Ujumbe kwa rafiki yangu

mkuu ni kweli sijui tukiolewa kitu gani kinapita kwenye akili zetu huwa sielewi,
Teh..
Natamani ningemwon
Bola umemwambia ukweli mm jamaan kwanza house gal sitak kwangu utajikuta unamletea mwanaume mke wa pili kazi zangu zinanitosha
Inategemea lv
Ni kujipanga tu na kujua majukumu yako na mipaka ya hg
Tambua ww ni mke na cyo hg,,kuna muda kazi za hm zinachosha,
Utajikuta unahangaika na mikazi kutwa nzima mwisho usahau kumuhudumia na huyo mume
 
muhimu ni kujipanga kwa kweli na si kumuachia kazi zote hg
 
Sasa naona unakoelekea nitatoa mahari taratibu unajitambua shida itabaki kwa mama mkwe na limote control from MARANGU MTONI to DSM...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji8] [emoji7] [emoji7]
 
Sasa naona unakoelekea nitatoa mahari taratibu unajitambua shida itabaki kwa mama mkwe na limote control from MARANGU MTONI to DSM...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji8] [emoji7] [emoji7]
inafika mbona wewe tu
 
Yaani kama kweli unaogopa kutawazwa, Ungeweza kuanzisha uzi wa kuongelea wajibu wa mke nyumbani kwake Na kwa familia. Hakupaswa kuandika Na kumshambulia directly. Huyo ni rafiki yako, hicho ulichofanya hapa ni kumfunua kwa kukukaribisha nyumbani kwake Na kwenye maisha yake (hasa kwa sababu kakushirikisha kuwa ana matatizo kwenye ndoa yake).

Shambulio la hivi halina matunda chanya. Na atachukua nafasi ya kujihami kwa kukukasirikia. Umemkosea, badala ya kumsaidia utamfanya azidi kuchoka nafsi yake kwa kuona hata rafiki yake anamhukumu. Si ajabu hali hiyo imetokana Na hizo stress za ndoa.

Somo moja nilifunzwa, ukienda kwa mtu ukaona tandabui usikodoe macho. Ukifika nyumbani kwako tia ufundi wote, angalia kama kuna tandabui Na safisha kila mahali. Usijekukuta unahangaika na kibanzi kwenye jicho la mwenzako
 
Kakufunda nani nimpe zawadi?
 
huyo wala siyo kuolewa wanakua hivyo hata wakiwa single, akiwa kwao anamuagiza housegirl wa mama yake mpaka kero, mtu mzima unakuta anafuliwa nguo na dada wa kazi wa nyumbani.
Tabia haikurupuki.. inajengwa.
mkuu ni kweli sijui tukiolewa kitu gani kinapita kwenye akili zetu huwa sielewi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…