Lameki katika Mwanzo 4:19 "Lameki alioa wanawake wawili" , Ibrahimu, Yakobo, Daudi, Sulemani, na wengine, wote walikuwa na wake wengi.
Katika 2 Samweli 12:8, Mungu, akizungumza kupitia ya nabii Nathani, alisema kwamba kama wake na mahawara wa Daudi hawakuwa wa kutosha, naye angempa Daudi zaidi. Sulemani alikuwa na wake 700 na masuria 300 (kimsingi wake wa hali ya chini). Kwa hiyo, inaonekana kwamba Mungu aliweza kuruhusiwa mitala kulinda na kukimu wanawake ambao hawakuweza kupata mume kwa vyovyote vile. mitala iliwezesha upanuzi wa jamii kwa kasi zaidi, kutimiza amri ya Mungu ya "Nanyi zaeni, mkaongezeke; zaeni sana katika nchi, mkaongezeke ndani yake" (Mwanzo 9:7). Wanaume wana uwezo wa kuwatia mimba wanawake wengi katika kipindi kimoja, na kusababisha ubinadamu kukua kwa kasi zaidi kuliko kama kila mume alikuwa tu anazalisha mtoto mmoja kila mwaka.
Wewe unafikiri bila kanisa kuua ungekuwa unajivunia ukrsto? Soma historia ya kanisa utajua zaidiNani kakwambia kwamba Mungu karuhusu kusaliti ndoa au kuoa wake wengi eti kwa sababu tu hao uliowataja walifanya hivyo? Kwa taarifa yako Suleiman aliua baadhi ya ndugu zake ili apate ufalme na Mungu akambariki akawa mfalme kwahiyo unataka kusema kwamba baada ya hapo Mungu aliruhusu kuua na kuua siyo dhambi tena kwa sababu Suleiman aliua si ndiyo? Nijibu hili
Hapana haujaambiwa usivisome ila nimekuambia nipe andiko linalosimama peke yake ambalo linaruhusu mwanaume kusaliti ndoa au kuoa mke zaidi ya mmoja usinitolee mifano ya kina Solomon na David sababu hao ni binadamu kama sisiKwa hiyo unataka kuniambia vitabu kwenye Agano la Kale tusivisome?
Wewe unafikiri bila kanisa kuua ungekuwa unajivunia ukrsto? Soma historia ya kanisa utajua zaidi
mapungufu ya torati hayo yametimilizwa na Yesu kwa hizo kauli MATHAYO 5:17
Devorce hakuna discussion hapoo... unarudi kwenuuuuuNa vipi ikitokea mwanamke ndo akaanza kulifanya kabla ya mwanaume huyo mwanaume anatakiwa afanyaje?
Mbona wapo wanawake wengi tu walioolewa na wanaume zaidi ya mmoja? Swala hapo siyo kushindana bali swala hapo ni "to every action there is an equal and opposite reaction".Devorce hakuna discussion hapoo... unarudi kwenuuuuu
Dada unapenda usawa hadi kwenye kuchepuka ehee?
Swali la kizushi, unaweza ukaolewa na wanume wawili kwa wakati mmoja?
Wapi huko ambako mwanamke ameolewa na wanaume wawili kwa wakati mmoja na wakifahamiana kbisa wote watatu?Mbona wapo wanawake wengi tu walioolewa na wanaume zaidi ya mmoja? Swala hapo siyo kushindana bali swala hapo ni "to every action there is an equal and opposite reaction".
Wapi huko ambako mwanamke ameolewa na wanaume wawili kwa wakati mmoja na wakifahamiana kbisa wote watatu?
Kwa hiyo mpaka hapo unadhiirisha kabisa kwamba hata wewe uko tayari kuolewa na wanaume wawili na wakawa wanapokezana kupata huduma zote za kindoa?
Yote hii ni sababu tu ya "demand for gender equality in all aspects of life"?
Mpaka hapo tayari wewe ni mshindani wa kijinsia na ushindani wako unachekesha sana.
Dada kwa ninavyokuona mentality uliyonayo ipo siku utahamasisha wanawake wenzio mfanye maandamano ya kuwataka wanaume nao waanze kubeba mimba miezi tisa kama walivyo wanawake.... ukimaliza hilo utadai "na sisi wanawake tuwekewe vyoo vya kukojoa tukiwa tumesimama tumechoka kuchuchuma"....... Ukimaliza hilo utadai "na wanaume nao waaanze kumeza contraceptive pills kuzuia mimba sio kila siku wanawake tu"....
Lakini kamwe hutakuja kudai "na wanawake nao waanze kuingia frontline hata kama hawana military training pale inapotokea vita, sio kila mara wanaume tu"....kamwe hutakuja kudai "na wanawake nao waanze kuwalipia mahari wanaume wanapotaka kuoana sio kila siku wanaume tu."
Wanawake kama wewe huwa mnanufurahisha sana.
I LOVE YOUMkilitendea kazi wake zenu wataishi kwa amani
Kwenye replies zangu mbili zilizopita nimekuuliza "wewe huko tayari kuolewa na wanaume wawili"? wewe jibu lako likawa "mbona wapo wengi tu" sasa unaposema mbona wapo wakati huo wewe hujasema kwamba "mimi sipo tayari", tayari moja kwa moja mimi hapo jibu ninaloliona ni kwamba na wewe ni mmoja wa hao ambao wanaona sawa tu kuolewa na wanaume wawili.Nimetafuta nilipoandika kuwa "na mimi nitakuja kuolewa na wanaume zaidi ya mmoja" ila sijapaona yaani mtu akitetea vilema basi na yeye kashakuwa kilema?
Hapo umeniambia kuwa mwanamke hawezi kuolewa na wanaume zaidi ya mmoja mimi nikakwambia wapo na nimekwambia ukweli kuwa wapo kwani mbona wengine tunawaona mitandaoni wamepiga picha wameolewa na wanaume wawili na hao wanaume wanajuana na wanaelewana
Ila mimi kusema hivyo haimaanishi kwamba napenda iwe hivyo binafsi kwangu mimi mwanaume mwenye wake wengi na mwanamke mwenye waume wengi wote ni malaya tu na hakuna mwanamke anayetaka kushindana wala kuwa sawa na mwanaume
Ila ninachojaribu kusema hapa ni kwamba kwanini wanaume hata mnapokosea hamtaki wanawake tuwaambie ukweli mnataka tukae kimya tu? Mwanamke anayelipizia maovu ya mumewe ndo anayetafuta ushindani na usawa ila hapa tunaongelea mume unapokosea kwanini hautaki hata mkeo akurekebishe unataka akuvumilie tu?
Samahani kama nitakachosema kitakuwa kimeonwa na wenzangu maana message nimeiona leo? Swali je ukiwa hujaolewa umeshaplan nani atakuoa? Hivi unajua ratio ya idadi ya watu namba ya wanawake iko juu kuliko ya wanaume. Tukishajua kwamba wanaume ni wachache kuliko wanaume na wewe hujaolewa na chukulia kila mwanaume achukue mwanamke mmoja, je ukikosa mwanaume utajisikiaje? Je ni halali ukae bila mwanaume, uzeeke bila mtoto maana wanaume wote wameoa mke mmoja niambie utajisikiaje? Ukishajibu ilo uone kwamba wanaume kuwa na nyumba ndogo ni msaada kubalance wiano ulipo
Mumeo akifa unaruhusiwa.Si kila mwanamke anatakiwa kuolewa na si kila mwanamme anatakiwa kuoa. Things balance out.
By the same theory wanawake waolewe zaidi ya mara moja sababu tunaishi muda mrefu kuliko wanaume.
Haya Ni maoni binafsi ya Paul.1 Wakorintho 7 : 2 "Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe"
Mkuu mimi ni mkristo na biblia inakataza mwanaume au mwanamke kusaliti ndoa na mwanaume kuoa mke zaidi ya mmoja au mwanamke kuolewa na mume zaidi ya mmoja ndiyo maana nasema kwangu mimo wote ni malaya na wote wana dhambi na hiyo ni kulingana na mafundisho ya imani yanguKwenye replies zangu mbili zilizopita nimekuuliza "wewe huko tayari kuolewa na wanaume wawili"? wewe jibu lako likawa "mbona wapo wengi tu" sasa unaposema mbona wapo wakati huo wewe hujasema kwamba "mimi sipo tayari", tayari moja kwa moja mimi hapo jibu ninaloliona ni kwamba na wewe ni mmoja wa hao ambao wanaona sawa tu kuolewa na wanaume wawili.
BTW, kitendo cha wewe kukataa kuolewa na wanawaume wawili, tayari umekubali kuwa hauko sawa na mwanaume kwenye suala zima la marital affair ambalo ndio msingi wa malumbano yangu mimi na wewe tangu tulipoanza mpaka hapa tulipofika.
Mwanaume mwenye wake wengi si malaya ikiwa kama atakuwa na wake hao kwenye mazingira ya uwazi, lakini wewe mwanamke mwenye wanaume wengi ni malaya haijalishi hata kama umeweka wazi mahusiano yako na wanaume hao.
Wewe mwanamke njia pekee ya kiakili ya ku deal na mwaume mzinzi/usiopendezwa na mahusiano yake kwako wewe ni kumkimbia kama huwezi kuishi nae, lakini kuingia kwenye multiple relations kama anavyofanya yeye ikiwa sehemu ya revenge ni UPUMBAVUU.
Hapo kwenye dhaifu tuombe msamaha dhaifu wapo Bungeni umetukosea heshima[emoji23]
Mother con
Ukilitafakari neno la upumbavu utapata jibu,kwanza ile siku anayoamua kukupa cheo cha upumbavu ndio siku anayoacha kukupenda. Sasa anakuchukulia kama mtu dhaifu anaehitaji msaada
Kwahiyo ww hata ukienda cambodia ukarudi kama mbwa wa kienyeji atakupokea tu atakulisha ukaendelee na mambo yako uko'
Let asshole be asshole u'll sleep better
Vizuri kwahiyo kumbe hata Solomon naye kuoa wake wengi ilikuwa ni maamuzi yake binafsi na hayakupaswa kuigwa kwa sababu pia hata yeye mwenyewe kwenye vitabu vyake alivyoandika vya Mithali na Wimbo Ulio Bora hakuna sehemu aliyowashauri na wanaume wengine nao waoe wake wengiHaya Ni maoni binafsi ya Paul.
Yawezekana kwa mapungufu yake aliamua kutooa ndio akaona Ni bora.
Haikuwa amri ya Mungu au neno alilotumwa na Mungu.
Na alisema hivyo baada ya kuona watu wanahangaishwa na wanawake badala ya kuhangaika kumtafuta Mungu.