Ujumbe kwa wanaume

Sio kwamba watu wote ni mashetani km munavyo fikiria wapo wenye pesa na afya nzuri wanao heshimu ndoa zao napia wana hofu ya kumkosea Mungu.
HOFU YA MUNGU NI MUHIMU SANA KWA MWANADAMU
Mimi mtu akianza kudanganya kuhusu hofu ya Mungu ndio kabisa namkwepa.
Bahati nzuri nimekaa na wanadini wa Aina mbali mbali.
Nikaconclude tu kuwa dini ni namna tu wanadamu tumeamua kutishiana duniani.
Hawa wanaoongea habari za hofu ya Mungu Ni wachafu balaa.!!
 
Jamani inabidi tuwafaidi maana kila siku wanazaliwa wapyaaaa
 
Mkuu,nilishakuambia mwanamke usijilinganishe na mwanaume.
Akili zetu haziko sawa.
Wala ashki zetu hazipo sawa.
Kutokuwa sawa na wanawake na kuwadharau wanawake ni vitu viwili tofauti binadamu hatuko sawa na Mungu lakini Mungu hajawahi kutudharau sasa niwashangae nyie wanaume sijui mnajihisi ni akina nani haswa kutudharau wanawake kwa kisingizio cha kuwa hatuko sawa tuko chini yenu hata Mungu anawashangaa
 
Hivi, umeolewa?
Naona una mawazo fulani ya very unique world ambayo haipo kwa maisha uliyopo.
You are lying to yourself.
Really? Not you who are lying to us?
 
Kwa mantiki hiyo unamaanisha kwamba hata wanawake nao wachepuke tu wanavyotaka wasiangalie dini wala dunia inasema nini?
 
Bonge la point
 
Mkuu hebu pitia hilo andiko hapo, nikipata muda nitakuwekea mengine. Nimekuambia Biblia iliandikwa kwa kuwakandamiza wanawake. Hapo inasema,mwanamke ukiolewa hadi huyo mwanaume afe ndo utaruhusiwa kuolewa. Lkn ukifanya hata km umeachana na huyo mwanaume utakuwa unazini. Lkn haijasema kuhusu huyo mwanaume. Halafu kuhusu Amri inayoitwa ya 9 na kanisa katoliki imeandikwa kihuni tu ile imeelezwa kwa kirefu na ndo amri ya 10 nakuwekea hapa pia. Ile Amri inakataza kutamani kitu chochote cha jirani yako akiwemo mke wa jirani yako,isome hapo utaona!!
 
Nikija kuolewa nikajua mme wangu anacheat.
1.naanza kutumia condom
2.nakuwa simjali tena
3.Nakuwa kama zuzu ili mradi nipo.
4.Hata asiporudi sihangaiki kiufupi atakuwa ameshakufa kwangu.
5.Yaani natafuta safari za gafla na pia home kukaa ni kwa muda mfupi tu.
Natafuta hata kazi ya mbali.
Basii.
 
Ndo atakapojiona mpumbavu
 
Huku nilipo kuna mmama mmoja kafanya hivyo
kiufupi mchepuko ndo umekuwa mother house.
 
Huku nilipo kuna mmama mmoja kafanya hivyo
kiufupi mchepuko ndo umekuwa mother house.
Sasa mtajiju dah !!
Ila kama amekuwa mother house yule baba bado anamakosa kwa sababu hii maza kaenda kutafuta risk yeye kavuta kifaa.
Mimi nasema akivuta room mpya minaenda kuchukua mali zangu watoto na kama na mmoja huyo huyo nasepa nampeleka kwa maza akamlee nanitakuwa na mvisit mwanangu.
Wanaume msilete stress kwetu hamjatuzaa isitoshe hatujawazaa na tukiamua kuchepuka nyie ndio itawacost na undugu hatunaga .
Kila mtu alitoka kwao so tukishindwana tuachane.
May be ilitakiwa tu tuwe na watoto basi.
Zamani tulikuwa tunawaganda nowdays tunasepa tena kimya kimya .
Tunaanza kuchukua kimoja kimoja tunamaliza shelf hao.
Sasa kwa kweli hatuna cha ku loose na wanawake wasasa wamejipanga kwa lolote.
 
Mbona kazi tunayo wamama,watu wanatoa shingo kuhalalisha kuchepuka??????!!!???….hakuna cha nature wala mavi yake nature...ni kujiendekeza tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…