mathsjery
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 2,208
- 1,755
kujifunza programming ukiwa na 25 years kuja juu na una life la kimaskini, hauna connection yoyote hapo bado unajifunza mpaka uive kaka/dada utakuwa na miaka mingapi? Alafu programming inahitaji muda kazi za kukupa msosi na malazi utafanya saa ngapi kwakuwa hauna connection na ndio unaanza, hapa huwezi fanya programming kwa aina ya maisha uliyo nayo(Age case, no money, no connection, poor surrounding etc).
Umegraduate na 25years, maskani unarudi, huna kazi ila una vyeti na ujuzi haujakaa sawa maana graduate wengi wa CS na IT ukiacha wa SE wanajifunzaga kuwa maprogrammer wakiwa wamegraduate 😀, hapo ndo utasikia title mi programmer kumbe beginner, sasa kajifunzie programming kwenu pale, mzee wako ana 60years haeleweki kiuchumi na kitabia, utashinda ndani kujifunza programming kwa miezi mitatu ya kwanza baada ya hapo utatimuliwa ukatafute kazi je ni lini utakuwa programmer wewe ?🤣
Bongo tunateswa na umaskinj, starehe na ushamba.
Umasikini:
Kuwa programmer na maisha ya kinasikini ni kazi ngumu mno, programming inahitaji utulivu ukiwa maskini huwezi pata muda wa kutulia utakufa njaa.
Ushamba:
Ushamba unaingilia sana programmer especially watu wanaokuzunguka kukuweka kitimoto kwamba haionekani ukifanya kazi kama wengine muda wote wewe na computer wao wanajua may be unatazama porn n.k, sasa wewe Kama programmer/beginner utashindwa vumilia kujifunzq
Ni vyema kutumia muda wako kujifunza ukiwa bado haijaingia kwenye majukumu.
Field ya programming kwangu mimi nasema ni ngumu kuliko zote.
Inahitaji muda, mazingira mazuri na fedha + connection
Ndiyo unasikia umempa programmer kazi kumbe umempa beginner😀 komaa