Ujumbe kutoka kwa Prince aliyepita

Ujumbe kutoka kwa Prince aliyepita

Hata mm km vile cjamuelewa vzr,nahisi mistari ya prince ni michache sana,na inaishia pale kwenye stori ya membe ila mtoa Uzi akaendelea kutiririka yake bila kutofautisha yake na ya Prince
Wafia chama bwana kumbe ukishakuwa mfia chama,ukweli kwako inakuwa mwiko?
 
Niwakumbushe kauli moja ya rais mstaafu wa hapa East Africa. Alisema, "chama tawala kitashindwaje? Kikishindwa ni uzembe kwa maana jeshi ni lake na mabunduki ni yake". Unamkumbuka huyo n'nani alisema na akimwambia nani?
Maneno haya yalisemwa na "rais mstaafu"? Hili nakataa!

Lakini waTanzania hata wakiyasikia haya hayawastui, kwa nini?

Mada hii imeandikwa kiajabuajabu, lakini inaeleweka. Nilichoshindwa kuelewa ni kama 'Prince' ndiye kayasema yote haya!

Maanake ukisoma utadhani ni mawazo ya watu mbalimbali.
 
Yaani unafoji elimu?
Duh kumbe kuna watu wanakula nema ya nchi.. Serious kama kuna mtu anaconnection yakupata cheti cha kidato 4 anicheck pm hata cha division 4 yakwenda chuo nimsave dogo langu
 
Mbona amemaliza Masters !
'Masters' ya wapi, Jalalani! Itakuwa na tofauti yoyote na PhD ya maganda ya korosho iliyopatikana bila ya kwenda maabara?

Nitaikubali hiyo 'Masters' kama ilipatikana nje ya Tanzania, hata kama aliilnunua.
 
'Masters' ya wapi, Jalalani! Itakuwa na tofauti yoyote na PhD ya maganda ya korosho iliyopatikana bila ya kwenda maabara?

Nitaikubali hiyo 'Masters' kama ilipatikana nje ya Tanzania, hata kama aliilnunua.
Ya UDOM
 
Dah mkuu nitake radhi mkuu,yaan unamaanisha kuwa mm ni mfia Lumumba?....au cjakusoma vzr mkuu?
Mkuu nilimaanisha hivyo ,yaani why udhani hayo maneno mengine si ya Riz? ni kigezo gani umetumia kupima kuwa haya niya riz na haya hapana?
 
Mkuu nilimaanisha hivyo ,yaani why udhani hayo maneno mengine si ya Riz? ni kigezo gani umetumia kupima kuwa haya niya riz na haya hapana?
Kuna MTU aliuliza km haya yote aloandika mtoa mada ni maneno ya ya Riz au kuna nukta mahali labda mtoa mada kasahau kuweka,nami nikarudia tena kusoma mada kuna mahali km vile panachanganya,hapaeleweki km ni Riz anaendelea kutiririka au kuna nukta then mtoa mada akaanza kuchangia yake,ni hivyo tu mkuu,ndo nami nikachangia kuwa labda kuna nukta mahali,ila nakusihi usinichanganyage tena kwenye vinyonga wa kijani.hatuendani tabia mkuu
 
Kumbe ndio maana watu wanaamini kwamba Membe na Kikwete ni ndugu hawajakutana leo awa washikaji!

Akili ya mwanasiasa uja pale tu anapokuwa nje ya mfumo wa wizi na upigaji kuna siku ata Makonda atakuwa anaongea lugha izi.

Kama ni kweli Riz kaongea haya namkaribisha kwenye ulimwengu mpya wa kuongea ukweli na kutetea watanzania.
Wanasiasa ni watu wanafiki wanafiki tu
 
Unaweza ukasoma degree hata kama ulifeli, pengine alianzia certificate, baadae diploma , baada ya hapo degree ,hii ni mifumo halali ya elimu na wengi wameipitia.
Eliimu haina shortcut ndugu, sawa anaweza anzia certificate ila je anao msinği wa kuwezesha kudahiliwa kwa maana sifa? Na je miaka ya kuanzia certificate mpaka degree imebalance?
 
Back
Top Bottom