kuwa mwanaume mwenye akili anachepuka smartly hata mkewe hajui
 
nawe, sie pia ni binadamu na matamanio ya wanawake ni udhaifu wa kila mwanaume, ndio maana tumepewa mtihani ikimbieni zinaa,.... ila kuikimbia ndio shuhuli.....

Wacha tuchepuke, uzeeni tutatubu
Nashukuru wewe umenielewa na umekubali kuwa mnatenda dhambi ndo maana nikakwambia omba Mungu uwe umetubu kabla haujafa maana hauijui kesho yako lakini siyo kama wanaume wengine wanaolazimisha kuwa Mungu karuhusu eti mtu anatolea mfano wa kina Solomon na David hao walifanya dhambi nyingi ikiwemo kuua sasa ukisema eti tuwaige kwa sababu walikuwa wanaongea na Mungu tutajikuta basi hata kuua napo siyo dhambi kwa sababu tu wao waliua
 
Hawana hoja wanaishia tu kusema wanawake wa siku hizi wajeuri ndo maana hatuolewi yaani mimi kuliko kuolewa na mwanaume ambaye najua ataenda kunitesa ni bora nisiolewe kabisa hakuna jinsia iliyokuja duniani kuteseka kwa ajili ya jinsia nyingine
Hakika
 
Back
Top Bottom