Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,027
- 74,713
Ubaya kwa Makonda ni kuwa hawezi kupata nafasi ya kusemea hayo maana gerezani hawaongei wafungwa na waandishi wa habari. Makosa ya Makonda ni tofauti na hao wengine, yake ni ya kijambazi yasiyostahili kucheleweshwa uraianiKumbe ndio maana watu wanaamini kwamba Membe na Kikwete ni ndugu hawajakutana leo awa washikaji!
Akili ya mwanasiasa uja pale tu anapokuwa nje ya mfumo wa wizi na upigaji kuna siku ata Makonda atakuwa anaongea lugha izi.
Kama ni kweli Riz kaongea haya namkaribisha kwenye ulimwengu mpya wa kuongea ukweli na kutetea watanzania kunakaribia kupambazuka.