Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,682
- 45,597
😀😀karibu..Hata mimi sina ndoa wala uchumba.
Tunaweza fanya jambo ?
😀😀karibu..Hata mimi sina ndoa wala uchumba.
Tunaweza fanya jambo ?
Well noted. Let's enjoy itOf course...everyday...everywhere...without hesitation...
Hata nlikuwa sijui, naotea tuKumbe unajua kuna vya kuchekesha na vya kufurahisha
Mimi au???😀😀karibu..
Cheers😉Well noted. Let's enjoy it
Hata wewe pia...Mimi au???
Soteeee👤👤👤👤Hata wewe pia...
Nyoteeee😜Soteeee👤👤👤👤
Pamoja na kuwa kanisani wanawake ndio wanajaa lakini ndio wanaongoza kwa uzinifu.Kwa mantiki hiyo unamaanisha kwamba hata wanawake nao wachepuke tu wanavyotaka wasiangalie dini wala dunia inasema nini?
Na hapa ndio inapobidi unoe kisu chako eti??Nyoteeee😜
Location yako muhimu mkuukaribu..
Mwambie huyu akuelekeze hazard cfcLocation yako muhimu mkuu
nijue nakaribia wapi
Changu kikali muda woteeNa hapa ndio inapobidi unoe kisu chako eti??
Halafu mbona kila nkija mlango umefungwa??Changu kikali muda wotee
Mimi na mashabiki wa Chelsea ni paka na panya.Mwambie huyu akuelekeze hazard cfc
Hahaha...jitahidi basiMimi na mashabiki wa Chelsea ni paka na panya.
Nitakutfuta kwa njia nyingine.
Bisha hodi kwa nguvu...Halafu mbona kila nkija mlango umefungwa??
Unakuwa umo ndani kumbe?? Basi nipo karibu ntafika hapo nifungulie mara moja hebu niingieBisha hodi kwa nguvu...
NimooUnakuwa umo ndani kumbe?? Basi nipo karibu ntafika hapo nifungulie mara moja hebu niingie