Ujumbe kwa Waislamu wenzangu

Ujumbe kwa Waislamu wenzangu

Akhi

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2021
Posts
4,889
Reaction score
8,210
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh

TUFANYE NINI PINDI TUKIKUTA COMMENTS ZA KUMTUKANA ALLAH NA MTUME WAKE AU UISLAMU KATIKA MITANDAO YA KIJAMII?

SHEIKH ABUL KHATWAAB ABDALLAH HUMEID حفظه الله

Naam naomba niwasilishe kile ambacho kidogo Allah alichonijaalia

Ujumbe huu mahsusi kwa watu wa mitandao.

kwenye Mitandao humu hutokea mijadala mingi inayohusu Kuuliza au kuelezea imani tofauti.

Ila sana mijadala hii huishia kwenye chuki kubwa baina ya watu ambao hata hawajuani.

Tahadhari ninayotoa kwa Ndugu zangu waislamu msipende kujadiliana na mtu ambae hataki kuelimishwa ambae amekuja kwa nia ya chuki kuhusu Uislamu wetu.

Allah anasema katika Qur'an yake

6:108.
Wala msiwatukane hao wanao waomba badala ya Mwenyezi Mungu, wasije na wao wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri bila ya kujua. Namna hivyo tumewapambia kila umma vitendo vyao. Kisha marejeo yao yatakuwa kwa Mola wao Mlezi, naye atawaambia waliyo kuwa wakiyatenda.

Kulingana na Aya hio ni bora zaidi ukaachana na mijadala ambayo itapelekea Allah kutukanwa

Otterhound adriz FaizaFoxy
 
Kweli kabisa na hii ndio njia bora kabisa na mwendo wa waja wema waliiotangulia , hata mimi nimejifunza nikiona mtu haelimiki ,hana adabu na ameanzisha lugha chafu na matusi basi ni wa kumuacha tu maana vitimbi vyake haviwezi kubadilishwa chochote kile na kanuni ninayo ifuata ni hii "Show forgiveness , enjoin what is good and turn away from the ignorant (foolish) " 7:199
 
Hizi fatwa za akina abdallah humeyd ni nzuri wanatukataza tusibishane na watu wasiokuwa waislamu kuepusha matatizo.

Lakini hawa akina Abdallahu humeyd,wenzie akina abuu hashim na watu wenye mrengo wa akina abul fadhli ndio vinara wa kwanza kuwasema vibaya waislamu wenzao.

uislamu gani umwkataza tusizozane na waliokufuru alafu alafu uislamu gani umeruhusu kuzozana na waislamu wenzako ?

Akina humeyd wanatakiwa wajirekebishe wao kwanza baina yao safu zao wanazoziita za kisalafy waziweke sawa wasiwe na magomvi

Then waje waweke sawa baina ya waislamu wengine wasiokuwa masalafy wasiwe na magomvi na waislamu wenzao wasiokuwa salafy.

Sio wanatuzuga kwamba tusizozane na wasiokuwa waislamu kisha wao vinara wa kuzozana na waislamu wenzao.
 
Tatizo baadhi yenu huwa mnakejeli sana, mnajiona mnajua kila kitu, mnajiona nyie ndo mko sahihi wengine ni wajinga na wamepotoka, nyie ndo wenye haki zaidi ya wengine.

Hayo ndo hufanya watu watuoe lugha chafu.
Ila hii kitu ni nzuri hasa kwa sisi tunaopenda kujifunza uislam.
 
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh

TUFANYE NINI PINDI TUKIKUTA COMMENTS ZA KUMTUKANA ALLAH NA MTUME WAKE AU UISLAMU KATIKA MITANDAO YA KIJAMII?

SHEIKH ABUL KHATWAAB ABDALLAH HUMEID حفظه الله

Naam naomba niwasilishe kile ambacho kidogo Allah alichonijaalia

Ujumbe huu mahsusi kwa watu wa mitandao.

kwenye Mitandao humu hutokea mijadala mingi inayohusu Kuuliza au kuelezea imani tofauti.

Ila sana mijadala hii huishia kwenye chuki kubwa baina ya watu ambao hata hawajuani.

Tahadhari ninayotoa kwa Ndugu zangu waislamu msipende kujadiliana na mtu ambae hataki kuelimishwa ambae amekuja kwa nia ya chuki kuhusu Uislamu wetu.

Allah anasema katika Qur'an yake

6:108.
Wala msiwatukane hao wanao waomba badala ya Mwenyezi Mungu, wasije na wao wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri bila ya kujua. Namna hivyo tumewapambia kila umma vitendo vyao. Kisha marejeo yao yatakuwa kwa Mola wao Mlezi, naye atawaambia waliyo kuwa wakiyatenda.

Kulingana na Aya hio ni bora zaidi ukaachana na mijadala ambayo itapelekea Allah kutukanwa

Otterhound adriz FaizaFoxy
Siyo mijadala tu, hii elimu uliyotoa inapaswa izame kichwani mwao. Hii tabia ya Waislam kuleta fujo za kumpigania Mtume na Allah zinafanya nafsi zao zinaonekane kama za mchongo. Hata mtu akimtukana Allah au Mtume njie endeleeni na ratiba, waliotukanwa watachukua hatua huko waliko.
 
Hizi fatwa za akina abdallah humeyd ni nzuri wanatukataza tusibishane na watu wasiokuwa waislamu kuepusha matatizo.

Lakini hawa akina Abdallahu humeyd,wenzie akina abuu hashim na watu wenye mrengo wa akina abul fadhli ndio vinara wa kwanza kuwasema vibaya waislamu wenzao.

uislamu gani umwkataza tusizozane na waliokufuru alafu alafu uislamu gani umeruhusu kuzozana na waislamu wenzako ?

Akina humeyd wanatakiwa wajirekebishe wao kwanza baina yao safu zao wanazoziita za kisalafy waziweke sawa wasiwe na magomvi

Then waje waweke sawa baina ya waislamu wengine wasiokuwa masalafy wasiwe na magomvi na waislamu wenzao wasiokuwa salafy.

Sio wanatuzuga kwamba tusizozane na wasiokuwa waislamu kisha wao vinara wa kuzozana na waislamu wenzao.
Naona ungeisoma vizuuuuri post wala usingeandika uliyoandika hivi kakusudia kuzozana au ni matusi ya kumtusi Allah subhanahu wataala pamoja na Mtukufu wa daraja na huko ulikokusudia (RUDUUD) ushawahi kusikia wanatukana mitume naomba utenge muda wako usikilize wanayoyasema tena kwa kuweka chuki pembeni hata mimi binafsi mwanzo nilikuwa nawachukia ila baada ya kukaa na kusikiliza hoja zao Alhamdulillah nimeona usahihi uko wapi
 
Kweli kabisa na hii ndio njia bora kabisa na mwendo wa waja wema waliiotangulia , hata mimi nimejifunza nikiona mtu haelimiki ,hana adabu na ameanzisha lugha chafu na matusi basi ni wa kumuacha tu maana vitimbi vyake haviwezi kubadilishwa chochote kile na kanuni ninayo ifuata ni hii "Show forgiveness , enjoin what is good and turn away from the ignorant (foolish) " 7:199
Umetoka kushabikia mauji wa Ukraine, ukifika humu unakifanya sijui show forgiveness !
 
huyo jamaa allah jana kakipiga fainali y CAF, mwamba kanyanua kwapa jana na Wydad
 
Umetoka kushabikia mauji wa Ukraine, ukifika humu unakifanya sijui show forgiveness !
Mimi uzi ule naupitia mbali na nina miezi na wala sikumbuki mara ya mwisho kukomenti mule, halafu hata hayo mauaji mimi sio mshambiki wa mambo hayo na msimamo wangu ni kupinga udhalimu popote pale tokea awali .

Nakumbuka kuna uzi mkenya mk14 alituhumu waislamu kushabikia vita huku akikejeli na kashfa kibao nikamuambia usituhukumie wote hivyo unakosea akasema kama unaona unakosea leta clip hata Moja ya shekhe yeyote akikemea jambo hilo nitawaomba radhi Waislamu kwa kauli zangu mbaya nikaweka clip ya shehe alichambua vizuri kuhusu mambo ya kushabikia vita huku akikemea jamaa akaomba radhi .
 
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh

TUFANYE NINI PINDI TUKIKUTA COMMENTS ZA KUMTUKANA ALLAH NA MTUME WAKE AU UISLAMU KATIKA MITANDAO YA KIJAMII?

SHEIKH ABUL KHATWAAB ABDALLAH HUMEID حفظه الله

Naam naomba niwasilishe kile ambacho kidogo Allah alichonijaalia

Ujumbe huu mahsusi kwa watu wa mitandao.

kwenye Mitandao humu hutokea mijadala mingi inayohusu Kuuliza au kuelezea imani tofauti.

Ila sana mijadala hii huishia kwenye chuki kubwa baina ya watu ambao hata hawajuani.

Tahadhari ninayotoa kwa Ndugu zangu waislamu msipende kujadiliana na mtu ambae hataki kuelimishwa ambae amekuja kwa nia ya chuki kuhusu Uislamu wetu.

Allah anasema katika Qur'an yake

6:108.
Wala msiwatukane hao wanao waomba badala ya Mwenyezi Mungu, wasije na wao wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri bila ya kujua. Namna hivyo tumewapambia kila umma vitendo vyao. Kisha marejeo yao yatakuwa kwa Mola wao Mlezi, naye atawaambia waliyo kuwa wakiyatenda.

Kulingana na Aya hio ni bora zaidi ukaachana na mijadala ambayo itapelekea Allah kutukanwa

Otterhound adriz FaizaFoxy

Kama ambavyo mimi huwa nafanya.

Sio kama hayaniumi ninayoyasoma humu au Sio kama sina majibu. Ila hukaa kimya kwa sababu ni kweli wengi huja kwa kukashifu na Sio kujifunza.

Ni sawa na kubishana na mjinga hatimae na weye huonekana mjinga.
 
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh

TUFANYE NINI PINDI TUKIKUTA COMMENTS ZA KUMTUKANA ALLAH NA MTUME WAKE AU UISLAMU KATIKA MITANDAO YA KIJAMII?

SHEIKH ABUL KHATWAAB ABDALLAH HUMEID حفظه الله

Naam naomba niwasilishe kile ambacho kidogo Allah alichonijaalia

Ujumbe huu mahsusi kwa watu wa mitandao.

kwenye Mitandao humu hutokea mijadala mingi inayohusu Kuuliza au kuelezea imani tofauti.

Ila sana mijadala hii huishia kwenye chuki kubwa baina ya watu ambao hata hawajuani.

Tahadhari ninayotoa kwa Ndugu zangu waislamu msipende kujadiliana na mtu ambae hataki kuelimishwa ambae amekuja kwa nia ya chuki kuhusu Uislamu wetu.

Allah anasema katika Qur'an yake

6:108.
Wala msiwatukane hao wanao waomba badala ya Mwenyezi Mungu, wasije na wao wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri bila ya kujua. Namna hivyo tumewapambia kila umma vitendo vyao. Kisha marejeo yao yatakuwa kwa Mola wao Mlezi, naye atawaambia waliyo kuwa wakiyatenda.

Kulingana na Aya hio ni bora zaidi ukaachana na mijadala ambayo itapelekea Allah kutukanwa

Otterhound adriz FaizaFoxy
bora ya thread ni hii, huwa naumia sana kukuta mtu anaanzisha mjadala unaosababisha matusi yaelekezwe kwa allah..

نستغفر الله و نتوب إليه.
 
Hizi fatwa za akina abdallah humeyd ni nzuri wanatukataza tusibishane na watu wasiokuwa waislamu kuepusha matatizo.

Lakini hawa akina Abdallahu humeyd,wenzie akina abuu hashim na watu wenye mrengo wa akina abul fadhli ndio vinara wa kwanza kuwasema vibaya waislamu wenzao.

uislamu gani umwkataza tusizozane na waliokufuru alafu alafu uislamu gani umeruhusu kuzozana na waislamu wenzako ?

Akina humeyd wanatakiwa wajirekebishe wao kwanza baina yao safu zao wanazoziita za kisalafy waziweke sawa wasiwe na magomvi

Then waje waweke sawa baina ya waislamu wengine wasiokuwa masalafy wasiwe na magomvi na waislamu wenzao wasiokuwa salafy.

Sio wanatuzuga kwamba tusizozane na wasiokuwa waislamu kisha wao vinara wa kuzozana na waislamu wenzao.
mzee wao hawasemi bali wanawabainisha walinganizi waovu na uovu wao kwasababu wanaathiri jamii na hii kazi imeamriwa katika quran unataka tulaaniwe kama wana wa israeli kwa kunyamazia maovu ya wenzao? unataka kufananisha ubainifu wa kielimu na mijadala ya jamiiforums.
 
Kweli kabisa na hii ndio njia bora kabisa na mwendo wa waja wema waliiotangulia , hata mimi nimejifunza nikiona mtu haelimiki ,hana adabu na ameanzisha lugha chafu na matusi basi ni wa kumuacha tu maana vitimbi vyake haviwezi kubadilishwa chochote kile na kanuni ninayo ifuata ni hii "Show forgiveness , enjoin what is good and turn away from the ignorant (foolish) " 7:199
hahaha mkuu adriz unaswali swala 5!?.
 
Naona ungeisoma vizuuuuri post wala usingeandika uliyoandika hivi kakusudia kuzozana au ni matusi ya kumtusi Allah subhanahu wataala pamoja na Mtukufu wa daraja na huko ulikokusudia (RUDUUD) ushawahi kusikia wanatukana mitume naomba utenge muda wako usikilize wanayoyasema tena kwa kuweka chuki pembeni hata mimi binafsi mwanzo nilikuwa nawachukia ila baada ya kukaa na kusikiliza hoja zao Alhamdulillah nimeona usahihi uko wapi
allah akubariki kaka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom