Ujumbe kwa wanaume

Ujumbe kwa wanaume

Huyo mtoa maada sio kwamba haja olewa, sema tu,
KILA ANAYE KULA MZIGO, ANADHANI KAMPATA WA KUMUOA, kumbe sivyo......!
Wakianza stories anaambiwa mim ninamke wewe tafuta wako,
SASA KAONA UMRI UNAZIDI KWENDA, AMEAMU KULETA UZI HUMU, ILI APUNGUZE JAZBA ZAKE......!
 
Ushauri mzuri;kwa tunaojielewa huwa tunaakikisha 3/4 ya mapato ni kwa bi mkubwa pamoja na maendeleo,na 1/4 ni kwa michepuko na starehe,na mchepuko ili ufaidi matunda yangu lazima nimjaze tumbo (wako wawili tu);kuhusu kulogwa,nilishawaambia watu wangu wa karibu pamoja na bi mkubwa,kama nitakuwa tofauti kimaamuzi,inabidi waingie kazini.
yani wewe
 
Mwanzishaji uzi.
Nilifikiri utakemea kabisa tabia ya uchepukaji au kutembea nje ya ndoa au kwa jina lingine lisilopendwa kuzini. Kumbe umeamua kuita jina jingine ambalo linapunguza ukali wa maneno.

UKWELI ambao mara nyingi hausemwi sana ni kwamba wapo wanaume wengi tu ambao hawachepuki na hawana tabia ya kuchepuka.

Ni sawa na watu wanavyosema siku hizi hakuna akina dada bikra, lakini ukweli wapo wengi tu wanaoolewa wakiwa bikra.

Kila mume awe na mke wake, na kila mke awe na mume wake BASI.
 
Huyo mtoa maada sio kwamba haja olewa, sema tu,
KILA ANAYE KULA MZIGO, ANADHANI KAMPATA WA KUMUOA, kumbe sivyo......!
Wakianza stories anaambiwa mim ninamke wewe tafuta wako,
SASA KAONA UMRI UNAZIDI KWENDA, AMEAMU KULETA UZI HUMU, ILI APUNGUZE JAZBA ZAKE......!
Mkuu umekosea kabisa yani,tena ukichunguza hapo nmewatetea wake wa ndoa. Ningekua mchepuko ningejitetea mimi mwenyewe.
Halafu mkuu wangu mimi niko hivi haijalishi mimi nafanya sawa au sio sawa ila sikuzote ntasimamia ukweli. Na ukweli ndio huo
 
Mwanzishaji uzi.
Nilifikiri utakemea kabisa tabia ya uchepukaji au kutembea nje ya ndoa au kwa jina lingine lisilopendwa kuzini. Kumbe umeamua kuita jina jingine ambalo linapunguza ukali wa maneno.

UKWELI ambao mara nyingi hausemwi sana ni kwamba wapo wanaume wengi tu ambao hawachepuki na hawana tabia ya kuchepuka.

Ni sawa na watu wanavyosema siku hizi hakuna akina dada bikra, lakini ukweli wapo wengi tu wanaoolewa wakiwa bikra.

Kila mume awe na mke wake, na kila mke awe na mume wake BASI.
Ntawakemea nini sasa mkuu,si ntajijaza hasira tu watu wazima waliofikia kuoa kuishi na wake ni watu wanaoelewa zuri na baya
Sasa mimi ntawakemea nini ndugu yangu?
Wacha wajilishe upepo siku moja watakaa chini waseme mambo yote ni ubatili mtupu,hakuna tulichopata
 
nimejitahidi kuelewa ila imeshindikana....umeandika kama unakimbia...punguza munkari andika vizuri ueleweke mzee mwenzangu
 
Mkuu umekosea kabisa yani,tena ukichunguza hapo nmewatetea wake wa ndoa. Ningekua mchepuko ningejitetea mimi mwenyewe.
Halafu mkuu wangu mimi niko hivi haijalishi mimi nafanya sawa au sio sawa ila sikuzote ntasimamia ukweli. Na ukweli ndio huo
Acha kuhadithiwa, OLEWA UJIONE MWENYEWE
 
Back
Top Bottom