Ujumbe kwa wanaume

Ujumbe kwa wanaume

Acha kuhadithiwa, OLEWA UJIONE MWENYEWE
Ntaolewa soon hakutakua na cha ajabu katika mapenzi kwasababu haya ndo yatakayokuwepo.ikumbukwe sijazungumzia upande mwingine wa ndoa ni mapenzi tu.
nimejitahidi kuelewa ila imeshindikana....umeandika kama unakimbia...punguza munkari andika vizuri ueleweke mzee mwenzangu
Walioelewa wameelewa mkuu. Wameshatosha
 
Ntawakemea nini sasa mkuu,si ntajijaza hasira tu watu wazima waliofikia kuoa kuishi na wake ni watu wanaoelewa zuri na baya
Sasa mimi ntawakemea nini ndugu yangu?
Wacha wajilishe upepo siku moja watakaa chini waseme mambo yote ni ubatili mtupu,hakuna tulichopata

Laiti watu wangejua, hakuna maisha mazuri na matamu kama mwanamume kuwa na mke wake tu. Unakuwa na uhuru wa kweli, huna links(miunganiko yoyote) na wanawake wengine. Hata unaheshimika iwe kazini, mtaani, nyumbani kwenu, ukweni yaani kila sehemu unakuwa huru kabisaaaaa.
 
Acha uongo bhaana,halafu nyie ambao hapa Jf huwa mnajifanya Malaika ndo watu wabaya kabisa kwenye maisha yenu. Hivi ukiwa na mchepuko kazini unadharaulikaje!?? Ukweni nani atakudharau!?? Ukiwa na mchepuko unakuwa na muhuri mgogoni!?? Unafanya kazi makumbusho, mchepuko upo magomeni,unatoka kazini unapita hapo unapiga cha kwako kimoja tu cha afya,unawahi nyumbani. Nyumbani ni kiwalani. Hiyo jamii ya kujua huwa unapita magomeni itakuwa inakufuatilia wewe tu!?? Halafu nyie,hv ktk dhambi zote uzinzi pekee ndo mnaona ni dhambi kubwa!?? Kwenye Biblia hakuna mahali popote panapoonyesha mtu ambaye alichepuka aliadhibiwa,wote walisemehewa. Lkn Mussa aliyehangaika na wana wa Israel jangwani kwa miaka 40 hakusamehewa kwa kosa moja tu la kusema uongo na hata nchi ya ahadi hakuiona. Mfalme Daud alizini na mke wa mtu na akamuua mumewe ili amuoe huyo mchepuko,pamoja na Mungu kukerwa na kitendo hicho,lkn Mungu alimsamehe na ktk hiyo ndoa ndo alizaliwa Mfalme Suleiman ambaye ndo mtu mwenye Hekima kuliko watu wote Duniani tangu Dunia iumbwe. Lkn naye alioa wake 700 halali na michepuko 300. Halafu wewe hapo uwe mtakatifu kuzidi mfalme Daud!?? Wewe sema una matatizo ya kiafya,msongo wa mawazo au huna hela...
 
Pole sana ndugu kwa kuhamisha mchango wako wa mawazo na kuwa mashambulizi kwa maoni yangu binafsi. Hata hayo unayoyasema wewe ni maoni yako tu binafsi kama mimi nilivyochangia uzi huu.

Lakini pia unavyowaza/kuishi huwakilishi watu wote, na mimi ninavyoishi na kuwaza siwakilishi watu wote. Kama ambavyo umeusemea huo upande wa kuchepuka ulivyo mzuri, hauna shida, hata zamani walifanya na wakasamehewa n.k n.k. Lakini pia ni vizuri usome na majuto yao baada ya kufanya hayo waliyofanya, ni vizuri ufahamu na mwisho wa Suleimani pia.

Na kwa upande wa wale wasiochepuka nami nimekuonyesha uzuri wake ulivyo, na wasiochepuka ni wengi tu sana, na wala hawajajifanya malaika, ni binadamu tu wa kawaida wenye mwili na wanatimiziwa haja zao na wake zao.
 
Wewe acha kujitoa ufahamu hao wote walisamehewa kwa sababu walitubu na wote hao kuna adhabu walipewa hakuna dhambi ambayo mtu ukitubu kwa kumaanisha Mungu hasamehe hakuna binadamu mkamilifu

Halafu mbona mnapenda kutolea mifano ya hao watu ambao nao walikuwa ni binadamu tu kama sisi tu tena ambao baadaye baada ya kutenda hizo dhambi walikuja kujuta na kutubu wao wenyewe fanya hivi nipe andiko linaloruhusu narudia tena linaloruhusu mtu kusaliti ndoa au kuwa na wake au waume zaidi ya mmoja

Ila mimi nitakupa maandiko zaidi ya manne ambayo yamekataza yote hayo kwahiyo kwa sababu walifanya kina Suleiman na Daudi maana yake ndo Mungu aliruhusu? Mungu hawezi kuhalalisha dhambi hata siku moja hata hiyo dhambi awe ameifanya nani au wamezifanya watu wengi kiasi gani

Yeye siku zote atasimamia sheria zake alizoweka mwisho wa yote naomba unijibu hili swali Suleiman aliua baadhi ya ndugu zake ili apate ufalme na kweli Mungu akambariki akawa mfalme je unataka kusema kwamba kuua siyo dhambi tena kwa sababu Suleiman aliua na Mungu akamsamehe???
 
Wanatolea mifano ya kina Suleiman kuoa wake wengi bila kujua mwisho wao ulikuwaje wanashikilia hapo tu pa kuoa wake wengi Suleiman alifanya dhambi nyingi siyo uzinzi tu pia aliua baadhi ya ndugu zake ili apate ufalme na kweli Mungu alimbariki akawa mfalme sasa wanataka kusema kwamba kuua siyo dhambi tena kwa sababu tu Suleiman aliua na Mungu akamsamehe? Ni wachache wanaojielewa kama wewe
 
Laiti watu wangejua, hakuna maisha mazuri na matamu kama mwanamume kuwa na mke wake tu. Unakuwa na uhuru wa kweli, huna links(miunganiko yoyote) na wanawake wengine. Hata unaheshimika iwe kazini, mtaani, nyumbani kwenu, ukweni yaani kila sehemu unakuwa huru kabisaaaaa.
Hawajui tu
Unakua na amani mno maana huhofii chochote simu yako mkeo anaweza akaitumia yani full amani moyoni
 
Wewe acha kujitoa ufahamu hao wote walisamehewa kwa sababu walitubu na wote hao kuna adhabu walipewa hakuna dhambi ambayo mtu ukitubu kwa kumaanisha Mungu hasamehe hakuna binadamu mkamilifu

Halafu mbona mnapenda kutolea mifano ya hao watu ambao nao walikuwa ni binadamu tu kama sisi tu tena ambao baadaye baada ya kutenda hizo dhambi walikuja kujuta na kutubu wao wenyewe fanya hivi nipe andiko linaloruhusu narudia tena linaloruhusu mtu kusaliti ndoa au kuwa na wake au waume zaidi ya mmoja

Ila mimi nitakupa maandiko zaidi ya manne ambayo yamekataza yote hayo kwahiyo kwa sababu walifanya kina Suleiman na Daudi maana yake ndo Mungu aliruhusu? Mungu hawezi kuhalalisha dhambi hata siku moja hata hiyo dhambi awe ameifanya nani au wamezifanya watu wengi kiasi gani

Yeye siku zote atasimamia sheria zake alizoweka mwisho wa yote naomba unijibu hili swali Suleiman aliua baadhi ya ndugu zake ili apate ufalme na kweli Mungu akambariki akawa mfalme je unataka kusema kwamba kuua siyo dhambi tena kwa sababu Suleiman aliua na Mungu akamsamehe???
Suleiman alioa wake 700 halali(Kwa mujibu wa maandiko matakatifu) kosa lake lilikuwa kwa wale makahaba tena wale mataifa ambao walisababisha matatizo hata ktk utawala wake. Hilo ndo kosa la Suleiman,angeishia kubaki na wake zake 700 wala asingegombana na mtu. Mfalme Daud kosa lake lilikuwa kumuua yule mwanaume,na alikuwa mkaidi,lkn alipoamua kutubu Mungu alimsamehe na akawa na ndoa za mtala. Mussa alisema uongo maramoja tu,pamoja na kutubu lkn hakusamehewa. Ibrahimu yeye wala hakuonywa,lkn alitembea na kijakazi wake kwa lengo la kupata mtoto. Nimekupa mifano ya dhambi 2 tofauti,Uongo na uzinzi. Wazinzi walisamehewa baada ya toba lkn muongo hakusamehewa hata baada ya kutubu. Acheni tujilie bhaana mke mmoja hawezi kutosha...
 
Wanatolea mifano ya kina Suleiman kuoa wake wengi bila kujua mwisho wao ulikuwaje wanashikilia hapo tu pa kuoa wake wengi Suleiman alifanya dhambi nyingi siyo uzinzi tu pia aliua baadhi ya ndugu zake ili apate ufalme na kweli Mungu alimbariki akawa mfalme sasa wanataka kusema kwamba kuua siyo dhambi tena kwa sababu tu Suleiman aliua na Mungu akamsamehe? Ni wachache wanaojielewa kama wewe
Kuua inategemea tu unaua kwa ajili ya nini. Km unaua kwa ajili ya kutetea wengine ambalo ndo kubwa zaidi haiwezi kuwa dhambi.
 
Suleiman alioa wake 700 halali(Kwa mujibu wa maandiko matakatifu) kosa lake lilikuwa kwa wale makahaba tena wale mataifa ambao walisababisha matatizo hata ktk utawala wake. Hilo ndo kosa la Suleiman,angeishia kubaki na wake zake 700 wala asingegombana na mtu. Mfalme Daud kosa lake lilikuwa kumuua yule mwanaume,na alikuwa mkaidi,lkn alipoamua kutubu Mungu alimsamehe na akawa na ndoa za mtala. Mussa alisema uongo maramoja tu,pamoja na kutubu lkn hakusamehewa. Ibrahimu yeye wala hakuonywa,lkn alitembea na kijakazi wake kwa lengo la kupata mtoto. Nimekupa mifano ya dhambi 2 tofauti,Uongo na uzinzi. Wazinzi walisamehewa baada ya toba lkn muongo hakusamehewa hata baada ya kutubu. Acheni tujilie bhaana mke mmoja hawezi kutosha...
Haujanijibu swali langu Suleiman aliua baadhi ya ndugu zake ili apate ufalme na kweli Mungu alimbariki akawa mfalme na alimsamehe pia na siyo yeye wapo watu wengi walioua ndugu zao na watu wengine kwenye biblia na Mungu aliwabariki na kuwasamehe pia sasa nijibu hapa kwahiyo unataka kusema kwamba kuua siyo dhambi tena Mungu amesharuhusu kwa sababu ya hao watu walioua na Mungu akawabariki na kuwasamehe? Ukinijibu hili ndo tutaendelea
 
Kuua inategemea tu unaua kwa ajili ya nini. Km unaua kwa ajili ya kutetea wengine ambalo ndo kubwa zaidi haiwezi kuwa dhambi.
Mkuu amri inasema usiue haijasema usiue kwa ajili ya nini na nini yaani binadamu mnajihalalishia dhambi kwa lazima na kumsingizia Mungu kuwa karuhusu? Aiseee
 
Yes kuua kwa ajili ya kutetea wengine km nilivyokueleza hakuna dhambi. Huyo unayemtolea mfano Suleiman alikuwa mfalme wa Israel. Unajua sifa ya kuu ya kuwa mfalme!?? Ni ule uwezo wa kuongoza vita,sasa km Mungu alikuwa anaweka watu hodari wa kupigana vita hakujua km vitani watu wanauana!?? Kuua mtu au kikundi kinachoathiri kundi kubwa zaidi hakuna dhambi ni km tu ilivyo kwenye Sheria zetu,majeshi yetu hayawezi kushitakiwa kwa kuua vitani.
 
Sijui tumeelewana Suleiman aliua ndugu zake ili apate ufalme haya Cain naye alimuua ndugu yake Abel Mungu alimpa adhabu lakini bado aliendelea kumbariki kwahiyo unataka kusemaje labda? Halafu nimeshakwambia acha kutolea mifano ya binadamu dhaifu kama sisi

Hata uwe na imani ya kuhamisha milima na Mungu akakupenda kuliko watu wote huwezi kuwa mkamilifu hata siku moja na hao unaowatolea mifano kilichowapa credit kwa Mungu ni zile imani zao kwa Mungu na mioyo yao ya unyenyekevu inayokubali kukiri kutubu dhambi haya jiulize sasa hapo kama hizo walizofanya hazikuwa dhambi kwanini walijuta na walitubu?

Nimekwambia nipe andiko kama andiko hata moja lililosimama lenyewe linaloruhusu wanaume kusaliti ndoa au kuoa mke zaidi ya mmoja tukisema tuanze kutolea mifano ya watu binafsi waliotenda dhambi kwa udhaifu wao wenyewe tutajikuta kila kitu siyo dhambi

Na nimekuambia Mungu hawezi kuhalalisha dhambi hata kama ingekuwa imefanywa na nani au imefanywa na watu wangapi yeye siku zote atasimamia neno lake yaani mambo yote yatapita lakini neno la Mungu litasimama daima nimekwambia nipe andiko lililoruhusu hayo ili tufunge mjadala
 
Kuchepuka ni dalili ya kukosa akili yaani ujinga. Na kuchepuka mpaka mkeo akajua huo ndio upumbavu sasa.
 
Andiko linaloruhusu mtu kuoa mke zaidi ya mmoja lipo Mkuu. Ambaye haruhusiwi kuoa wake wawili ni kuhani, Askofu au mchungaji. Wengine wote ni maamuzi yao tuu.
 
Sasa si unipe hilo andiko? Duuh waalimu wana kazi lete andiko mkuu
 
Sijui tumeelewana Suleiman aliua ndugu zake ili apate ufalme haya Cain naye alimuua ndugu yake Abel Mungu alimpa adhabu lakini bado aliendelea kumbariki kwahiyo unataka kusemaje labda? Halafu nimeshakwambia acha kutolea mifano ya binadamu dhaifu kama sisi

Hata uwe na imani ya kuhamisha milima na Mungu akakupenda kuliko watu wote huwezi kuwa mkamilifu hata siku moja na hao unaowatolea mifano kilichowapa credit kwa Mungu ni zile imani zao kwa Mungu na mioyo yao ya unyenyekevu inayokubali kukiri kutubu dhambi haya jiulize sasa hapo kama hizo walizofanya hazikuwa dhambi kwanini walijuta na walitubu?

Nimekwambia nipe andiko kama andiko hata moja lililosimama lenyewe linaloruhusu wanaume kusaliti ndoa au kuoa mke zaidi ya mmoja tukisema tuanze kutolea mifano ya watu binafsi waliotenda dhambi kwa udhaifu wao wenyewe tutajikuta kila kitu siyo dhambi

Na nimekuambia Mungu hawezi kuhalalisha dhambi hata kama ingekuwa imefanywa na nani au imefanywa na watu wangapi yeye siku zote atasimamia neno lake yaani mambo yote yatapita lakini neno la Mungu litasimama daima nimekwambia nipe andiko lililoruhusu hayo ili tufunge mjadala
Mkuu hebu kasome kitabu cha Mwanzo Sura ya 16:4-6. Kisha soma mwanzo hiyo hiyo sura ya 26:34-35. Halafu urudi hapa tufunge mjadala km ulivyosema.
 
Back
Top Bottom