Ujumbe huu wa 'TCU Not Found' Usitutishe

Wote mliokutana na hili neno msipagawe...
May be TCU hawajamaliza kuingiza data za Applicants wote..!
Nani anajua..?
Pia je,TCU wameshatoa official announcement kuhusu utayari wa results za first round..?
Punguzeni pressure bin wenge..!
Mbn mm wananiandkia kuwa mfumo wa udahli umefungwa yaan maneno hyajabdlika? Nimekosa chuo nn
 
Wote mliokutana na hili neno msipagawe...
May be TCU hawajamaliza kuingiza data za Applicants wote..!
Nani anajua..?
Pia je,TCU wameshatoa official announcement kuhusu utayari wa results za first round..?
Punguzeni pressure bin wenge..!
Jipe moyo
 
Tcu not found ni hatareee omba isikukutee
Kama unamatokeo ya kueleweka wala hautakiwi kuwa na uwoga...
Sema tatizo wenzenu walioona na wengine ambao sio applicants wanaleta UJINGA wa kuwatisha..!
Nyie msiwe na wasiwasi leo watafungua system then wote mtapata nafasi ya kuona kama mmepata vyuo au hamjapata..!
 
Wote mliokutana na hili neno msipagawe...
May be TCU hawajamaliza kuingiza data za Applicants wote..!
Nani anajua..?
Pia je,TCU wameshatoa official announcement kuhusu utayari wa results za first round..?
Punguzeni pressure bin wenge..!
Mambo mazuri wala hayahitaji haraka..!!!
JIFARIJI
 
Kama unamatokeo ya kueleweka wala hautakiwi kuwa na uwoga...
Sema tatizo wenzenu walioona na wengine ambao sio applicants wanaleta UJINGA wa kuwatisha..!
Nyie msiwe na wasiwasi leo watafungua system then wote mtapata nafasi ya kuona kama mmepata vyuo au hamjapata..!
Matokeo sio tatzo hainaga kueleweka hapo
 
wakuu mnazngua ase,sio mambo hayo sisi ni great thinkers bhana.mnakuwa mnatukana natusi humu mnachafua jukwaa la elimu ambalo linajumuisha wasomi wa ngazi tofauti sio vzur bhana wakiu sisi wote watu wazima tusaidiane kuelimishana sio kwa style hii mlotumia vijana hapo juu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom