Ujumbe kwa wanaume

Ujumbe kwa wanaume

Ndiyo najua siku hizi watu hawaongei na Mungu kizembe ila nilikuwa nakwambia kuwa kuongea na Mungu hakukufanyi kuwa mkamilifu kwamba eti ndo hautatenda dhambi tena hapana wewe utabaki kuwa binadamu tu mwenye madhaifu sasa wewe unaongelea hao walioongea na Mungu Musa alimuona kabisa Mungu na ndo binadamu pekee aliyefanikiwa kumuona Mungu kwa macho haya ya nyama lakini bado naye alikuwa ana dhambi zake
kuongea na mungu live unafanya masihara! hayo ya kuongea na mungu yalikuwepo enzi za mababu na mababu huko kipindi ambacho madhambi yalikuwa sio mengi kama sasa, siku hizi hiyo kitu haipo kabisa. usidanganywe na manabii wajasiriamali wa sasa.
 
Ndiyo kuna wanaume wenzio wanang'ang'ania kuwa kusaliti ndoa au kuoa mke zaidi ya mmoja siyo dhambi eti Mungu karuhusu wakati yapo kabisa maandiko yanayokataza yote hayo halafu sawa mkeo hataona wala hatajua lakini kumbuka ukifa atakayekuhumu siyo mkeo bali ni Mungu anayeona na anayejua kila kitu
nan kasema mungu karuhusu tuchepuke, hizo ni akili zetu na madhaifu yetu wenyewe. Elewa kuwa mwanaume mwenye akili anachepuka smartly hata mkewe hajui
 
Ndiyo kuna wanaume wenzio wanang'ang'ania kuwa kusaliti ndoa au kuoa mke zaidi ya mmoja siyo dhambi eti Mungu karuhusu wakati yapo kabisa maandiko yanayokataza yote hayo halafu sawa mkeo hataona wala hatajua lakini kumbuka ukifa atakayekuhumu siyo mkeo bali ni Mungu anayeona na anayejua kila kitu
kuchepuka ni dhambi, sijaona mtu anaesema kuchepuka si dhambi, kimaumbile wanaume tumeumbwa na tamaa ya asili . Huo ndio udhaifu wetu.

Kabla ya kufa wengi wanatubu dhambi hii, na mungu mwingi wa msamaha huwasamehe
 
Wacha we haya bwana
 
Ushauri mzuri;kwa tunaojielewa huwa tunaakikisha 3/4 ya mapato ni kwa bi mkubwa pamoja na maendeleo,na 1/4 ni kwa michepuko na starehe,na mchepuko ili ufaidi matunda yangu lazima nimjaze tumbo (wako wawili tu);kuhusu kulogwa,nilishawaambia watu wangu wa karibu pamoja na bi mkubwa,kama nitakuwa tofauti kimaamuzi,inabidi waingie kazini.
Duh!
 
kuchepuka ni dhambi, sijaona mtu anaesema kuchepuka si dhambi, kimaumbile wanaume tumeumbwa na tamaa ya asili . Huo ndio udhaifu wetu.

Kabla ya kufa wengi wanatubu dhambi hii, na mungu mwingi wa msamaha huwasamehe
Basi pia msiwalaumu sasa na wanawake wanaochepuka maana hata nao wanafanya dhambi na wakitubu Mungu anawasamehe

Basi hapa najua utadhani na mimi ni mmojawapo wa wanawake wanaochepuka sababu tu nimewatetea wanawake wanaochepuka maana wabongo mnapenda kukariri maisha
 
wanawake kujizuia mnaweza, kuchepuka si udhaifu wenu. We huoni aibu humpata sana mwanamke akifumaniwa kuliko mwanaume, hujui kwa nn!

acha tuchepuke sie wanaume maana imeandikwa mwanamke aliumbwa kwa ajili ya mwanaume na si kinyume chake
 
Si kila mwanamke anatakiwa kuolewa na si kila mwanamme anatakiwa kuoa. Things balance out.

By the same theory wanawake waolewe zaidi ya mara moja sababu tunaishi muda mrefu kuliko wanaume.
Kwani hamfanyi hivyo? Hivi unaposikia fulani ana hawara au ana mwanamke wa nje, baadhi ya wanawake hao ni wake za watu. So who is cheater, of course both men and women. Mwanaume huwezi kucheat either na mke wa mtu au msichana kama akikukatalia.
Jiulize kwa nini wanawake wanajipodoa, wanavaa vizuri sometimes suruali za kubana au minisketi au au vipedo. Ni ili kumvutia mwanaume au kuonyesha maumbo yake yalivyo mazuri. Hii yote ni kumshawishi mwanaume avutike ili atongoze. (Unajua wanawake hawatongozi kwa maneno bali kwa vitendo)
 
wanawake kujizuia mnaweza, kuchepuka si udhaifu wenu. We huoni aibu humpata sana mwanamke akifumaniwa kuliko mwanaume, hujui kwa nn!

acha tuchepuke sie wanaume maana imeandikwa mwanamke aliumbwa kwa ajili ya mwanaume na si kinyume chake
Ndiyo mwanamke anaweza kujizuia kuchepuka na wewe mwanaume ukiona hadi mkeo kafikia hatua ya kuchepuka ujue tatizo ni wewe halafu sisi kuumbwa kwa ajili yenu siyo sababu ya nyie kuchepuka na sidhani kama hata biblia nayo imefafanua hivyo
 
Hahahaha hapo ndipo mnapofeli mbona nimeshawafafanulia wanaume wengine jamani nimewaambia msitolee mifano ya hao mitume na manabii hao ni binadamu kama sisi na walifanya kwa sababu ya mapungufu yao binafsi tena walipokuja kuzeeka walitubu na hata hivyo matendo yao siyo sheria mimi nawaambia nipeni andiko hata moja tu linaloonyesha kuwa Mungu karuhusu mwanaume kusaliti ndoa au kuoa mke zaidi ya mmoja yaani unipe andiko lililosimama peke yake kama sheria na siyo mifano ya hao mitume na manabii maana hao walitenda dhambi nyingi tu
Hakuna neno hata moja umeweka linalotoka kwa Mungu kukataza kuchepuka au kuwa na mke zaidi ya mmoja.
Halipo zaidi ya relative words za wanadamu.
Mkuu jitafakari upya Kama umeielewa biblia.
Nahisi umesomewa tu ndio maana hata hiyo mistari huijui.
In short Mungu hakuandika biblia Wala hakumdirect yeyote kuiandika.
Ni mawazo ya wanadamu tu ambao waliamua kumtafsiri Mungu.
Lakini ukweli uko pale pale, mwanamke mmoja anafubaza akili ya mwanaume.!
 
Kwani kuongea na Mungu maana yake ndo umekamilika? Hivi unajua hata adhabu aliyopewa Suleiman baada ya kutenda hiyo dhambi ya kuoa wanawake wengi kama kumbikumbi? Au ndo umekaririshwa tu hapo alipooa wake wengi?
Hakupewa adhabu sababu ya kuoa wake wengi.
Ila mke mmisri aliyemuoa alikuja na miungu ya kwao akamshinikiza Suleiman naye kuiabudu.
Angeendelea na wakanaani Wala asingepata yaliyompata.
 
Hakupewa adhabu sababu ya kuoa wake wengi.
Ila mke mmisri aliyemuoa alikuja na miungu ya kwao akamshinikiza Suleiman naye kuiabudu.
Angeendelea na wakanaani Wala asingepata yaliyompata.
Sasa wewe umetoka kusema hakuna neno aliloliongea Mungu kwenye biblia kila kitu ni maneno ya wanadamu wakati huo huo bado unaendelea kutolea mifano ya kina Solomon kwahiyo kina Solomon ndo siyo wanadamu? Au labda wao ndo matendo yao yafuatwe ila kina Paul matendo yao yasifuatwe si ndiyo?
 
Hakuna neno hata moja umeweka linalotoka kwa Mungu kukataza kuchepuka au kuwa na mke zaidi ya mmoja.
Halipo zaidi ya relative words za wanadamu.
Mkuu jitafakari upya Kama umeielewa biblia.
Nahisi umesomewa tu ndio maana hata hiyo mistari huijui.
In short Mungu hakuandika biblia Wala hakumdirect yeyote kuiandika.
Ni mawazo ya wanadamu tu ambao waliamua kumtafsiri Mungu.
Lakini ukweli uko pale pale, mwanamke mmoja anafubaza akili ya mwanaume.!
Kujipa moyo hakuubadilishi ukweli na siku zote muda huwa ndiyo mwamuzi mzuri
 
Kujipa moyo hakuubadilishi ukweli na siku zote muda huwa ndiyo mwamuzi mzuri
We ni Kama wale wahubiri wanahubiri tu kutishia watu kwa kifungu kimoja.
Ukisoma mstari wa nyuma na wa mbele unapata maana tofauti.
Soma biblia ili uielewe na kuitafakari.
Usisome na kuwaachia wengine wakutafakarie.
Ndio madhara yake haya.
Unakuja na maneno umeyakariri tu huna hata Ni kifungu gani!!
Biblia Ni mawazo ya watu waliokaa na kumtafakari Mungu.
Ni just historical facts.
Imepitia mabadiliko mengi kulingana na matakwa ya wanadamu wa wakati huo.
Kuna kizazi kinachokuja kusoma biblia inayoruhusu ushoga. Maana litakuwa Jambo la kawaida kwa miaka ijayo.
 
Sasa wewe umetoka kusema hakuna neno aliloliongea Mungu kwenye biblia kila kitu ni maneno ya wanadamu wakati huo huo bado unaendelea kutolea mifano ya kina Solomon kwahiyo kina Solomon ndo siyo wanadamu? Au labda wao ndo matendo yao yafuatwe ila kina Paul matendo yao yasifuatwe si ndiyo?
Wanadamu tangu mwanzo maisha yao yalikuwa kuoana regardless ya ndugu au Nani!!
Na historia ya biblia imeanzia kwa Adam.
Lakini Kuna yaliyofichwa ili kutengeneza historia hiyo.
Kina Kain walimuoa Nani!?
Na Adam mwenyewe baada ya Eva kufa alimuoa Nani!?
Mtoto wake?
Mjukuu wake?
Na wale walioandikiwa kuwa Kain amelaaniwa baada ya kumuua ndugu yake Ni kina Nani!?
Kuna zaidi ya unachokaririshwa kwenye dini yako na kutishwa. Tumia akili yako kufikiria.
 
Kwahiyo unataka kusemaje labda? Unataka kusema kwamba kusaliti ndoa au kuoa mke zaidi ya mmoja ni utashi na uamuzi wa mtu binafsi na hakuna amri wala sheria inayokataza si ndiyo?

Basi pia sijaona amri wala sheria inayokataza mwanamke kusaliti ndoa au kuolewa na mume zaidi ya mmoja kwahiyo wanaofanya hivyo wote ni utashi na uamuzi wao binafsi sasa nashangaa hii jamii mwanamke akisaliti ndoa au akiolewa na mume na zaidi ya mmoja ananyooshewa vidole na kuonekana malaya

Na hapo ndo huwa mnakumbukaga maandiko ila hayo yakifanywa na wanaume mnasema maandiko yaliandikwa na watu kama sisi tu hapa swala siyo kushindana wala kutaka usawa ila swala ni kama tumeamua kukemea maovu basi tuyakemee kwa jinsia zote mbili

Na kama tumeamua kuyaacha basi tuyaache kwa jinsia zote mbili kwa sababu tendo la ndoa na kuzaa ni jambo linalohusisha jinsia zote mbili sasa hauwezi kuizuia jinsia moja halafu nyingine ukairuhusu iendelee sasa iendelee na nani? Tuache unafiki
 
Mkuu mimi ni mkristo na biblia inakataza mwanaume au mwanamke kusaliti ndoa na mwanaume kuoa mke zaidi ya mmoja au mwanamke kuolewa na mume zaidi ya mmoja ndiyo maana nasema kwangu mimo wote ni malaya na wote wana dhambi na hiyo ni kulingana na mafundisho ya imani yangu
Kulingana na imani..!!? Basi naamini hapo hapo kwenye imani unakatazwa kulipa visasi vya aina yoyote.
 
Kulingana na imani..!!? Basi naamini hapo hapo kwenye imani unakatazwa kulipa visasi vya aina yoyote.
Ndiyo kwa maana hiyo hata wanaume mkiona wake zenu wanafanya makosa msilipe visasi
 
Back
Top Bottom