Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,098
- 10,431
- Thread starter
- #21
Siku nyingine ukiona UZI haukuhusu uwe unatulia..!JIFARIJI
Siku nyingine ukiona UZI haukuhusu uwe unatulia..!JIFARIJI
Leo inaisha saa 5:59 usiku mkuu...nilisoma tangazo tcu wkadai kua dirisha la pili la udahili watafungua leo ila bado sijaona.
ZitakujaKwahivo kama nimepatachuo nitajua leo sio?
web ya tcu still ipo busyTCU haijatangaza kutoka kwa majibu ya walioomba vyuo vikuu. Tafadhali ingia katika tovuti ya TCU na uone kama kuna tangazo kama hilo sasa hivi.
Kilichotokea ni mtu mmoja kuvumisha uvumi eti TCU wameshatoa majibu ya waliochaguliwa na ukitaka kuona kama umechaguliwa Bonyeza hapa. Huu ni uvumi na kwa wote walioomba upuuzeni. Na ndio maana wiki iliyopita TCU iliwajibika kukanusha uvumi mwingine uliodai muombaji atoe sh 1000 ili aonyeshwe matokeo yake.
Ninachoweza kusema ni kwamba mtoaji wa mada hiyo amenasa jinsi hapo baadae TCU wakikamilisha udahili wanampango upi mwaka huu wa kuwafikishia wadau ujumbe. Kumbuka hizi Tovuti bado changa na zinachangamoto nyingi ikiwa pamoja na mfumo rahisi na wa haraka wa kumfikishia taarifa mhusika pale udahili utapokamilika.
Wote mlioomba tulieni na subirini tamko la TCU, MSIBABAISHWE NA MATAPELI. Mchakato bado unaendelea na upo katika hatua za mwisho.
Saiv hata page zao zote hazikubali hata nataka kulog in haikubali.Zitakuja
Duuuh weee acha tu mkuu hapa nina presha kilo nne na nusuSaiv hata page zao zote hazikubali hata nataka kulog in haikubali.
Msijali wadau in jambo la kusubiri tu mi mwenyewe nilijiona baadaye tena kucheki wanasema student not foundSaiv hata page zao zote hazikubali hata nataka kulog in haikubali.
Okey ngoja tusubiri tuone ila naona leo haitapita.Msijali wadau in jambo la kusubiri tu mi mwenyewe nilijiona baadaye tena kucheki wanasema student not found
kwa wote ambao waliwah kujicheki walijiona
SawaAcheni kujidanganya ukiona not found ujue umekosa chuo au nyie mnataka muandikiwe vipi mnashindwa kujiongeza
Lakini mkuu mbona kuna watu waliona kabisa wamechaguliwa lakini baada ya mda tena kuangalia wakaona"NOT FOUND".Acheni kujidanganya ukiona not found ujue umekosa chuo au nyie mnataka muandikiwe vipi mnashindwa kujiongeza
Acha kuleta utani kwenye mambo ya serious sisi wenyewe hapa ni not found halafu unatupa presha tenaTcu is out again.![]()