Ngisibara
JF-Expert Member
- Jan 2, 2009
- 3,413
- 2,275
Kuna nn kwan
Wamezidi kunyanduliwa kirahisi rahisi
Kuna nn kwan
mkuu Joanah Leo mkuu umeamka motooWe boya usitangaze sasa kama mie ni mke wa mtu
Unanizibia fursa za kuvuliwa na wengine![]()
Itakuwa Mashairi ya kisasaMkuu shairi lako zuri, lina vina vya kati na mwisho sema tu mizani haijakaa sawa.
Itakuwa hivyo mkuu.Itakuwa Mashairi ya kisasa
Ni ushauri tu mkuuUkiona mtu mzima Mamaaaa analia mbele za watu ujue kuna jamboo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Oooh... sure bossMkuu shairi lako zuri, lina vina vya kati na mwisho sema tu mizani haijakaa sawa.
Mke wamtu hawezi jitete Apo...Kama ndoa imemshinda si Bora aombe talaka arudi kwaoKuna ule usemi eti nyani haoni kundule(ashakum si matusi)
Wewe ni nyani usiyeona (.......)
Mke akivuliwa ni kosa lakini mwanaume akiwavua ndio anaonekana kidume e?
Kuna boya mmoja atakuja kusema mie ni mke wa mtu ninayevuliwa so najitetea
Ama atasema mwanamke hashindani na mwanaume
DuhWe boya usitangaze sasa kama mie ni mke wa mtu
Unanizibia fursa za kuvuliwa na wengine![]()
Lina ushauri ndan yakeMm naona ulikua unaandika ushairi na vina nmeviona
Si tunashinda kazini tukiwatafutia donaMwanaume ukiacha kuvua vua wanawake hovyo utapata muda wakukaa na mkeo naye hata pata muda wakuvuliwa navivulana huko mtaani, tatizo nyie mnashinda na michepuko huko nje mnasahau nyumbani nao wafanye nini!
Sent using Jamii Forums mobile app